DOKEZO Kinachoendelea Tanzania Institute of Accountancy (TIA) ni uozo unaonuka

DOKEZO Kinachoendelea Tanzania Institute of Accountancy (TIA) ni uozo unaonuka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna baadhi ya wanafunzi walikua disqualified pia but letter on their cases were thrown away.

that should tell you ,no matter how strict they are they always make mistakes, and this is one of them.
A mistake remains a mistake, yet in this instance your folly transcends mere error.
it is a deliberate exhibition of arrogance wrapped in ignorance
 
Behind the screen? How ?
Are you calling me coward brother?

Let us be rational here, I am saying things that can be held against me and you call me coward? Like how

At least you should appreciate my courage,to raise such a heavy RED BIG FLAG of what is going on at TIA defending people that they are not even related to me .

Let us all at least appreciate that braveness.
Na appreciate pale mtu anapofichua uozo unaojificha kwenye hizo Taasisi(Maana Inaeleweka uozo ni mwingi).but not for this instance
 
A mistake remains a mistake, yet in this instance your folly transcends mere error.
it is a deliberate exhibition of arrogance wrapped in ignorance
How fond of you to even appreciate unfathomable intellectual discord of your own abysmal winning against a honest man doing honest thing at his honest time.

And you, being against everything and at the end do nothing.shame
 
Nina rafiki yangu ameshakua kwenye hayo madhira mara kadhaa, ni ngumu kidogo kumuamini mwanafunzi, huwa ni wabishi, waongo, kila part wao wanaplqy victim.

Kesi za namna hiyo hushindi kwa kujifanya una hasira namna hiyo, kujidai mdai haki mwenye papara.
Tafuta watu, mtafute mwanasheria wa wanafunzi, mtafute dean of students, mtafute raisi wa chuo na baadhi ya viongozi, tafuta mashahidi wako.

Usiende na maneno tupu na jazba, cheza mchezo nje ya dimba, ila ukitaka kusubiri mpaka shauri lifike uende kujitetea utegemee kutoboa kwa style hiyo, hakika utanyolewa, hizo kesi huamuliwa nje ya ulingo.
 
Na appreciate pale mtu anapofichua uozo unaojificha kwenye hizo Taasisi(Maana Inaeleweka uozo ni mwingi).but not for this instance
How do you tell? From only something you think of or believe?

and how can you call this dissenssion,

While you've heard people in this very same chat talking the very same thing about what is infact truly happening at TIA only at a different time.

And those people are people I know nothing about.
 
Nina rafiki yangu ameshakua kwenye hayo madhira mara kadhaa, ni ngumu kidogo kumuamini mwanafunzi, huwa ni wabishi, waongo, kila part wao wanaplqy victim.

Kesi za namna hiyo hushindi kwa kujifanya una hasira namna hiyo, kujidai mdai haki mwenye papara.
Tafuta watu, mtafute mwanasheria wa wanafunzi, mtafute dean of students, mtafute raisi wa chuo na baadhi ya viongozi, tafuta mashahidi wako.

Usiende na maneno tupu na jazba, cheza mchezo nje ya dimba, ila ukitaka kusubiri mpaka shauri lifike uende kujitetea utegemee kutoboa kwa style hiyo, hakika utanyolewa, hizo kesi huamuliwa nje ya ulingo.
I am just a good Samaritan, nimeleta hii kitu hapa ili jamii ijue TU kua chuo Cha TIA Kuna mambo Kama hayo yanaendelea.
 
I am just a good Samaritan, nimeleta hii kitu hapa ili jamii ijue TU kua chuo Cha TIA Kuna mambo Kama hayo yanaendelea.
Mkuu kwani mtu akipigwa hilo rungu anatakiwa kulipa??

Kwa nijuavyo hutakiwi kulipa, ila hizo njia zangu nilizokwambia ndio pesa inaweza kukutoka.
Kama kalipa basi kapigwa mara mbili.

Hao wasimamizi wakikukuta na kidhibiti, ukatiwa hatiani kuchomoka ni ngumu ndgu yangu.

TIA wamekuwa mabandidu siku hizi.
 
Wasomi wa siku hizi shida sana.

Unaandika io au izo na huoni kabisa kama kuna shida!

Hata hivyo bado sio rahisi kwa lectures wote waungane kumfukuza mwanafunzi kwa kesi ya uongo. Tumesikia upande wako nina hakika kuna la kusikia kutoka kwa lectures pia.
Lectures ama lecturers?
 
Upo sahihi mkuu, lakini mazingira ya hii kesi yana sintofahamu nyingi.

Niamini Mimi , Kuna uozo unaendelea TIA

Walikamatwa wengi lakini saizi wamebaki wachache?

What does it tell you about their accuracy in their actions??

Nina uhakika waliobaki kwenye hii kesi ni walala hoi akiwemo huyo Binti.

The rest waliachiwa , kama unahisi hawafanyi makosa why kati ya walikamatwa wengi walikutwa hawana hatia?

Na je ni kweli walikua hawana hatia au Kuna kitu kidogo wametoa?
kwa mujibu wako hio karatasi ni ya nani?
 
Mkuu kwani mtu akipigwa hilo rungu anatakiwa kulipa??

Kwa nijuavyo hutakiwi kulipa, ila hizo njia zangu nilizokwambia ndio pesa inaweza kukutoka.
Kama kalipa basi kapigwa mara mbili.

Hao wasimamizi wakikukuta na kidhibiti, ukatiwa hatiani kuchomoka ni ngumu ndgu yangu.

TIA wamekuwa mabandidu siku hizi.
Ni kweli kabisa, mpaka nmeleta hapa jukwaani ujue hii sio kesi ya kwanza.

Ila Mimi sitaishia hapa nitafanya media press na waandishi wa habari . Ili jambo haki itapatikana tutafanya random assessment TIA na ukweli utajulikana.
Huyu Binti anasoma kwa shida sana na ada analipiwa na mzazi wake , Tena mkulima.
 
Wasalaam ndg zangu

Chuo Cha TIA Kuna uozo unaendelea ambao sio mzuri

Kuna wanafunzi almost 20+ kesi zao zimetoka kusikilizwa siku so nyingi lakini there is something fishy maana kesi kama hizi TIA zimekithiri sana na NACTVET ipo kimya.

For instance kuna mwanafunzi amekuwa disqualified sababu ya kipande cha karatasi ambacho siku ya mtihani kilikutwa within her viscinity( karibu na alipo)

Don't get me wrong msomaji sio kwenye booklet yake au akiwa nacho, at her viscinity.

Cha kushangaza zaidi kilichoandikwa kwenye karatasi sicho kitu kilichokuwa kwenye mtihani siku hiyo and wanarely on hand writing kwa kuangalia kwa macho kuprove kuwa it belongs to her. No biometric system yoyote imetumika kuprove kuwa ni chake.

Just imagine hawa ndio wasomi tulionao.

Kwenye vikao viwili lecturers wamemuhukumu kwa kitu hajafanya even though ameomba ushahidi wa camera utumike sababu chumba alichokua anafanyia mtihani Kuna camera, they didn't listen her at all.

Mbaya zaidi kuna voice note za malecturers and some university student leaders admitting kuwa wanachomfanyia huyu mtoto wa kike sio sawa, kisa wachache washapiga pesa imekuwa ngumu kwa wao ku-undo their wrong decision.

Mimi ni Moja ya watu ambao nipo karibu sana hapa TIA na trend ya kesi kama hizi zimekithiri

My take principle wa TIA it's time you take this matter on hand na ufatilie kwa ukaribu jambo hili, unless umeapprove kinachoendelea .
Wewe mpumbavu unayeandika kiswanglish unatakiwa ufukuzwe hapo chuoni.
 
kwa mujibu wako hio karatasi ni ya nani?
Kwa mujibu wangu , hio karatasi sio yake, na ni kazi ya chuo kutumia cctv camera kujua ilifikaje ndani ya chumba Cha mtihani and not making randomly assumptions kua ni yake.
 
What's wrong with you people, I earned my degree 15 years ago, don't try to make make generalization.

I am trying to do the right thing here" RAISING A BIG RED FLAG" and that's it.
Mkuu usiwe unawajibu hao unajichosha tu jikite kwenye mada yako
 
Kakata rufaa lakini kesi yake imechukuliwa very lightly, haijasikilizwa kabisa. All they said to her is "unatupotezea muda"
Apambane, kuna jamaa alihitimu 5 years later baada ya kudisco kisa siasa, alifungua kesi na akashinda plus fidia juu.
 
Apambane, kuna jamaa alihitimu 5 years later baada ya kudisco kisa siasa, alifungua kesi na akashinda plus fidia juu.
Mkuu wapo wengi waliofanyiwa ivi , but it's time we put end to this once and for all.

Watu wanaumia kisa Kuna mtu kalipwa vijisenti kidogo.
 
Back
Top Bottom