Mark Msue
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,293
- 12,246
Kukodi na kukopa si ipo kisheria??Wamefika hapo Moshi kwa Pesa za mikopo na Magari ya kukodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukodi na kukopa si ipo kisheria??Wamefika hapo Moshi kwa Pesa za mikopo na Magari ya kukodi
Klm na Arusha plus Manyara radio nyingi ni za Kenya....sioni hoja ya msingi kwenye bandiko lako...Tangu nikiwa mtoto RTD nimeisikia nikiwa Sekondari...the rest of radio stations zilikua ni za Kenya...Hata beer mikoa mingine ilianza kuzipata baada ya watu wa North kuanza kuzitoa Kenya na kuwauzia hao wa mikoani.He tena Leo wapo bukoba team nzima kwenye azimio la kagera pia kuna jamii,gazeti la jamhuri na ukizingatia kagera ni moja ya mikoa yenye radio nyingi sana na nyingine zinasikika hadi nje ya nchi kama Rwanda, Burundi, na Uganda sasa kiujumla kuna radio kumi
Mkoa wa kagera una radio kumi zinazomilikiwa na wahaya na zenye makao yake mkoani humo hasa bukoba yenye radio saba kati ya hizo na zinasikika kanda ya ziwa na nchi jiraniKlm na Arusha plus Manyara radio nyingi ni za Kenya....sioni hoja ya msingi kwenye bandiko lako...Tangu nikiwa mtoto RTD nimeisikia nikiwa Sekondari...the rest of radio stations zilikua ni za Kenya...Hata beer mikoa mingine ilianza kuzipata baada ya watu wa North kuanza kuzitoa Kenya na kuwauzia hao wa mikoani.
East Africa Radio na Tv inasikika nchi ngapi na mikoa mingapi? Radio One Jee?Nadhani hizi pia,ni za wahaya...Mkoa wa kagera una radio kumi zinazomilikiwa na wahaya na zenye makao yake mkoani humo hasa bukoba yenye radio saba kati ya hizo na zinasikika kanda ya ziwa na nchi jirani
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ur welcome mummy ake
Huyo ni MTU mmoja tu mengi na Mimi nikitolea mhaya mmoja tu mfano kairuki anaemiliki hospital kubwa Hubert kairuki,chuo kikuu na taasisi mbona utalia tu na wengine wengi aisee wahaya wanahela hata kama kwao hawawekezi ipasavyoEast Africa Radio na Tv inasikika nchi ngapi na mikoa mingapi? Radio One Jee?Nadhani hizi pia,ni za wahaya...
Unaifahamu Eckenford University? Unaifaham Precision Air?Huyo ni MTU mmoja tu mengi na Mimi nikitolea mhaya mmoja tu mfano kairuki anaemiliki hospital kubwa Hubert kairuki,chuo kikuu na taasisi mbona utalia tu na wengine wengi aisee wahaya wanahela hata kama kwao hawawekezi ipasavyo
Unaifahamu kampuni ya abemulo ya ujenzi.na jee asilia,kabanga water ? Na jee meli ya MV Serengeti,kishimba,new uhuru za ziwa Victoria wamiliki ni wakina nani?Unaifahamu Eckenford University? Unaifaham Precision Air?
hahahahMi nabisha Mangi. [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
niko poa mamaMi pia Mangi. Uko poa?
Unaifahamu Jamii Forum alieanzisha katoka wapi? Hacha kuwa na mawazo ya kichaga. Upuuzi mtupu, wanaowaza wachaga wana maendeleo hao ni washamba na asilimia kubwa wakija DSM kutafuta wakichemka wanaanza visingizio kibao Mara DSM kuna Joto upuuzi mtupuUnaifahamu Eckenford University? Unaifaham Precision Air?
In short hawafahamiki!! Hata top 100 ya tycoons wa Tz hao hawataingia!Unaifahamu kampuni ya abemulo ya ujenzi.na jee asilia,kabanga water ? Na jee meli ya MV Serengeti,kishimba,new uhuru za ziwa Victoria wamiliki ni wakina nani?
Hahahaaa. Basi sawa Mangi usijali.hahahah
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mi nataka wengine, wewe hapana
Nafurahi kusikia hivyo. Uwe na jioni njema Mangi.niko poa mama
Akili hasi. Badala ya kujiuliza hawa jamaa wanafanikiwa vipi unatamani wabanwe kwani umekuta watu wanasema wameibiwa? Ni watu kama nyinyi mnaopaswa kupuuliziwa sawa ya kuwa wadudu.Wakuu, Amani iwe nanyi!!
Nimekuwepo Kilimanjaro kuanzia mwanzoni mwa Mwezi huu wa December.
Na bahati nzuri nimeyaona maisha ya kijamii kabisa ya wachagga...
Nchi yetu raia wanalalamika sana kuwa hali ni ngumu kila kona, lakini hawa jamaa wa huku sivyo kabisa, nilitegemea kuona mkwamo wa sherehe msimu huu
Lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa, wachagga bado wanafanya masherehe makubwa kabisa, Harusi nyingi zinafanywa kwa sherehe kubwa kubwa kabisa, ubarikio na ubatizo bado vinafanyika kwa masherehe.
Hawa watu wao wanapata wapi pesa za kufanya yote haya tena kipindi hiki! Ambapo kila mtu analalamika pesa haionekani?
Tuseme ndiyo Magu kashindwa kuwabana vizuri hadi wanaendelea na matumizi ya aina hii?
Ww jamaa unanijinasibu ni mchaga ila mbona unatokwa na mapovu hivyoUnaifahamu kampuni ya abemulo ya ujenzi.na jee asilia,kabanga water ? Na jee meli ya MV Serengeti,kishimba,new uhuru za ziwa Victoria wamiliki ni wakina nani?
Bado hatujaja kwetu,,hao in was huko huko uchagani,,subiri wiki yetu ijayootunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao