Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Kuna miradi mingi ipo ,ya serikali nadhan wewe siogope tu Kwani kagera wakiinuka ndio nchi kukua n.a. ndio maendeleo, Watu wanajitutumua na hakuna mtu ambae atatoka kwa kutafuta sababu nyepesi kama zako
 
Watu walishawekeza siku nyingi usitegemee watetereke kutokana na mtikisiko Wa uchumi uliyoletwa na serikali hii.
 
Kuna miradi mingi ipo ,ya serikali nadhan wewe siogope tu Kwani kagera wakiinuka ndio nchi kukua n.a. ndio maendeleo, Watu wanajitutumua na hakuna mtu ambae atatoka kwa kutafuta sababu nyepesi kama zako
Mbona walikuwa juu miaka ya nyuma kutokana na hivyo vitu nilivyovitaja
 
Kagera ulikuwa mkoa wa pili kwa uchumi na utajiri kuanzia miaka 80 kurudi nyuma uku kielimu ikiongoza mpaka grades zikaongezwa
We jamaa unautani ww,hao wshkaji ni mbwembwe tu ni maskini kitambo huwezi kuongoza ghafla urudi chini kabisa...kama waliwahi kua matajiri ni fununu tu
 
We jamaa unautani ww,hao wshkaji ni mbwembwe tu ni maskini kitambo huwezi kuongoza ghafla urudi chini kabisa...kama waliwahi kua matajiri ni fununu tu
Ukweli ndo huo sababu nilishazitaja na majanga kama vita,mnyauko,rushwa,na tetemeko,MV bukoba nk
 
Ukweli ndo huo sababu nilishazitaja na majanga kama vita,mnyauko,rushwa,na tetemeko,MV bukoba nk
Simple excuse,
Mnyauko?rushwa?mv bukoba?Ndio umekosa pakutokea sio?naona umeanza kuonyesha namna umekosa pakutokea
 
Unaifahamu Eckenford University? Unaifaham Precision Air?
Eckenforde sio ya Tairo wewe usijidanganye. Sisi tunajua nini kipo nyuma ya Eckenforde. Ownership yake ni ndogo.

Kwanza Eckenfordr yenyewe ishafilisika. Kaa kimya tu.
 
Hilo ndo swali la kujiuliza. Uncle Magu, umewashindwa hawa jamaa?? Wanapatapi hiyo mihera ya kuja kutumbua huku kwao?? Nadhani wakifanya ubarikio wawekewe na ka vat kidogo huenda wakapunguza
 
Najua hujafika Bukoba. Najua ukifika utarudi kuwaambia haya maneno wachaga.
 
Mbona wachaga waliowekeza Mwanza ni wengi sana? Yaani kujitetea kua mama yako ni wa near Kibosho Senior Seminary hakutabadilisha fact kuwa wengi wa wahaya ni maskini.Maskini wa kihaya sio sawa na maskini wa Klm.
Nadhani huijui vizuri Mwanza wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…