dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Changia mada, acha matusiWw punguwani kweli.. Kama ndivyo unavyo fikiri moshi ingekuwa kama Paris
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changia mada, acha matusiWw punguwani kweli.. Kama ndivyo unavyo fikiri moshi ingekuwa kama Paris
Unatumia?Kumbe viroba bado vipo?
Kwani sii kama Paris?Ww punguwani kweli.. Kama ndivyo unavyo fikiri moshi ingekuwa kama Paris
Ooooooh, hongeraMmh. Inategemea ila sifa yao walio wengi wanajua kutafuta yaani hawana sifa ya kubweteka.
General Mangi, chuma cha mjerumani na atlas copco kaka zangu hawa natumahi nao ni watafutaji wazuri ukimjumlisha na emmy anayefuata nyayo zao.
Mkuu nimependa ulivyoandika reality..Tuache utani. Most us should be inspired. Kiukweli wachagga wengi wenye uwezo wamewekeza kwao. Wamejenga nyumba nzuri na hata elimu wamezingatia. Kwa hilo nawapongeza. Nadhani swala la kuwekeza nyumbani si la kubeza. Linasaidia hata vizazi na vizazi kujitambua.
Nina wengi nawafahamu, mjini wanasukuma Range na maghorofa makini mitaa ya Mikocheni/Mbezi beach Lakini kwenda kwao ni mpaka misiba na watafikia hotelini. Wengi tunajijua humu. Ndo maana usishangae kukuta mzee amestaafu na nafasi kubwa serikalini yuko Masaki Lakini kwao kijijini anapaona kama mahakamani! Mwisho wa siku unakuta mtu bila aibu anakwambia nataka nijenge "room mbili" za kufikia kijijini! Very primitive house!
Au unakuta mtu bila aibu anakupa stupid excuse eti kujenga nyumba kijijini ni hasara kwa sababu nyumba itakaa idle! Hiyo ni akili kichwani au ni vumbi???
Mimi si mchagga, Lakini nimejifunza na naendelea kujifunza. Wengi hatujui kwamba ukipajenga kijijini kwenu una-inspire hata wengine kujenga and in the process kijiji kinakua na huduma muhimu zinapatikana. Talk of multiplier effects. Na maendeleo ndo hayo!
Kuna mzee mmoja namfahamu amestaafu in one of the regional organizations hapo ARUSHA, amejenga nyumba Machame nadhani hata Oyserbay haipo hiyo nyumba! Very impressive.
Maisha ni kujifunza. It never ends!
Bahati nzr stendi mpya inajengwa tena kyakairabwa km 8 kutoka mjini .vyuo sasa vimeongeZeka mbona kuna vinne siku hizi.karuco,karumco,jocuco na open nk hivyo nini ? Halafu hata kama hakuna chuo cha maana elimu ya kagera hamuwezi kuifikia.jengeni tu vyuo sie tunakuja kusoma na kumaliza.kielimu kwa wahaya hamtoboi.bakini huko mnadanganywa kwamba bk haiendelei mara maskini hizo ni propaganda tu za kutoka kuendeleza mkoa wa kagera kimusingi kiuhalisia kagera sio maskini tazama vijiji vyake utaamini tunyie n sifa zimewazid hakuna cha majanga
mnakimbia kuwekeza kwenu mtarajie mtapata maendeleo? n aibu bukoba kutokuwa na Chuo Kikuu hata kimoja
stand ya mkoa n vumbi
Mbona unatoka povu. Ujumbe umefika wengi wamekopa kwa wauzaji wa mkononi, ni shida sana, wachaga walikuwa dhamani sasa ivi biashara zinafanywa na watu wa kigoma na wakinga wa iringauna uhakika na maneno yako?
Sio Wahindi na Waarabu ?sisi ndo tulioshika uchumi wa tz
Hata majambazi wapo.....Na wapiga dili? Wapo..Wao ni wachapakaz na si wapiga diri
Wahindi wa Nyerere. Mungu awajalie waendelee kuchapa kazi, wanatimiza kwa vitendo mbiu ya JPM, hapa kazi tu. Safi sana, I like that. Nasikia Nyerere alikuwa anapenda kusema "waacheni wahindi wangu wafanye kazi". Ni wachapa kazi kama Wahindi kwa kweli!Wakuu, Amani iwe nanyi!!
Nimekuwepo Kilimanjaro kuanzia mwanzoni mwa Mwezi huu wa December.
Na bahati nzuri nimeyaona maisha ya kijamii kabisa ya wachagga...
Nchi yetu raia wanalalamika sana kuwa hali ni ngumu kila kona, lakini hawa jamaa wa huku sivyo kabisa, nilitegemea kuona mkwamo wa sherehe msimu huu
Lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa, wachagga bado wanafanya masherehe makubwa kabisa, Harusi nyingi zinafanywa kwa sherehe kubwa kubwa kabisa, ubarikio na ubatizo bado vinafanyika kwa masherehe.
Hawa watu wao wanapata wapi pesa za kufanya yote haya tena kipindi hiki! Ambapo kila mtu analalamika pesa haionekani?
Tuseme ndiyo Magu kashindwa kuwabana vizuri hadi wanaendelea na matumizi ya aina hii?
Hujaangalia takwimu vizuri. Kuna tofauti kubwa moja ile ya "kujipendekeza na kutojipedekeza" ndiyo maana upande mmoja huwaoni sana.Bahati nzr stendi mpya inajengwa tena kyakairabwa km 8 kutoka mjini .vyuo sasa vimeongeZeka mbona kuna vinne siku hizi.karuco,karumco,jocuco na open nk hivyo nini ? Halafu hata kama hakuna chuo cha maana elimu ya kagera hamuwezi kuifikia.jengeni tu vyuo sie tunakuja kusoma na kumaliza.kielimu kwa wahaya hamtoboi.bakini huko mnadanganywa kwamba bk haiendelei mara maskini hizo ni propaganda tu za kutoka kuendeleza mkoa wa kagera kimusingi kiuhalisia kagera sio maskini tazama vijiji vyake utaamini tu