Kinachofanyika kwenye kutekwa, kupotezwa au kuuawa bila kujulikana kwa watu popote ulimwenguni

Elungata wewe bado ni boya sana. Hii ni elimu huria, ndio maana huwezi kusikia jasusi akajiita yeye ni jasusi. Na ukisikia mtu anajiita yeye ni jasusi mpeleke polisi. Lakini katika shule zile hata mwalimu anakuwa hamjui mwanafunzi na mwanafunzi hamjui mwalimu na wanafunzi wanakuwa hawajuani. Lastly shule ikikolea no graduation but they will send you somewhere as an appointment. Na kwakuwa unakuwa huru unarudi shule kuchukua taaluma nyingine za kiboya kama vile
1. Sheria
2. Uchumi
3. Business
4. International relations
5. engeneering
6. Medicine
7. Protections VIP
8. Services "kuwahudumia wakubwa"
9. Teaching
10. Kutengeneza vitengo " unakuwa kitengoni kuteneza program na vitengo"
11. Kuwasaka watakaokuwa usalama baadae "kurithisha kizazi"
--Wote hao wanawajibika kwa Military Intelligent"

Hii kazi inahitaji watu wenye akili sana sana au wenye uwezo wa kufikiria sana.
Hii nchi ni yetu wote.

Tuipende nchi yetu

Nashangaa hakuna aliyeuliza swali, inamaana nimeeleweka vizuri

Tutarudisha ile JKT ya zamani ili tupate vijana kama akina Mabere Nyaucho Marando, Hassy Kitine, Brig. Gen. Agustino Ramadhani na Membe wengine unaweza kuongezea.
Mkuu naomba kufahamishwa zaidi kuhusu huyo prof ilokuwaje kuaje ??
 
Elungata wewe bado ni boya sana. Hii ni elimu huria, ndio maana huwezi kusikia jasusi akajiita yeye ni jasusi. Na ukisikia mtu anajiita yeye ni jasusi mpeleke polisi. Lakini katika shule zile hata mwalimu anakuwa hamjui mwanafunzi na mwanafunzi hamjui mwalimu na wanafunzi wanakuwa hawajuani. Lastly shule ikikolea no graduation but they will send you somewhere as an appointment. Na kwakuwa unakuwa huru unarudi shule kuchukua taaluma nyingine za kiboya kama vile1. Sheria2. Uchumi3. Business4. International relations5. engeneering6. Medicine7. Protections VIP8. Services "kuwahudumia wakubwa"9. Teaching10. Kutengeneza vitengo " unakuwa kitengoni kuteneza program na vitengo"11. Kuwasaka watakaokuwa usalama baadae "kurithisha kizazi"--Wote hao wanawajibika kwa Military Intelligent"undefinedHii kazi inahitaji watu wenye akili sana sana au wenye uwezo wa kufikiria sana.Hii nchi ni yetu wote.undefinedTuipende nchi yetuundefinedNashangaa hakuna aliyeuliza swali, inamaana nimeeleweka vizuriundefinedTutarudisha ile JKT ya zamani ili tupate vijana kama akina Mabere Nyaucho Marando, Hassy Kitine, Brig. Gen. Agustino Ramadhani na Membe wengine unaweza kuongezea.
undefinedtatizo hueleweki hasa unaongea nini,mara military intelligence,mara jkt,sijui walimu na wanafunzi wasionekana etc,DO YOU THINK WE ARE STUPID?
 
Wewe huelewi tu. Na inawezekana uwezo wako wa kufikiri ni finyu. Unanitisha mimi, kwani unafikiri sijui kuwa ninachokiandika watu wata ki track? Watishe mbulrula wenzio lakini sio mimi. Mjinga mkubwa, ongelea siasa haya mambo yana wenyewe.
 
Ufafanuzi upi?

Angalia mifano iliyopangwa pamoja then linganisha
Habari za huyo Prof sizifahamu mkuu! Lakini wengne habari zao nizifahamu nachomaanisha ni kwamba huenda kuna mifano ya matukio nilikuwa mdogo hivyo sina taarifa zake
Afu vipi kuhusu Dr singodo Mvungi pia?
 
Sasa na hii operation ya khashoghi imekaaje au wao (Saudia) hawaguswi na mtu maana jamaa kaingia ubalozini wamemuuwa na kumkatakata vipande.

Saa yake hiyo iliyotoa siri zote maana yake ni mission fail
Kwa hiyo nao Mohammed Bin Suleiman atawamaliza? Kama ndio aliewatuma?
Huyu mwandishi atakuwa msaliti tu na adhabu.yake ilikuwa hiyo.
 
Hapo pa infiltration mbona hatari sana, hafu umeandika hyo.kazi inahtaji someone smart, lakini kuna wanaojitapa mbona wako normal tu au ndo exagration kuhusu hawa watu.
Haaaa mkuu sheria yao kuu" hutakiwi kujulikana kwa gharama yoyote na mahali popote hasa mazingira ya kazi" hide you are presence in any cost within territorial working place
 
Habari za huyo Prof sizifahamu mkuu! Lakini wengne habari zao nizifahamu nachomaanisha ni kwamba huenda kuna mifano ya matukio nilikuwa mdogo hivyo sina taarifa zake
Afu vipi kuhusu Dr singodo Mvungi pia?

Mwaikusa = Mvungi

Alifanyiwa kitu kinaitwa wait and kill

Action is to deploy the snipers at side where they can not miss the target
 
Huyu mwandishi atakuwa msaliti tu na adhabu.yake ilikuwa hiyo.
Mwanzo alifanya kazi kama mshauri wa royal family ya Saudia baadae akaacha na kwenda nje ya nchi na kuanza kuandika makala ya kuwakashifu (ambayo mengi ni ya ukweli)

Hawakupenda hilo wakaamua wammalize lakini sidhani kama ni usaliti bali alikuwa anawapa ukweli kwa udhalimu wanaoufanya
 
Haaaa mkuu sheria yao kuu" hutakiwi kujulikana kwa gharama yoyote na mahali popote hasa mazingira ya kazi" hide you are presence in any cost within territorial working place
Mbona kuna watu wanajitapa kabisa yani ili waonekane sasa nashangaa wao inakuwaje wanajulikana
 
Mwaikusa = Mvungi

Alifanyiwa kitu kinaitwa wait and kill

Action is to deploy the snipers at side where they can not miss the target
Mvungi mbona hakuwa na shida au kosa lake lilikuwa mambo ya katiba? Huyo mwaikusa simfahamu.
 
Back
Top Bottom