Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

Uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika mwaka huu sasa itakuwaje uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura lifanyike mwakani kwa baadhi ya mikoa wakati kuna watu hawana kadi ya mpiga kura na wanahitaji kadi ili wapige kura.
Daftari la kudumu la wapiga kura alitumiki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji litaandikwa daftari lake tofauti kabisa ambalo alinaga voter id Wala picha ni la kilocal local TU bunda bunda mambo yaende kiufupi uchaguzi wa serikali za mitaa ni WA ajabu
 
Mpaka kufika hiyo june mwakani kama kuna walioomba bado watakuwa wanawazia hilo zoezi basi wana roho ya chuma
 
Back
Top Bottom