DOKEZO Kinachoendelea Tanzania Institute of Accountancy (TIA) ni uozo unaonuka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wao wanalipwa ukireport kesi kama hii something not below 500k I think Sasa , they are doing things recklessly kisa pesa, na hawana ushahidi wowote strong kumdisqulify
Hili la kulipwa limeanza lini mkuu kwenye quality assurance?

Basi TIA kuna mpunga mtamu
 
Ukweli ni kwamba wewe ndio kichechefu , ni mtu mwenye nafsi inayotia kinyaa, sababu I don't think that you can even sieve between right and wrong.

And all people can see that I am the one trying to do the honest thing here, and you are the bad guy who is trying to stop goodness from happening

Take it from me , ukimya una faida zake, kheri kukaa kimya kuliko kujaribu kuzuia juhudi za mtu , ambae hata MUNGU pia anajua anafanyia jambo sahihi.
Kichefu chefu unaandika Kinyaa kabisa. Huna akili una desa ukibanwa unakimbilia huku kutaka sympath
 
You are very irrational.

I think you are stupid as much as your pseudo name.

Unatia kinyaa, na nadhani ni wewe ndio hauna akili sababu umeshindwa kuelewa ujumbe wangu.

Mimi sio muhanga you stupid maggot, mbona ipo very clear kwenye andiko langu.
 
Itakuwa alimkazia lecturer
Mujomba umemaliza
20250918_095100.jpg
 
Kichefu chefu unaandika Kinyaa kabisa. Huna akili una desa ukibanwa unakimbilia huku kutaka sympath
Ivi kwanza we huogopi?

Vilaza wote mnanishambulia lakini mwanaume nimesimama wima siteteleki, we huogopi??

Because that is what it takes, when you are doing something right, you should of course expect thousand fools to stand against you.

Sizani hata kama mnajua mnapinga Nini?
 
Karatasi yeyote hairuhusiwi kuingia nayo kwenye chumba cha mtihani.
Mambo ya kujitetea kupitia movie sijui hakikakutwa kwenye booklet mara biometric hizo ni siasa na vijana wa kizazi cha kuanzia 2000 mnapenda sana kuleta utetezi wa kwenye movie.
Hao malecture washapitia kote huko hizo mbinu zenu ninyi sio wa kwanza.
Na usidhani kwa kuleta jamiiforums ndio itabadilisha black kuwa white unajidanganya.
Wewe ni mwanafunzi wa hapo acha kujitetea sijui uko jirani Wala Nini.
FUATA SHERIA MSITUZALISHIE WASOMI VILAZA
 
Hata Mimi najua pia hayo makosa nimeyafanya kwenye uandishi wangu, sababu sija proofread nilichokipost , the thing is my phone has this autocorrection thing, but I Hope you got the intent of my message.
Autocorrect ndo inaandika ela badala ya Hela?
 
Naomba kama Kuna wahanga wa hili jambo hapa jukwaani wajitokeze ili tupate experience zaidi ya hili swala.
Hakuna wahanga fuateni Sheria.
Usivunje Sheria na kutaka uhurumiwe we umekutwa na karatasi mambo ya biometric hayatuhusu.
Yaani polisi wakute Cocaine kwenye nyumba yako uanze kudai ipimwe alama za vidole😃😃
Muvi zinawadanganya sana ninyi
 
Asante kwa kuuliza.

Hiyo karatasi ilikua chini ya dawati pembeni kabisa na alipo ,umbali wa almost cm 70-100 kutoka alipo kaa.

Kibaya zaidi hiyo karatasi ilikua katikati ya candidate wawili. All they did is a simple assumptions that it belongs to her just because of her hand writing being a little big ,

Make no mistake,no any biometric system was used , neither the camera of the particular examination room to convict her that she is cheating.

Bad enough the content of that piece of paper doesn't even direct relate to the exam of the particular day.

And you know what, those people if they succeed to win on expelling a student they get paid.

I hope you understand the real problem here.
Ninachofaham ni kuwa kabla ya mtihani kuanza msimazi hutoa tahadhari kwa kila mmoja kuwa aangalie kama ana karatisi au kitu chochote kisichorusiwa either mfukoni, kwenye meza au jirani.

Sasa huoni huo ni uzembe wa hao wanafunzi?.
 
Karatasi yeyote hairuhusiwi kuingia nayo kwenye chumba cha mtihani.
Mambo ya kujitetea kupitia movie sijui hakikakutwa kwenye booklet mara biometric hizo ni siasa na vijana wa kizazi cha kuanzia 2000 mnapenda sana kuleta utetezi wa kwenye movie.
Hao malecture washapitia kote huko hizo mbinu zenu ninyi sio wa kwanza.
Na usidhani kwa kuleta jamiiforums ndio itabadilisha black kuwa white unajidanganya.
Wewe ni mwanafunzi wa hapo acha kujitetea sijui uko jirani Wala Nini.
FUATA SHERIA MSITUZALISHIE WASOMI VILAZA
Ikiwezekana mleta uzi aseme hiyo karatasi ni ya nani?
 
Dear friend, how do you know kua unachokisema upo sahihi?

Because if you don't know kua unachokisema ni sahihi au sio sahihi then you should really be afraid of yourself.

You are on the wrong side for that buddy, I am not a student make no mistake.

And what's so important is , what if it's true justice is not being served??

Mimi ni msamalia mwema tu nimeleta hili swala hapa lakini halitaishia hapa.

Na kama upo TIA , just know that whataver you do in darkness always comes to light. will eventually,your unjust doing,be revealed on a broad daylight.
Subiri
 
Asante kwa kuuliza.

