Kinachofanyika kwenye kutekwa, kupotezwa au kuuawa bila kujulikana kwa watu popote ulimwenguni

Daah naona kama umetuambia tutandike turubali tufanye hitima vile
 
Sijaelewa kuuwawa,kutekwa na kupigwa risasi kwa uliowataja kuna mahusiano gani na JWTZ na TISS kama ulivyotaja hapo juu
 
Yaani acha tu
 
kumenoga mkuu! *** kwako kama heshma lakini mkuu unamuweka mo katika kundi gani kwamba naye ni Slipper agent? Nauliza tu tena kwa hofu kubwa
Tuendelee kufuatilia darsa hapa.Tutajifunza mengi mkuu
 
Kuna kitu umechanganya kidogo. JWTZ ni army, hawako involved with direct action kama tiss.
Ila ndani ya JWTZ kuna kikosi cha military intelligence na hawa wanatumika sana sana kwenye ku spy adui nje ya mipaka au nyakati za vita.

Na place my bet in TISS. Ndani ya tiss kuna vikosi vya direct action. A.k.a direct action units.
Hawa wako responsible na utekaji, uuaji, sabotage. Na zile mission za hatari. members wanakuwa wamepitia mafunzo ya kikomando na wengi huchukuliwa kutokea jwtz.

My bet ni tiss.. Not MI
 
Khashogi sio mission. Ila walikiwa wakimtafuta kwa muda mrefu. Na vile wamemuua ndani ya ubalozi na taarifa zime leak means saudia lazima wapate shida, ndio maana western countries. Wafaransa, america britain wote wanataka ukweli usemwe na wachukuliwe hatua.
 
Hapo pa infiltration mbona hatari sana, hafu umeandika hyo.kazi inahtaji someone smart, lakini kuna wanaojitapa mbona wako normal tu au ndo exagration kuhusu hawa watu.
Kama umenote. Amechanganya jwtz na tiss.
Jwtz hawako involved with direct action. Lakin tiss ndani wana kikosi cha direct action, kazi yao utekaji, kuua, sabotage.
 
Aliyoeleza mentor tafuta series inaitwa scandal imebeba uhalisia juu ya uongozi unaofanya mambo chini ya mwamvuli, ambayo ndio yanatokea leo duniani mtajifunza mengi...
 
Sidhani kama ni double agent. Nadhani alikuwa anapersona issues na familia ya kifalme na sio nchi kama nchi.

Ingekuwa ni siri za nchi hapo sawa, lakin attacks was pointed to royal family. sijui ugomvi wao ulikuwaje lakin sidhan kama ni double agent.

Double agent hawadakwi kizembe. They are professionals.
 
Yeah kuna possibility kubwa kuwa kuna vita inaendelea kwa siri na vile tiss na operative wake wanahangaika ku contain hii ishu japo kuwa ni kimya kimya.
Tatizo la watz wana demand answers hata kwa taasisi kama Tiss ambayo hawajui ufanyaji kazi wake.
 
Sijaelewa kuuwawa,kutekwa na kupigwa risasi kwa uliowataja kuna mahusiano gani na JWTZ na TISS kama ulivyotaja hapo juu
Kwangu mm sioni uhusiano. Sababu jwtz sio direct action element. Isipokuwa tiss wana direct action unit. Kazi ya kuua , utekaji, na sabotage.
Membersbwa hii unit wengi wametokea jwtz
 
Kama umenote. Amechanganya jwtz na tiss.
Jwtz hawako involved with direct action. Lakin tiss ndani wana kikosi cha direct action, kazi yao utekaji, kuua, sabotage.
Hao wakuteka na kuua mbona ni hatari sana hamna adhabu nyingine za kumpa mtu Mpaka umuue. Dunia ina mambo aisee
 
Atakuwa hivo mana alikimbia ka msaliti unafikiri kwa nini hyo punishment ikawa kubwa hvo. Kuwa karibu na royal family was like insider hizi kazi huwa ni hatari sana, hata ukiwa mjanja siku wakikuotea ndo basi tena. Though wamemuua kwa mateso makubwa marehemu hakomolewi hivo
 
Yeah kuna possibility kubwa kuwa kuna vita inaendelea kwa siri na vile tiss na operative wake wanahangaika ku contain hii ishu japo kuwa ni kimya kimya.
Tatizo la watz wana demand answers hata kwa taasisi kama Tiss ambayo hawajui ufanyaji kazi wake.
Ni haki raia kuwa na wasiwasi na mambo yanayoendelea hasa linapoingiliwa na wanasiasa mfano issue ya clouds kuvamiwa na wale wajeda, so wana nchi hisia zetu zinatupelekea kujua serikali ingawa waweza pia kuwa wahalifu
 
Makampuni makubwa mengi yanaweza kuvunja uhusiano na Saudia
Kwa mfano dili la Richard Branson ameahirisha na Uber na wengi watafanya hivyo.

Lakini hayo ni makampuni tu kwa misimamo yao na kupinga udhalimu unaoendelea.

Lakini kama tunavyojua mataifa ya magharibi wana maslahi mapana na Saudia kwa hiyo hizi ni bla bla tu hawawezi kumfanya kitu

Angalia wanavyouwa Yemen lakini hawamfanyi kitu.

Haya yatapita na hakuna watakachomfanya believe me

Mda si mrefu kuna Canadians walikamatwa Saudia na Canada wakakasirika lakini saudia walichofanya walituma ndege na kurudisha wanafunzi wote waliokuwa wanasoma Canada na kufunga biashara na Canada

Europeans na USA hawawezi kumfanya kitu kwa kumuwekea vigezo vyovyote.

Huyu kijana crown Prince ni muuwaji na amefanya makusudi kutuma watu wammalize ubalozini
Pompei ameenda kunywa chai Saudia
Unafikiri atawafanya nini? Tusubiri tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…