DOKEZO Kinachoendelea Tanzania Institute of Accountancy (TIA) ni uozo unaonuka

DOKEZO Kinachoendelea Tanzania Institute of Accountancy (TIA) ni uozo unaonuka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
1. TIA haipo TCU bali NACTVET,
2. Demu wa kumkazia lecturer atoke wapi? Hawa wanaoomba pesa ovyo?
3. Kwa mwandiko huu wa kuchanganya na broken English ni ama wewe ni 🌈 au hujielewi Bora mfukuzwe tu.
1. TIA ipo chini ya NACTVET sasa hapo TCU inaingiaje?
2. Kuandika hujui ila unajua kuhukumu bila vithibitisho vinavyohusu malalamiko yako.
3.Ungejua hakuna mwanafunzi amewahi kufanikiwa kwenye kesi za aina hio usingeleta mada hii Jamiiforums.

ijumaa Maqbul
Wabillah Taufiq
Naomba ni kujibu , inaonekana imekua ni utamaduni watu kutoshinda kesi za namna hii, swali langu ni je what if Kuna uonevu wa namna hii unaendelea?? What if ni ndugu yako swala kama hili limemkuta? Ina maana kisa hakuna anaeshinda kesi kama hizi atakama Kuna mtu kaonewa tukae kimya?
 
Kilichopo kwenye karatasi kuwa hakifanani na kilichoulizwa kwenye mtihani siyo kigezo kinachomtoa hatiani je kama alifanya attempt ? Instruction ziko wazi jaribio lolote la udanganyifu litaambatana na adhabu .

Au madai yako ni kuwa wasimamizi ndiyo walimtegea karatasi?
Njia pekee ya kushinda kesi km hizo ni kukataa mpaka mwisho yaan kataa kadri unavyoweza kana kabisa maana hawana cha kukufanya ikiwa utakataa mpaka mwisho ila ukionyesha hali ya kukubari hata kidogo tu umekwisha, unatakiwa ukatae mwanzo mpaka mwisho ndio unaachiwa bila hivyo ukilegeza wanakula kichwa wanakula hela, kataa ikiwezekana chizika kabisa kua chizi kataa kua kichaa kabisa
 
Kilichopo kwenye karatasi kuwa hakifanani na kilichoulizwa kwenye mtihani siyo kigezo kinachomtoa hatiani je kama alifanya attempt ? Instruction ziko wazi jaribio lolote la udanganyifu litaambatana na adhabu .

Au madai yako ni kuwa wasimamizi ndiyo walimtegea karatasi?
Je kama hakufanya attempt yoyote ya cheating?
Nachopinga ni assumption zilizofanyika kumtia hatiani, Kuna camera chumba Cha alichofanyia mtihani kwanini ushahidi huo utupiliwe mbali if there is justice being served?
 
Alitakiwa akatae kwamba hata hapo wanaposema alikaa kukawa na kikaratasi yeye hakukaa hapo yaan alitakiwa amkatae hata huyo aliepeleka kesi ya kumkamatisha
 
1. TIA ipo chini ya NACTVET sasa hapo TCU inaingiaje?
2. Kuandika hujui ila unajua kuhukumu bila vithibitisho vinavyohusu malalamiko yako.
3.Ungejua hakuna mwanafunzi amewahi kufanikiwa kwenye kesi za aina hio usingeleta mada hii Jamiiforums.
Point namba 3 izimgatiwe sana, sababu naamini kama hakuna mwanafunzi ambae ameawai kushinda kesi ya namna hii basi it means there is no justice in all university level? Or these who were all caught,were in fact cheating! And I don't believe on that.
 
1. TIA haipo TCU bali NACTVET,
2. Demu wa kumkazia lecturer atoke wapi? Hawa wanaoomba pesa ovyo?
3. Kwa mwandiko huu wa kuchanganya na broken English ni ama wewe ni 🌈 au hujielewi Bora mfukuzwe tu.

ijumaa Maqbul
Wabillah Taufiq
Point yako namba tatu nimeiona ,kwanza hongera wewe unayejua kuandika vizuri, but pamoja na kuandika vizuri, naomba nikujibu sababu umetafuta attention now you got one

I think you are one big stupid person, such feable Brain of yours can't compare to mine, I am just a honest person trying to do the honest thing here, but because you are such a coward who hide behind keyboard you think attacking people such as myself, "the honest person" will earn you some attention in return for what you maggot, I am raising a bit concern that our young sisters and brothers are facing at TIA ,that even if they didn't do they are mercilessly being punished without a single chance of triumph, and all you care is about my wrong writings??

Wewe ni Moja ya watanzania waoga na wasio na akili, all critical minds ,for some unknown reasons, they've realized what kind of flag I am raising"A BIG RED FLAG" a BIg TIA red flag , that's what this is all about, but soules, mindless people such as yourself all you care about is stupid attention and trying to correct the honest man that you know nothing about.
 
Nikajua ni mimi peke yangu nimeona 🤔

Hawa madogo miaka hii kichwani hamna kitu kabisa. Uandishi wake unatia kinyaa na huyo ndo msomi wa miaka hii. Anashindwa hata kupanga hoja. Mi sielewi CCM inapeleka wapi hiyo nchi yenu. Elimu inazidi kuporomoka.
 
