Kinachofanyika kwenye kutekwa, kupotezwa au kuuawa bila kujulikana kwa watu popote ulimwenguni

Mkuu naomba kufahamishwa zaidi kuhusu huyo prof ilokuwaje kuaje ??
 
undefinedtatizo hueleweki hasa unaongea nini,mara military intelligence,mara jkt,sijui walimu na wanafunzi wasionekana etc,DO YOU THINK WE ARE STUPID?
 
Wewe huelewi tu. Na inawezekana uwezo wako wa kufikiri ni finyu. Unanitisha mimi, kwani unafikiri sijui kuwa ninachokiandika watu wata ki track? Watishe mbulrula wenzio lakini sio mimi. Mjinga mkubwa, ongelea siasa haya mambo yana wenyewe.
 
Ufafanuzi upi?

Angalia mifano iliyopangwa pamoja then linganisha
Habari za huyo Prof sizifahamu mkuu! Lakini wengne habari zao nizifahamu nachomaanisha ni kwamba huenda kuna mifano ya matukio nilikuwa mdogo hivyo sina taarifa zake
Afu vipi kuhusu Dr singodo Mvungi pia?
 
Huyu mwandishi atakuwa msaliti tu na adhabu.yake ilikuwa hiyo.
 
Hapo pa infiltration mbona hatari sana, hafu umeandika hyo.kazi inahtaji someone smart, lakini kuna wanaojitapa mbona wako normal tu au ndo exagration kuhusu hawa watu.
Haaaa mkuu sheria yao kuu" hutakiwi kujulikana kwa gharama yoyote na mahali popote hasa mazingira ya kazi" hide you are presence in any cost within territorial working place
 
Habari za huyo Prof sizifahamu mkuu! Lakini wengne habari zao nizifahamu nachomaanisha ni kwamba huenda kuna mifano ya matukio nilikuwa mdogo hivyo sina taarifa zake
Afu vipi kuhusu Dr singodo Mvungi pia?

Mwaikusa = Mvungi

Alifanyiwa kitu kinaitwa wait and kill

Action is to deploy the snipers at side where they can not miss the target
 
Huyu mwandishi atakuwa msaliti tu na adhabu.yake ilikuwa hiyo.
Mwanzo alifanya kazi kama mshauri wa royal family ya Saudia baadae akaacha na kwenda nje ya nchi na kuanza kuandika makala ya kuwakashifu (ambayo mengi ni ya ukweli)

Hawakupenda hilo wakaamua wammalize lakini sidhani kama ni usaliti bali alikuwa anawapa ukweli kwa udhalimu wanaoufanya
 
Haaaa mkuu sheria yao kuu" hutakiwi kujulikana kwa gharama yoyote na mahali popote hasa mazingira ya kazi" hide you are presence in any cost within territorial working place
Mbona kuna watu wanajitapa kabisa yani ili waonekane sasa nashangaa wao inakuwaje wanajulikana
 
Mwaikusa = Mvungi

Alifanyiwa kitu kinaitwa wait and kill

Action is to deploy the snipers at side where they can not miss the target
Mvungi mbona hakuwa na shida au kosa lake lilikuwa mambo ya katiba? Huyo mwaikusa simfahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…