DOKEZO Kinachoendelea Tanzania Institute of Accountancy (TIA) ni uozo unaonuka

DOKEZO Kinachoendelea Tanzania Institute of Accountancy (TIA) ni uozo unaonuka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
In short analalamika Kuna mdada hapo TIA amefukuzwa chuo kwa sababu ya examination irregularities huyu mtoa mada kushaurii jicho la mwewe likamulike hapo TIA Kuna something fishy kwenye ufukuzwaji wa hao wahanga..
Thanks for being such a bright mind, and that is exactly the intent of my message.
Thank you.
 
Siyo kukisiri>kukithiri
Bali kukisiri » kukithiri

Siyo ela >hela
Bali ela » hela

Katika alama za kimahesabu, umetumia vibaya alama hizo
Hata Mimi najua pia hayo makosa nimeyafanya kwenye uandishi wangu, sababu sija proofread nilichokipost , the thing is my phone has this autocorrection thing, but I Hope you got the intent of my message.
 
Wasomi wa siku hizi shida sana.

Unaandika io au izo na huoni kabisa kama kuna shida!

Hata hivyo bado sio rahisi kwa lectures wote waungane kumfukuza mwanafunzi kwa kesi ya uongo. Tumesikia upande wako nina hakika kuna la kusikia kutoka kwa lectures pia.
It is still possible that you are one of those lectures trying to skapegoat us in here! Why should we listen to you?

Afu mbona mmenipa title ya usomi Even though hamjui Mimi ni mtu wa aina Gani, elimu yangu ,na Mambo kibao ?
 
Naomba kama Kuna wahanga wa hili jambo hapa jukwaani wajitokeze ili tupate experience zaidi ya hili swala.
 
It is still possible that you are one of those lectures trying to skapegoat us in here! Why should we listen to you?

Afu mbona mmenipa title ya usomi Even though hamjui Mimi ni mtu wa aina Gani, elimu yangu ,na Mambo kibao ?
Kama hufanyi mambo ya kisomi hapo TIA unaingilia nini ishu za wanafunzi na waalimu wao? Si uendelee na mafagio yako huko mabafuni kama ni cleaner
 
Kama hufanyi mambo ya kisomi hapo TIA unaingilia nini ishu za wanafunzi na waalimu wao? Si uendelee na mafagio yako huko mabafuni kama ni cleaner
Acha ujinga wewe , Mimi nimeuliza swali kama huwezi kujibu acha.
Na hizo assumptions is outcome of my high intellect, that is the reason why.

My best guess is my intellect threatens you.

My take: I know there are people who works at TIA in here and you are trying to dissolve this matter.

Not necessarily you of course, because you smell like coward dog who is obedient to his master.
 
Wao wanalipwa ukireport kesi kama hii something not below 500k I think Sasa , they are doing things recklessly kisa pesa, na hawana ushahidi wowote strong kumdisqulify
tuachane na yote,
Naomba kujua hiyo karatasi ilifikaje hapo na kwanini ahusishwe huyo?
 
Madogo hamsomi kazi kuingia na vibomu kwenye Chumba cha mtihani.
Rudi tu nyumbani mdogo wetu.
What's wrong with you people, I earned my degree 15 years ago, don't try to make make generalization.

I am trying to do the right thing here" RAISING A BIG RED FLAG" and that's it.
 
tuachane na yote,
Naomba kujua hiyo karatasi ilifikaje hapo na kwanini ahusishwe huyo?
Asante kwa kuuliza.

Hiyo karatasi ilikua chini ya dawati pembeni kabisa na alipo ,umbali wa almost cm 70-100 kutoka alipo kaa.

Kibaya zaidi hiyo karatasi ilikua katikati ya candidate wawili. All they did is a simple assumptions that it belongs to her just because of her hand writing being a little big ,

Make no mistake,no any biometric system was used , neither the camera of the particular examination room to convict her that she is cheating.

Bad enough the content of that piece of paper doesn't even direct relate to the exam of the particular day.

And you know what, those people if they succeed to win on expelling a student they get paid.

I hope you understand the real problem here.
 
Seems like the name you chose as your pseudo name,it is,in unfortunately way ,a pure reflection of your soul.
Naomba nikujibu pia ,not in a good way of course

You seems like these little coward who hide behind their keyboard, who criticize everything on their paths, and in return sit and do nothing.

Wherever you are in this world,trust me no matter how big your eagle is, I will humble you, and my words of truth will haunt you to the inch of the ocean, I wrote something which is infact,yet right now is going on at TIA regarding the wrong conviction of our young brothers and sisters who their parents works so damn hard , sometimes day and night just to see these kids succeed, but poor systems and people who care less are trying to snap the big dream out of their future because of something called wrong conviction,and inability of stuff members to undo their wrong decision, and stupid, heartless people like you , all you care about is my very small mistake I did while delivering this message?

Ivi nani kawaroga , Hawa watoto wanaumia kweli and all you care about ni how bad nimeandika bandiko langu, what kind of people are you
This shows how much nincompoop you are. If you were wise a little to the level of the hyena you could have at least keep quite. But the hyena is wiser than you. Kilaza mkubwa, huna elimu na kiingereza hujui wala kiswahili. Jinga linadesa linakimbilia huku looking for sympath.
 
Wasalaam ndg zangu

Chuo Cha TIA Kuna uozo unaendelea ambao sio mzuri

Kuna wanafunzi almost 20+ kesi zao zimetoka kusikilizwa siku so nyingi lakini there is something fishy maana kesi kama hizi TIA zimekithiri sana na NACTVET ipo kimya.

For instance kuna mwanafunzi amekuwa disqualified sababu ya kipande cha karatasi ambacho siku ya mtihani kilikutwa within her viscinity( karibu na alipo)

Don't get me wrong msomaji sio kwenye booklet yake au akiwa nacho, at her viscinity.

Cha kushangaza zaidi kilichoandikwa kwenye karatasi sicho kitu kilichokuwa kwenye mtihani siku hiyo and wanarely on hand writing kwa kuangalia kwa macho kuprove kuwa it belongs to her. No biometric system yoyote imetumika kuprove kuwa ni chake.

Just imagine hawa ndio wasomi tulionao.

Kwenye vikao viwili lecturers wamemuhukumu kwa kitu hajafanya even though ameomba ushahidi wa camera utumike sababu chumba alichokua anafanyia mtihani Kuna camera, they didn't listen her at all.

Mbaya zaidi kuna voice note za malecturers and some university student leaders admitting kuwa wanachomfanyia huyu mtoto wa kike sio sawa, kisa wachache washapiga pesa imekuwa ngumu kwa wao ku-undo their wrong decision.

Mimi ni Moja ya watu ambao nipo karibu sana hapa TIA na trend ya kesi kama hizi zimekithiri

My take principle wa TIA it's time you take this matter on hand na ufatilie kwa ukaribu jambo hili, unless umeapprove kinachoendelea .
Poleni sana kwa Tanzania ya sasa kama huna vitu vitatu hutokuwa na Chako hata udaije 1. Pesa 2. Connection 3. Uchawi
 
Back
Top Bottom