FlyingDutchman
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 459
- 862
Hela wanapigaje mkuu?The thing is wachache washapiga ela now imekua ngumu kwao ku undo their wrong decision
1. TIA haipo TCU bali NACTVET,Wasalaam ndg zangu
Chuo Cha TIA Kuna uozo unaendelea ambao sio mzuri,
Kuna wanafunzi almost 20+ kesi zao zmetoka kusikilizwa siku so nyingi lakini there is something fish, kesi kama izi TIA zmekisiri Sasa na TCU ipo kimya,
For instance Kuna mwanafunzi amekuwa disqualified sababu ya kipande Cha karatasi ambacho siku ya mtihani kilikutwa within her viscinity( karibu na alipo) don't get me wrong msomaji sio kwenye booklet yake au akiwa nacho , at her viscinity.
Cha kushangaza zaidi kilichoandikwa kwenye karatasi sicho kitu kilichokua kwenye mtihani siku hiyo, and wanarelie on hand writing kwa kuangalia kwa macho , no biometric system yoyote imetumika kuprove kua ni chake, kwenye vikao viwili bunch of coward lectures wamemuhukumu kwa kitu ajafanya even though ameomba ushahidi was camera utumike sababu chumba alichokua anafanyia mtihani Kuna camera, they didn't listen at her at all.
Mbaya zaidi Kuna voice note za malecturers admitting kua wanachomfanyia huyu mtt was kike sio SAWA, kisa wachache washapiga pesa imekua ngumu kwa wait ku undo their wrong decision.
Mimi ni Moja ya watu ambao nipo karibu sana hapa TIA na trend ya kesi kama izi zmekisiri, my take principle was TIA it's time you take matter on hand na ufatilie kwa ukaribu hili swala, unless umeapprove uo uozo unaendelea.
Thanks for hii elimu mkuu.TIA ipo chini ya NACTVET sasa hapo TCU inaingiaje?
Wao wanalipwa ukireport kesi kama hii something not below 500k I think Sasa , they are doing things recklessly kisa pesa, na hawana ushahidi wowote strong kumdisqulifyHela wanapigaje mkuu?
Akakate rufaa uongozi wa wanafunzi si upoWao wanalipwa ukireport kesi kama hii something not below 500k I think Sasa , they are doing things recklessly kisa pesa, na hawana ushahidi wowote strong kumdisqulify
Ni kweli kabisa Hawa wanaomba pesa hovyo hovyo nazani ,TAKUKURU waingilie kati pia hiki chuo kesi kama za namna hii zimekisiri ni mambo ya ajabu sana yanaendelea TIA1. TIA haipo TCU bali NACTVET,
2. Demu wa kumkazia lecturer atoke wapi? Hawa wanaoomba pesa ovyo?
3. Kwa mwandiko huu wa kuchanganya na broken English ni ama wewe ni 🌈 au hujielewi Bora mfukuzwe tu.
ijumaa Maqbul
Wabillah Taufiq
Kila kichwa ukipeleka na kesi 1 unapewa 1M vyuo vinginevyo hadi 3M mpaka 5M kwa kichwa kimoja tu chenye kesi ukifanikiwa kushinda kesi na denti akafukuzwa chuo unalipwa, waulize hapo DIT wanaelewaHela wanapigaje mkuu?
Kichwa kimoja chenye kesi ukikikamata kikafukuzwa chuo unalipwa wewe uliekamataHizo pesa wanapigaje?
Fafanua ueleweke.
Siku hizi siyo hela tenaThe thing is wachache washapiga ela now imekua ngumu kwao ku undo their wrong decision
Wasalaam ndg zangu
Chuo Cha TIA Kuna uozo unaendelea ambao sio mzuri,
Kuna wanafunzi almost 20+ kesi zao zmetoka kusikilizwa siku so nyingi lakini there is something fish, kesi kama izi TIA zmekisiri Sasa na NACTVET ipo kimya,
For instance Kuna mwanafunzi amekuwa disqualified sababu ya kipande Cha karatasi ambacho siku ya mtihani kilikutwa within her viscinity( karibu na alipo) don't get me wrong msomaji sio kwenye booklet yake au akiwa nacho , at her viscinity.
Cha kushangaza zaidi kilichoandikwa kwenye karatasi sicho kitu kilichokua kwenye mtihani siku hiyo, and wanarelie on hand writing kwa kuangalia kwa macho kuprove kua it belongs to her, no biometric system yoyote imetumika kuprove kua ni chake just imagine Hawa ndio wasomi tulionao, kwenye vikao viwili bunch of coward lectures wame muhukumu kwa kitu ajafanya even though ameomba ushahidi wa camera utumike sababu chumba alichokua anafanyia mtihani Kuna camera, they didn't listen her at all.
Mbaya zaidi Kuna voice note za malecturers and some university student leaders admitting kua wanachomfanyia huyu mtt wa kike sio SAWA, kisa wachache washapiga pesa imekua ngumu kwa wao ku undo their wrong decision.
Mimi ni Moja ya watu ambao nipo karibu sana hapa TIA na trend ya kesi kama izi zmekisiri, my take principle was TIA it's time you take matter on hand na ufatilie kwa ukaribu hili swala, unless umeapprove uo uozo unaendelea.
Nikajua ni mimi peke yangu nimeona 🤔ACHA KUWA UNADESA. ZIMEKISIRI? NDO NINI? HICHO CHUO KINABEBA VILAZA SANA.
"Mimi ni Moja ya watu ambao nipo karibu sana hapa TIA na trend ya kesi kama izi zmekisiri, my take principle was TIA it's time you take matter on hand na ufatilie kwa ukaribu hili swala, unless umeapprove uo uozo unaendelea"
Hapo umeandika madudu gani? Kilaza mkubwa wewe.