jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,246
Ndugu mpendwa Mteja wetuMjitahidi kuweka umeme kwenye makazi ya watu sio mnaweka nguzo inapita miaka hakuna umeme!!
...Mtaa wa Vigwaza,Chalinze Pwani kuna tatizo gani linalopelekea umeme kukatikakatika kila baada ya masaa mawili?Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Uongo!!Kuhusu hitilafu ya mfumo wa LUKU iliyotokea tarehe 17 Mei 2021 imeshafanyiwa kazi na wateja wetu pia walijulishwa, kwa sasa huduma zinapatikana kawaida kama hapo awali.Je unapata changamoto gani? Unanunua umeme kwa njia gani?
Tunashukuru kwa maelezo yako fasaha na sahihi, fedha ikishaingia kwenye mfumo wa TANESCO hairudishwi kwa mteja bali mteja anapata token za umeme hata kama atakuwa amechelewa kwa sababu yeyote ile, kwa maelezo yako tatizo halikuwa TANESCO na wateja wetu wanafurahia huduma.Uongo!!
Nilinunua umeme kwa njia ya simu mtandao was Halotel lakini sikutumiwa GEPG/ meseji ya token, nikajua labda Halotel ndo Kuna network issues , nikanunua through Airtel I faced the same problems, ikabidi nirudi Halotel nikawapigia Halotel huduma kwa wateja wakanambia shida ni Tanesco hivyo nisubiri!
I kept on waiting my transaction to be processed but it was unsuccessful.
Nikapiga simu Tena ndo nikaambiwa uvumilie within 24hrs, kesho yake ndo pesa ikarejeshwa, lakini Airtel walirejesha zaidi ya masaa 24.
Hivyo claim ya kuwepo shida Tanesco siyo uongo ni kweli , na ukienda kwa wakala unapata umeme, tatizo Ni TAARIFA, wateja hatupewi taarifa kama kuna shida hali inayopelekea kuwe na perception kama hizi.
Huduma ya umeme ni muhimu sana lakini kwetu wanachukulia kitu cha kawaida , inaumiza sana hali hii.
Jirekebisheni, toeni taarifa kunako tatizo, pia msiwe wabishi pale mnapoambiwa kuna changamoto, bali fuatilieni ili kutatua tatizo.!!
Tafadhali tusaidie namba yako ya simu yenye whatsApp na Wilaya uliyopo kwa taarifa zaidiNa kwanini kila umeme ukikatwa taarifa za mapema hazitolewi kwa wateja?
Hili ni punguzo la nchi nzima ambapo limeanza tarehe 5 June 2021 hivyo kabla ya hapo vijijini bei ilikuwa 177000 na mijini 321000Hivi REA ilianzia lini? Mimi nipo Kerege Bagamoyo, nilifungiwa umeme 2015, nguzo 2 kwa 350000, sasa watu wanafunga kwa 27000, bei ya REA, je mimi nilipigwa?
Hivi ni kweli hamfahamu uwepo wa katizo la umeme ?Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Umeme upo maeneo yote ndio maana tunakuuliza wewe ni wapi na tatizo ganiHivi ni kweli hamfahamu uwepo wa katizo la umeme ?