jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,246
Tokea afariki Magufuli huko TANESCO hakujatulia na mambo yamekuwa ya hovyo sana!
Umeme kukatikakatika kwa sasa ni jambo la kudumu. Mfumo wa kununua umeme kwa njia ya simu nao pia chali. Hii si hali njema sana kwa Wananchi na imesababisha usumbufu usiokuwa na lazima.
Kipindi cha Utawala wa Magufuli ilijengeka tabia ya hata kama ilitokea dharula ya kukatika kwa umeme japokuwa haikuwa tena rahisi TANESCO walitoa taarifa na waliomba msamaha jambo ambalo kwa sasa halipo kabisa.
Kipi kimebadirika huko TANESCO?