Kinachofanywa na Mchungaji Msigwa hakina tofauti na kinachofanywa na CHADEMA, nadhani kuna haja ya kubadilika

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Kiuhalisia ukitoa sehemu ndogo ya watu ambayo ni watumishi wa Serikali na wanasiasa Asilimia kubwa ya wananchi wanaamini katika Hayati Magufuli na wanampenda .

Ukiingia humu jukwaani ,ukiwa ofisini na ukiwa kwenye kundi la wanasiasa utaona mnaongea lugha moja kuhusu JPM ambayo ni kama 80% siyo uhalisia wa mtaani . Mtaani hawaambii kitu kibaya kuhusu JPM wakakukubali hata ukiwa na ushahidi.

CHADEMA wanakwenda mikutano wanadai sera baada ya muda anasimama kiongozi anaanza mzungumzia vibaya hayati Magufuli kitu ambacho hapo alipo zaidi ya 80% wanaamini katika utendaji wake ,Unategemea nini ?

Vivyo hivyo kwa Msigwa Kiuhalisia ukitoa wanufaika wa mfumo wa CCM watu wanaamini katika Upinzani hususani CHADEMA mbali na mapungufu yake , kwa hiyo anaposimama na kuisema vibaya watu hawamuelewi hata wana CCM mule ndani baadhi hawamuelewi .

Hivyo CDM na msigwa kuna haja ya kubadilika mnafanya makosa yale yale ,someni .

Kama CHADEMA akisimama akinadi sera zake na kusimama na Mazuri ya JPM ambayo raia wanayaoona huko mitaani wataeleweka Sana .​
 
Magufuli alikuwa FISADI tu kuliko mafisadi wote waliowahi kutokea Tanzania. Alitumia UWONGO na propaganda kujifanya mzalendo na mchukia rushwa, lakini yeye ndiye alikuwa mpokea rushwa mkubwa.

Watanzania by 90% ni wajinga ndiyo maana waliamini kila ambacho Magufuli alichokuwa anawambia baada ya kuvitisha vyombo vya habari visifanye kazi kwa Uhuru
 
Wakati wa Magufuli vyuma vilikuwa vimekaza, na hali hiyo haijabadilika mpaka leo hii. Zaidi wapinzani wanaeleza mambo ya kikatili ambayo Magufuli aliwafanyia na wananchi wanajua ukweli huo. Je, mtoa mada anataka kusema kwamba mashabiki wa Magufuli hawana habari na vita vya mpendwa wao dhidi ya wapinzani?
 
Iko wazi watumishi hasa waalimu ndio mnamchukia Magu
 
Wakati wa Magufuli vyuma vilikuwa vimekaza, na hali hiyo haijabadilika mpaka leo hii. Zaidi wapinzani wanaeleza mambo ya kikatili ambayo Magufuli aliwafanyia na wananchi wanajua ukweli huo. Je, mtoa mada anataka kusema kwamba mashabiki wa Magufuli hawana habari na vita vya mpendwa wao dhidi ya wapinzani?
Ukatili gani wa Jiwe aliwafanyia wananchi ?
 
Kiuhalisia ukitoa sehemu ndogo ya watu ambayo ni watumishi wa Serikali na wanasiasa Asilimia kubwa ya wananchi wanaamini katika Hayati Magufuli na wanampenda .

Ukiingia humu jukwaani ,ukiwa ofisini na ukiwa kwenye kundi la wanasiasa utaona mnaongea lugha moja kuhusu JPM ambayo ni kama 80% siyo uhalisia wa mtaani . Mtaani hawaambii kitu kibaya kuhusu JPM wakakukubali hata ukiwa na ushahidi.

CHADEMA wanakwenda mikutano wanadai sera baada ya muda anasimama kiongozi anaanza mzungumzia vibaya hayati Magufuli kitu ambacho hapo alipo zaidi ya 80% wanaamini katika utendaji wake ,Unategemea nini ?

Vivyo hivyo kwa Msigwa Kiuhalisia ukitoa wanufaika wa mfumo wa CCM watu wanaamini katika Upinzani hususani CHADEMA mbali na mapungufu yake , kwa hiyo anaposimama na kuisema vibaya watu hawamuelewi hata wana CCM mule ndani baadhi hawamuelewi .

Hivyo CDM na msigwa kuna haja ya kubadilika mnafanya makosa yale yale ,someni .

Kama CHADEMA akisimama akinadi sera zake na kusimama na Mazuri ya JPM ambayo raia wanayaoona huko mitaani wataeleweka Sana .​
Punguza ujinga. Magufuli gani unamuongelea?. Huyu aliyezima mitandao siku ya uchaguzi? Au huyu aliyemlima Lissu risasi?. Usipende kulazimisha watu uongo.
 
Mkuu hawa watu hawawezi kukuelewa ila majibu watayapata 2025, watarudi kusema wameibiwa kura wakati kosa lao ni kutokukubali ukweli kuwa JPM anawafuasi wengi ambao wangepaswa kuwapata.
Punguza ujinga. Angekuwa na wafuasi wangu angeharibu uchaguzi wa 2019 na 2020. Mnaongea kana kwamba hatukuwepo. Si ndio huyu kazima mitandao nchi nzima ili apite kwa kishindo na kutengua wagombea wa upinzani kwa asilimia 80 nchi nzima 2019 na asilimia 40 2020?. Uzuri alipata kinachomtsahili.
 
Ujinga unao wewe ambaye fikra zako zinaongozwa na wanasiasa badala ya kutumia akili yako kufikiri, kwa akili yako unaamini nchi upinzani upo serious na unaamini kabisa kuna mpinzani angeweza kumshinda JPM kwenye kura. Upinzani ambao kila kukicha wao ni kukosoa wanachofanya ccm bila wao kusema watafanya nini.
 
Back
Top Bottom