1. TIA haipo TCU bali NACTVET,
2. Demu wa kumkazia lecturer atoke wapi? Hawa wanaoomba pesa ovyo?
3. Kwa mwandiko huu wa kuchanganya na broken English ni ama wewe ni 🌈 au hujielewi Bora mfukuzwe tu.

ijumaa Maqbul
Wabillah Taufiq
Leo siyo ijumaa unakimbiza siku mbele au kuna mtu unamdai?
 
Tukiwa f3 kuna mwenzetu aliingia na bomu kuubwaa hatimae alikamatwa halafu kwenye bomu lote lile lilitoka swali moja tu kwenye matching items dah tulicheka sanaaaa
 
ACHA KUWA UNADESA. ZIMEKISIRI? NDO NINI? HICHO CHUO KINABEBA VILAZA SANA.

"Mimi ni Moja ya watu ambao nipo karibu sana hapa TIA na trend ya kesi kama izi zmekisiri, my take principle was TIA it's time you take matter on hand na ufatilie kwa ukaribu hili swala, unless umeapprove uo uozo unaendelea"

Hapo umeandika madudu gani? Kilaza mkubwa wewe.
Seems like the name you chose as your pseudo name,it is,in unfortunately way ,a pure reflection of your soul.
Naomba nikujibu pia ,not in a good way of course

You seems like these little coward who hide behind their keyboard, who criticize everything on their paths, and in return sit and do nothing.

Wherever you are in this world,trust me no matter how big your eagle is, I will humble you, and my words of truth will haunt you to the inch of the ocean, I wrote something which is infact,yet right now is going on at TIA regarding the wrong conviction of our young brothers and sisters who their parents works so damn hard , sometimes day and night just to see these kids succeed, but poor systems and people who care less are trying to snap the big dream out of their future because of something called wrong conviction,and inability of stuff members to undo their wrong decision, and stupid, heartless people like you , all you care about is my very small mistake I did while delivering this message?

Ivi nani kawaroga , Hawa watoto wanaumia kweli and all you care about ni how bad nimeandika bandiko langu, what kind of people are you
 
Kila kichwa ukipeleka na kesi 1 unapewa 1M vyuo vinginevyo hadi 3M mpaka 5M kwa kichwa kimoja tu chenye kesi ukifanikiwa kushinda kesi na denti akafukuzwa chuo unalipwa, waulize hapo DIT wanaelewa
Asante sana kwa kuweka hili jambo wazi, now imagine what people can do for money? Mi naomba taasisi husika iingilie kati hili swala huyu mtoto ameonewa , na wao hawataki kabisa kumsikiliza na hata kutumia ushahidi wa camera , haya mambo yanakera na wapo wengi wanaopoteza future zao kwasababu TU mtu kalipwa vijisenti kidogo anashupaza shingo.
 
Binti anatakiwa akatae
 
Tukiwa f3 kuna mwenzetu aliingia na bomu kuubwaa hatimae alikamatwa halafu kwenye bomu lote lile lilitoka swali moja tu kwenye matching items dah tulicheka sanaaaa
Umenikumbusha form one rafiki yangu mmoja now ni mwalimu wa primary ili mlazimu amezee kibomu chake kupoteza ushahidi😁😁

Mimi na mshukuru huyu dogo nilikutana nae form one kwa Sasa mwandamizii afya nyanda za juu kusini alinipa hii falsafa yake vijana wakaiishi itawasaidia..

Mimi na tabia ya kuto kukubarii kushindwa au kukosa swali siku iyo sikua nimejianda vyema nikamwomba TAG jamaa akasema subirii subirii mpaka mtiani ukaisha akiwa kakumbatia pepa lake Mimi nilipata marks nzuriii Tu

Nilipo muuliza alinipa hili jibu ""UNAONA MIMI SIPATI TABU KWENYE MITIHANI HUWA NASOMA WEWE PIA UKITAKA USIPATE TABU KWENYE MITIHANI UWE UNASOMA"" Haya maswali yote yanatoka humu humu kwenye hizi notes UWE UNASOMA VYOTE TULIVYO FUNDISHWA MASWALI YOTE YANATOKAGA HUMO HUMO.

SO UKIIISHI HII FALSAFA HAKIKA HUTO ITAJI VIBOMU/ KUCHORA FORMULA MAPAJANI 😊

NAWASILISHA.
 
Hawa madogo miaka hii kichwani hamna kitu kabisa. Uandishi wake unatia kinyaa na huyo ndo msomi wa miaka hii. Anashindwa hata kupanga hoja. Mi sielewi CCM inapeleka wapi hiyo nchi yenu. Elimu inazidi kuporomoka.
Ukweli ni kwamba wewe ndio kichechefu , ni mtu mwenye nafsi inayotia kinyaa, sababu I don't think that you can even sieve between right and wrong.

And all people can see that I am the one trying to do the honest thing here, and you are the bad guy who is trying to stop goodness from happening

Take it from me , ukimya una faida zake, kheri kukaa kimya kuliko kujaribu kuzuia juhudi za mtu , ambae hata MUNGU pia anajua anafanyia jambo sahihi.
 
Back
Top Bottom