instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Fuatilia vzr historia ya mkoa huo na wahaya utaaminiLini kagera kulikuwa na maendeleo(yale yanayoonekana)?...ambayo unasema yameporomoka!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia vzr historia ya mkoa huo na wahaya utaaminiLini kagera kulikuwa na maendeleo(yale yanayoonekana)?...ambayo unasema yameporomoka!!
Watu kama hawa ni kuwajibu kwa takwimu tuu. Kasome gazeti la The Citizen la Leo sio unaongea uongoView attachment 653143[/QUO
Ukiwa unapinga kitu,inabidi utulize akili sio unakurupuka tu..
Angalia tamko recently la serikali la kupitia wizara inayohusika
![]()
![]()
Nimeshasema ukweli na ukweli utasemwa ingawa unauma wachaga let's changeSure mkuu..huyu jamaa ana tatizo kubwa sana,haiewezekani kabisa..oohoo mara moshi pa kawaida!!,,mama yangu katokea Kibosho,!!kuna umaskini mkubwa!!..watu tunamwangalia tu
Unaifahamu Jamii Forum alieanzisha katoka wapi? Hacha kuwa na mawazo ya kichaga. Upuuzi mtupu, wanaowaza wachaga wana maendeleo hao ni washamba na asilimia kubwa wakija DSM kutafuta wakichemka wanaanza visingizio kibao Mara DSM kuna Joto upuuzi mtupu
Takwimu za gazeti la Leo hizi hapaTusisahau,takwimu zinasema kagera ni mkoa wa tatu kutoka mwisho kwa umaskini..Tena nasisitiza kabisa.
Wewe mwenye point ueleweki una cha kuzungumza naona umerewa mapombe ya kienyeji na makwasukwasuHuna point umejibu tuu ili uonekane nawe upo
Kwa mfano hicho ulichoandika hapo ni nini ?
Labda ngeli haipand huyo mueleweshe vizuriTakwimu za gazeti la Leo hizi hapa
kagera ni ya kumi na KLM ya 9 kwa utajiri achana na takwimu za zamani![]()
ukweli mtupuWe pambana na hali yako.Achana kabisa na hao jamaa wameona mbali siku nyingi.Wanapiga kazi kwelikweli hakuna maisha ya ujanjaujanja.vyuma kwao havikazi wanafahamu jinsi ya kuvipanga.Kwa hakika Mh.hana kazi kubwa ya kufanya huko Moshi.kama ni shule wanajua,kama biashara wanajua,usafi wa mazingira wanajua,siasa pia wanaijua.
Wewe jifunze kwao kwa kuwa Nira yao ni laini na mzigo wao ni mwepesi.
mnachekeshaLabda ngeli haipand huyo mueleweshe vizuri
wahaya wawe na sifa kwa kipi wakati mkoa wao n wa 2 kwa umaskini?Sifa kipeo cha pili. Na ndo maana wahaya mmewageuza maadui zenu wakubwa maana mnataka ku take over kwenye sifa
wana akili mingi hela haiwez hadimika kwaoWachaga kwa sifa siku hizi mnachukua nafasi ya wahaya!
afadhali umemjibu huyu mla urojo wa ikwiririAkunaga mchaga anaeringia cha kwazima wewe! 100% tunamiliki vyakwetu!
afadhali umenisaidia kumjibu maana namwambiaga kila cku haelewiMhh umeona uwasemee japo kidogo....wahaya tatizo sifa kwenye hamna na kujikweza....ajikwezae hushushwaaa....Nina miaka 3 uhayani uwiiiii chaaaaaa yaani unajishusha muishi kwa amani lakini anataka aonekane yupo juuu....hata kama hana.
yaap 100% trueUbungo gari zote za moshi zimejaa mpaka tareh 27
hahahaha utamfanya ajinyonge huyu nshomileNi sawa ulichosema ungeanzisha tu uzi wako wa Kagera sijui ndo Bukoba.. hapa waachie wachaga wajimwayemwaye na kwao.. Kuna ubaya hapo?
aika mekutunakula mbuzi na machalari.
Ndo maana nimekwambia ngeli haipand hapo mwandishi amesema according to latest NBS data alaf wewe unasema ni mawazo ya mwandishi, au NBS huijui mkuu????mnachekesha
takwimu za gazeti? mm nafuatilia takwimu halisi za serikali we hapo unafwatilia mawazi ya huyo mwandshi