Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Mkuu nimependa ulivyoandika reality..

Kuna mtu hapa amesema yale majumba ya kifahari yaliyo jengwa migombani hayana maana ni bora wangejenga viwanda.
 
Kwa kifupi ninavyo wajua mm wachaga hawapendi umasikin kwa dhati ya moyo wao.. Ukikaa na mchaga dakika mbili hajakupa wazo lakutafuta pesa mchunguze atakuwa siyo yule original.. Wengi wanapambana mpaka tone la mwisho kufikia watakacho, na mmoja akifail mwenye nacho ana mkopesha na kumpa mbinu za biashara.. Kuna mmoja alianza hapa mtaani kiajabu ajabu mwaka 2014 .. Leo anamiliki fuso za biashara anapeleka mizigo kenya... Na kongo.. Pia amejenga ghorofa uko mbezi beach.. Nilimfuatilia historia jama alikuwa mnywaji tu kila akipata mmnywaji naambiwa alienda kwako mwisho wamwaka waka mkalisha kikao waka mwambia akimaliza mwaka hajafanya maendeleo wana mtenga... Jamaa alipo rudi bongo alikuwa mbogo kwenye kutafuta unaambiwa mwaka huo huo akaa nunua na gari wakati alikuwa kapangisha chumba kimoja hapa sinza
 
nyie n sifa zimewazid hakuna cha majanga
mnakimbia kuwekeza kwenu mtarajie mtapata maendeleo? n aibu bukoba kutokuwa na Chuo Kikuu hata kimoja
stand ya mkoa n vumbi
Bahati nzr stendi mpya inajengwa tena kyakairabwa km 8 kutoka mjini .vyuo sasa vimeongeZeka mbona kuna vinne siku hizi.karuco,karumco,jocuco na open nk hivyo nini ? Halafu hata kama hakuna chuo cha maana elimu ya kagera hamuwezi kuifikia.jengeni tu vyuo sie tunakuja kusoma na kumaliza.kielimu kwa wahaya hamtoboi.bakini huko mnadanganywa kwamba bk haiendelei mara maskini hizo ni propaganda tu za kutoka kuendeleza mkoa wa kagera kimusingi kiuhalisia kagera sio maskini tazama vijiji vyake utaamini tu
 
una uhakika na maneno yako?
Mbona unatoka povu. Ujumbe umefika wengi wamekopa kwa wauzaji wa mkononi, ni shida sana, wachaga walikuwa dhamani sasa ivi biashara zinafanywa na watu wa kigoma na wakinga wa iringa
 
Acha umbea fanya kazi,mambo mengine ni matunda yatokanayo na kazi! Nani alikuambia magufuli anafanya kazi ya kuwabana watu wanatafuta kwa njia halali? Usitumie jina la rais kama rejea ya uzembe wako huko kwenu.
 
Wahindi wa Nyerere. Mungu awajalie waendelee kuchapa kazi, wanatimiza kwa vitendo mbiu ya JPM, hapa kazi tu. Safi sana, I like that. Nasikia Nyerere alikuwa anapenda kusema "waacheni wahindi wangu wafanye kazi". Ni wachapa kazi kama Wahindi kwa kweli!
 
Hujaangalia takwimu vizuri. Kuna tofauti kubwa moja ile ya "kujipendekeza na kutojipedekeza" ndiyo maana upande mmoja huwaoni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…