Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Watu kama hawa ni kuwajibu kwa takwimu tuu. Kasome gazeti la The Citizen la Leo sio unaongea uongoView attachment 653143[/QUO


Ukiwa unapinga kitu,inabidi utulize akili sio unakurupuka tu..

Angalia tamko recently la serikali la kupitia wizara inayohusika
f359220c1028b23d660f570966e09d5d.jpg
d7c57a00f020d0ab30821682346e7fc1.jpg
 
Nimekuwekea takwimu za mwaka huu wewe umeleta za mwaka Jana
tapatalk_1513486779239.jpeg
 
Sasa ivi wachaga mmebaki kutambika tuuu. Na uko Kilimanjaro mwaka huu mtambike vizuri msije mkarudi mkakuta kibarua hakuna. Hakikisheni mnapiga tunguri za hatari hata kama una cheti feki watu wa magufuli asikuone
 
Sure mkuu..huyu jamaa ana tatizo kubwa sana,haiewezekani kabisa..oohoo mara moshi pa kawaida!!,,mama yangu katokea Kibosho,!!kuna umaskini mkubwa!!..watu tunamwangalia tu
Nimeshasema ukweli na ukweli utasemwa ingawa unauma wachaga let's change
 
Unaifahamu Jamii Forum alieanzisha katoka wapi? Hacha kuwa na mawazo ya kichaga. Upuuzi mtupu, wanaowaza wachaga wana maendeleo hao ni washamba na asilimia kubwa wakija DSM kutafuta wakichemka wanaanza visingizio kibao Mara DSM kuna Joto upuuzi mtupu

Huna point umejibu tuu ili uonekane nawe upo

Kwa mfano hicho ulichoandika hapo ni nini ?
 
Huna point umejibu tuu ili uonekane nawe upo

Kwa mfano hicho ulichoandika hapo ni nini ?
Wewe mwenye point ueleweki una cha kuzungumza naona umerewa mapombe ya kienyeji na makwasukwasu
 
We pambana na hali yako.Achana kabisa na hao jamaa wameona mbali siku nyingi.Wanapiga kazi kwelikweli hakuna maisha ya ujanjaujanja.vyuma kwao havikazi wanafahamu jinsi ya kuvipanga.Kwa hakika Mh.hana kazi kubwa ya kufanya huko Moshi.kama ni shule wanajua,kama biashara wanajua,usafi wa mazingira wanajua,siasa pia wanaijua.
Wewe jifunze kwao kwa kuwa Nira yao ni laini na mzigo wao ni mwepesi.
ukweli mtupu
 
Mhh umeona uwasemee japo kidogo....wahaya tatizo sifa kwenye hamna na kujikweza....ajikwezae hushushwaaa....Nina miaka 3 uhayani uwiiiii chaaaaaa yaani unajishusha muishi kwa amani lakini anataka aonekane yupo juuu....hata kama hana.
afadhali umenisaidia kumjibu maana namwambiaga kila cku haelewi
 
mnachekesha
takwimu za gazeti? mm nafuatilia takwimu halisi za serikali we hapo unafwatilia mawazi ya huyo mwandshi
Ndo maana nimekwambia ngeli haipand hapo mwandishi amesema according to latest NBS data alaf wewe unasema ni mawazo ya mwandishi, au NBS huijui mkuu????
 
Back
Top Bottom