Kinachofanywa na Mchungaji Msigwa hakina tofauti na kinachofanywa na CHADEMA, nadhani kuna haja ya kubadilika

Ni kweli mitaa inamuelewa JPM, mwanzo nilikua siamini hili ila ni kweli wengi wanamuelewa huyu marehemu na sio mama.

Wapinzani waachane nae, wanadi sera zao na kupinga yatendwayo sasa, hili la JPM litawapotezea muda.
 
Hivi wewe jama uchaguzi wa 2020 walikukosea nini ?
Mwaka 2020 hakukuwa uchaguzi bali Magufuli alitembeza UDITETA wake kwa kujipa 82% ya kura zote kupitia NEC na TISS.
Watu walikwenda vituoni kuweka alama ya wino kwenye vidole na siyo kupiga kura.

Mwaka 2020 aliamua kuziiba kura zote mwenyewe Magufuli kwa kutiki makaratasi kutokea Jamana Printers na Kambi ya Mbweni Kisha ma DSO na DED wakagawiwa makatasi yaliyopigwa. Zile kura tulizopiga wananchi hazikuhesabiwa kabisa.

Dhana ya kwamba Magufuli alikuwa anapendwa ni UWONGO
 
Huu ni mtazamo wake
 
Mara nyingi comments zako kuhusu uchaguzi wa 2020 huwa negative sana
Sio kidogo, maana uchaguzi wenyewe ulikuwa negative mno. Huenda ww ulifaidika na ushenzi ule, hivyo huwezi kuona hatari.
 
Kiuhalisia ukitoa sehemu ndogo ya watu ambayo ni watumishi wa Serikali na wanasiasa Asilimia kubwa ya wananchi wanaamini katika Hayati Magufuli na wanampenda .

Ukiingia humu jukwaani ,ukiwa ofisini na ukiwa kwenye kundi la wanasiasa utaona mnaongea lugha moja kuhusu JPM ambayo ni kama 80% siyo uhalisia wa mtaani . Mtaani hawaambii kitu kibaya kuhusu JPM wakakukubali hata ukiwa na ushahidi.

CHADEMA wanakwenda mikutano wanadai sera baada ya muda anasimama kiongozi anaanza mzungumzia vibaya hayati Magufuli kitu ambacho hapo alipo zaidi ya 80% wanaamini katika utendaji wake ,Unategemea nini ?

Vivyo hivyo kwa Msigwa Kiuhalisia ukitoa wanufaika wa mfumo wa CCM watu wanaamini katika Upinzani hususani CHADEMA mbali na mapungufu yake , kwa hiyo anaposimama na kuisema vibaya watu hawamuelewi hata wana CCM mule ndani baadhi hawamuelewi .

Hivyo CDM na msigwa kuna haja ya kubadilika mnafanya makosa yale yale ,someni .

Kama CHADEMA akisimama akinadi sera zake na kusimama na Mazuri ya JPM ambayo raia wanayaoona huko mitaani wataeleweka Sana .​
😀😀😀😀 Unaposema asilimia kubwa unamaanisha ???
 
Mchungaji usimlaumu , anaongozwa na Roho Mtakatifu kama mnavyotuambia
 
Vijana jitokezeni kupiga kura
Hakuna vijana wajinga wa hivyo tena. Kwenda kupiga kura zisizoheshimiwa ni matumizi mabaya ya raslimali muda. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura. Ila kwa sasa kujitokeza kupiga kura kwa mazingira haya ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Basi acheni kupiga kelele
 
Iko wazi watumishi hasa waalimu ndio mnamchukia Magu
Yeye Magufuli aliwakosea nini walimu mpaka wamchukie hata baada ya kufa kwake?
Kiongozi asiyejali maslahi ya watumishi hasa walimu siyo mfano mzuri.
 
Back
Top Bottom