Elungata wewe bado ni boya sana. Hii ni elimu huria, ndio maana huwezi kusikia jasusi akajiita yeye ni jasusi. Na ukisikia mtu anajiita yeye ni jasusi mpeleke polisi. Lakini katika shule zile hata mwalimu anakuwa hamjui mwanafunzi na mwanafunzi hamjui mwalimu na wanafunzi wanakuwa hawajuani. Lastly shule ikikolea no graduation but they will send you somewhere as an appointment. Na kwakuwa unakuwa huru unarudi shule kuchukua taaluma nyingine za kiboya kama vile1. Sheria2. Uchumi3. Business4. International relations5. engeneering6. Medicine7. Protections VIP8. Services "kuwahudumia wakubwa"9. Teaching10. Kutengeneza vitengo " unakuwa kitengoni kuteneza program na vitengo"11. Kuwasaka watakaokuwa usalama baadae "kurithisha kizazi"--Wote hao wanawajibika kwa Military Intelligent"undefinedHii kazi inahitaji watu wenye akili sana sana au wenye uwezo wa kufikiria sana.Hii nchi ni yetu wote.undefinedTuipende nchi yetuundefinedNashangaa hakuna aliyeuliza swali, inamaana nimeeleweka vizuriundefinedTutarudisha ile JKT ya zamani ili tupate vijana kama akina Mabere Nyaucho Marando, Hassy Kitine, Brig. Gen. Agustino Ramadhani na Membe wengine unaweza kuongezea.