Hajashtakiwa kwa kuichafua serikali,mbona unakuwa zwazwa?Kabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.
Hata wakiweka vikwazo hakuna kumuachia Kabendera hadi apate haki na stahili yake kwa kuichafua nchi ili iwe fundisho kwa nyumbu yoyote ukitumika kama foreign agents wewe ni adui wa nchi na adhabu inayokustahili ki usalama ni kuwa eliminated.
Ila yana mwisho yote akajifunze kwa Alfred Gewe, sasa hivi yupo kwao huko Gidasi hata mbuzi na kondoo hazimpishi.. Tutumie vyeo vyetu kulinda utu wa watu na heshima zao.Kumbe anatuonea sisi wanyonge tu.
Kumtetea jiwe kazi sana,wanahangaika tu!Kiongozi gani hutaki kukosolewa??Shame!Mtu akiwa against huu utawala ni kibaraka. Tushazoea hiyo kauli na mnatuita mawakala wa mabeberu.
Matokeo yake ni sifuri kwenye nini?Watakaoathirika ndio wataleta mrejesho kama kweli matokeo ni sufuri!Badala ya muendelee kupigania tume huru nyie mmekomaa na maigizo ya Marekani ambayo matokeo yake ni 0
Sent using Jamii Forums mobile app
too late.Nini kifanyike ili kujinasua huki
Kabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.
Hata wakiweka vikwazo hakuna kumuachia Kabendera hadi apate haki na stahili yake kwa kuichafua nchi ili iwe fundisho kwa nyumbu yoyote ukitumika kama foreign agents wewe ni adui wa nchi na adhabu inayokustahili ki usalama ni kuwa eliminated.
Gewe yupo Gidasi? Ngoja nikipita hukoIla yana mwisho yote akajifunze kwa Alfred Gewe, sasa hivi yupo kwao huko Gidasi hata mbuzi na kondoo hazimpishi.. Tutumie vyeo vyetu kulinda utu wa watu na heshima zao.
Wewe ni kenge kweli kweli, unahukumuje watu kwa makabila yao????Hii nchi tusipoangilia vizuri itaponzwa na kabila moja hivi linapenda sifa saaana,na enzi za nyerere lilijaribu kuasi historia iko vizuri inathibitisha.
Kabila hili limejazana nchi za magharibi lakini wengi wao ndio kazi za akina kabendera,
Kabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.
Hata wakiweka vikwazo hakuna kumuachia Kabendera hadi apate haki na stahili yake kwa kuichafua nchi ili iwe fundisho kwa nyumbu yoyote ukitumika kama foreign agents wewe ni adui wa nchi na adhabu inayokustahili ki usalama ni kuwa eliminated.
Yaani tuwekewe vikwazo sababu ya kabendera? Au impact ya vikwazo huifahamu?Kabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.
Hata wakiweka vikwazo hakuna kumuachia Kabendera hadi apate haki na stahili yake kwa kuichafua nchi ili iwe fundisho kwa nyumbu yoyote ukitumika kama foreign agents wewe ni adui wa nchi na adhabu inayokustahili ki usalama ni kuwa eliminated.
Tumegusa asset yao, wanataka aachiwe ili kutoleta ugumu ku recruit next assets.Yaani tuwekewe vikwazo sababu ya kabendera? Au impact ya vikwazo huifahamu?
Uwe unasoma na kuelewa, nimemjibu alivyosema kama ni vikwazo tuwekewe tu ila kabendera anyooshwe. Ndo nkamuuliza anajua impact ya vikwazo mpaka aseme tuwekewe tu sababu ya mwandishi moja anayeandika makala?Huijui nguvu ya wanahabari wa kimataifa wewe
Vita ya kidiplomasia inahitaji akili kuliko nguvu. Yaani wananchi wateseke sababu ya asset moja ya wazungu? Akili ya aina gani hii? Ni raia wenu, mnashindwa nn kumpangia kazi nyingine mpaka atese raia? Au hatuna akili za kijasusi kutatua tatizo dogo kama la kabendera?Tumegusa asset yao, wanataka aachiwe ili kutoleta ugumu ku recruit next assets.
Subiri utaona akienda mahakamani sasa ni nini kitatokea. Mashitaka serikali yako ya hovyo inayotoa ni ya kihuni huni!Uongo mkubwa wameweka sababu zao zipo wazi inamaana soamlia na Irani nako kuna kabendela
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya sana wewe utatangulia kabla yake.Kabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.
Hata wakiweka vikwazo hakuna kumuachia Kabendera hadi apate haki na stahili yake kwa kuichafua nchi ili iwe fundisho kwa nyumbu yoyote ukitumika kama foreign agents wewe ni adui wa nchi na adhabu inayokustahili ki usalama ni kuwa eliminated.
Hebu tuweke kumbukumbu sahihi. Huyu Eric Kabendera ni investigative Journalist mwenye kiwango cha juu katika kufuatilia na kuchambua.Kabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.