Hiyo karatasi ilikua chini ya dawati pembeni kabisa na alipo ,umbali wa almost cm 70-100 kutoka alipo kaa.

Kibaya zaidi hiyo karatasi ilikua katikati ya candidate wawili. All they did is a simple assumptions that it belongs to her just because of her hand writing being a little big ,

Make no mistake,no any biometric system was used , neither the camera of the particular examination room to convict her that she is cheating.

Bad enough the content of that piece of paper doesn't even direct relate to the exam of the particular day.

And you know what, those people if they succeed to win on expelling a student they get paid.

I hope you understand the real problem here.
Wewe haupo hapo chuoni
Ulijuaje ni Cm 70?
Ulijuaje content zilizopo kwenye paper?
Kama ni hearsay sikiliza pande zote mbili,wanafunzi hawatawahi kuwa upande wa lecture
 
Ikiwezekana mleta uzi aseme hiyo karatasi ni ya nani?
Kasema yeye hayupo hapo chuoni ila still anajua karatasi ilikuwa cm 70.
Na anasema content za kwenye karatasi hazihusiani na mtihani.
Kama ni stori za kusikia basi huyu jamaa ni kilaza na hawezi kumtetea huyo demu wake kwa utetezi mwepesi hivi.
Yaani ukutwe na karatasi kwenye desk yako then utushauri tukapime biometric huo si uzwazwa.
WASOMI wa sikuhizi wana utetezi wa ukichwa maji kabisa
 
TIA AISEEE KUNA UPUUZI WA HALI YA JUU SANA KUNA MWANANGU ALIFELI MTUHANI WA MWISHO KABISA ETI KISA ALIKUTWA NA KARATASI NYUMA YA CALCULATOR BA HAIKUWA NA HATA NA CHABO ZA HILO SOMO
 
Dear friend, how do you know kua unachokisema upo sahihi?

Because if you don't know kua unachokisema ni sahihi au sio sahihi then you should really be afraid of yourself.

You are on the wrong side for that buddy, I am not a student make no mistake.

And what's so important is , what if it's true justice is not being served??

Mimi ni msamalia mwema tu nimeleta hili swala hapa lakini halitaishia hapa.

Na kama upo TIA , just know that whataver you do in darkness always comes to light. will eventually,your unjust doing,be revealed on a broad daylight.
Subiri
True justice wanaijua waliokuwa kwenye chumba cha mtihani we kama hukuwepo unapata taarifa ukiwa either imeongezwa maneno au imepunguzwa
 
You are very irrational.

I think you are stupid as much as your pseudo name.

Unatia kinyaa, na nazani ni wewe ndio hauna akili sababu umeshindwa kuelewa ujumbe wangu.

Mimi sio muhanga you stupid maggot, mbona ipo very clear kwenye andiko langu.

Unaandika kinyaa kabisa
Unazani❌
Unadhani✅

Wewe ulidesa na you have to bear the pain. Huna akili hata kiswahili tu hujui kuandika. Nyie madogo miaka hii hamsomi mnapasishwa tu matokeo yake mnakuwa vilaza.
 
Ivi kwanza we huogopi?

Vilaza wote mnanishambulia lakini mwanaume nimesimama wima siteteleki, we huogopi??

Because that is what it takes, when you are doing something right, you should of course expect thousand fools to stand against you.

Sizani hata kama mnajua mnapinga Nini?

WEWE KILAZA NA ADHABU ULIYOPATA UNASTAHILI KILAZA MKUBWA. USOME UACHE KUDESA NA ULIDHANI TUTAKUTETEA HUO UJINGA.
 
Acha ujinga wewe , Mimi nimeuliza swali kama huwezi kujibu acha.
Na hizo assumptions is outcome of my high intellect, that is the reason why.

My best guess is my intellect threatens you.

My take: I know there are people who works at TIA in here and you are trying to dissolve this matter.

Not necessarily you of course, because you smell like coward dog who is obedient to his master.
Wajinga kama wewe huwa nawapenda sana kubishana nao mbwa wewe. Akili za darasani huna na wala ethics za maisha tu huna ng'ombe wewe.

Unatetea ujinga. Eti waalimu wanalipwa waki expell wanafunzi we fala kweli wewe. Unaleta mambo ya vijiweni kwenye ishu za academics.

Vijana someni, acheni kukariri maisha. Unasema kikaratasi kimeokotwa sentimeta 70 kutoka kwa mtahiniwa, sentimeta 70 unaijua wewe, si ni hapo hapo tu?

Narudia tena, hakuna jopo la ma lecturers wanaweza ku side kumfukuza mwanafunzi ambae hana kosa! Yaani wao wana shida gani na huyo mwanafunzi? Lazima kuna viashiria vya uvunjifu wa maadlili tu.

Usitafute sympathy huku, someni acheni ushenzi
 
Ninachofaham ni kuwa kabla ya mtihani kuanza msimazi hutoa tahadhari kwa kila mmoja kuwa aangalie kama ana karatisi au kitu chochote kisichorusiwa either mfukoni, kwenye meza au jirani.

Sasa huoni huo ni uzembe wa hao wanafunzi?.
Upo sahihi mkuu, lakini mazingira ya hii kesi yana sintofahamu nyingi.

Niamini Mimi , Kuna uozo unaendelea TIA

Walikamatwa wengi lakini saizi wamebaki wachache?

What does it tell you about their accuracy in their actions??

Nina uhakika waliobaki kwenye hii kesi ni walala hoi akiwemo huyo Binti.

The rest waliachiwa , kama unahisi hawafanyi makosa why kati ya walikamatwa wengi walikutwa hawana hatia?

Na je ni kweli walikua hawana hatia au Kuna kitu kidogo wametoa?
 
Back
Top Bottom