Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Nimekuwekea takwimu za mwaka huu wewe umeleta za mwaka Jana
 
Sasa ivi wachaga mmebaki kutambika tuuu. Na uko Kilimanjaro mwaka huu mtambike vizuri msije mkarudi mkakuta kibarua hakuna. Hakikisheni mnapiga tunguri za hatari hata kama una cheti feki watu wa magufuli asikuone
 
Sure mkuu..huyu jamaa ana tatizo kubwa sana,haiewezekani kabisa..oohoo mara moshi pa kawaida!!,,mama yangu katokea Kibosho,!!kuna umaskini mkubwa!!..watu tunamwangalia tu
Nimeshasema ukweli na ukweli utasemwa ingawa unauma wachaga let's change
 
Unaifahamu Jamii Forum alieanzisha katoka wapi? Hacha kuwa na mawazo ya kichaga. Upuuzi mtupu, wanaowaza wachaga wana maendeleo hao ni washamba na asilimia kubwa wakija DSM kutafuta wakichemka wanaanza visingizio kibao Mara DSM kuna Joto upuuzi mtupu

Huna point umejibu tuu ili uonekane nawe upo

Kwa mfano hicho ulichoandika hapo ni nini ?
 
Huna point umejibu tuu ili uonekane nawe upo

Kwa mfano hicho ulichoandika hapo ni nini ?
Wewe mwenye point ueleweki una cha kuzungumza naona umerewa mapombe ya kienyeji na makwasukwasu
 
ukweli mtupu
 
Mhh umeona uwasemee japo kidogo....wahaya tatizo sifa kwenye hamna na kujikweza....ajikwezae hushushwaaa....Nina miaka 3 uhayani uwiiiii chaaaaaa yaani unajishusha muishi kwa amani lakini anataka aonekane yupo juuu....hata kama hana.
afadhali umenisaidia kumjibu maana namwambiaga kila cku haelewi
 
mnachekesha
takwimu za gazeti? mm nafuatilia takwimu halisi za serikali we hapo unafwatilia mawazi ya huyo mwandshi
Ndo maana nimekwambia ngeli haipand hapo mwandishi amesema according to latest NBS data alaf wewe unasema ni mawazo ya mwandishi, au NBS huijui mkuu????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…