Kinachofanywa na Mchungaji Msigwa hakina tofauti na kinachofanywa na CHADEMA, nadhani kuna haja ya kubadilika

Kinachofanywa na Mchungaji Msigwa hakina tofauti na kinachofanywa na CHADEMA, nadhani kuna haja ya kubadilika

CHADEMA wamepoteza kuaminika kwa wananchi kwanza baada ya gia ya angani.
Pili kuungana na wezi na vyeti feki kumpinga Magufuli
 
Wewe ndio utumie akili. Bado unategemea mbeleko ya marehemu kuishi. CHADEMA hatujikombi kwa mtu. Tunajisimamia wenyewe. Ndio maana huyo Magufuli kapamabana na CHADEMA weeeeh! Mpaka akafa akaiacha CHADEMA inadunda
JamiiForums-72271314.jpg~2.jpg
JamiiForums-2089014366.jpg
 
Wewe ndio utumie akili. Bado unategemea mbeleko ya marehemu kuishi. CHADEMA hatujikombi kwa mtu. Tunajisimamia wenyewe. Ndio maana huyo Magufuli kapamabana na CHADEMA weeeeh! Mpaka akafa akaiacha CHADEMA inadunda
Endeleeni kujidanganya
 
Unaona ulivyo wa ajabu mimi namzunguzia JPM wewe unaleta mambo ya wabunge hapa. JPM aligombea ubunge 2020 angewazuia wagombea uraisi hapo ungekuwa na chakusema kuwa JPM aliogopa kushindwa that's why akawazui wapinzani wake. Vita ya wabunge ilikuwa baina ya wao kwa wao JPM anahusikaje hapo, ndio nasema punguza mihemko.
Wewe mburura tambua kuwa 90% ya wabunge wote waliopo bungeni sasa hivi waliteuliwa na Magufuli mwenyewe. Kama utabisha na hili wewe ni kiazi
 
Acha marehemu asimangwe alizingua mno,kwahiyo sisi sio wa mtaani
 
Magufuli alikuwa FISADI tu kuliko mafisadi wote waliowahi kutokea Tanzania. Alitumia UWONGO na propaganda kujifanya mzalendo na mchukia rushwa, lakini yeye ndiye alikuwa mpokea rushwa mkubwa.

Watanzania by 90% ni wajinga ndiyo maana waliamini kila ambacho Magufuli alichokuwa anawambia baada ya kuvitisha vyombo vya habari visifanye kazi kwa Uhuru
Propaganda zake zilidunda humu JF ndio akataka kuifungia.
 
Vyeti feki siyo issue kabisa. Mbona Magufuli mwenyewe alikuwa na PhD Feki lakini alipewa kuwa Rais wa Tanzania. Njoo na hoja nyingine
Matapeli na wezi aliwakomesha sana na kuwafirisi ndio maana mnamchukia 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom