Kinachoiponza Tanzania ni mashitaka dhidi ya mwana habari Erick Kabendera, ni kama marehemu Jamal Khashoggi (Mwanahabari)

Lianglie hili...kuwa eliminated wewe basi kama ni sifa...
 
S
Subiri utaona akienda mahakamani sasa ni nini kitatokea. Mashitaka serikali yako ya hovyo inayotoa ni ya kihuni huni!
Ban ni nchi zenye idadi kubwa ya waislamu duniani ilianza kitambo sio jambo jipya ila kwa kuwa wewe unaubongo kdogo kama mwenyekiti wako mbowe huwezi jua lolote ni kupanua vidole tu


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo jiwe anachekelea tu haoni kama kuna kitu anapoteza, mwisho wa siku atasema mabeberu wana wivu na sisi kisa tumenunua Bombardier na kujenga barabara.... hahahhaha

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Mtu akiwa against huu utawala ni kibaraka. Tushazoea hiyo kauli na mnatuita mawakala wa mabeberu.
Acha kutudanganya hili la vikwazo halina uhusiano wowote na hayo uliyo yaandika kabisa kila mtu ana jua fika hapa swala ni mambo ya ugaidi na kifupi hapa sio kwamba raia watazuiwa kwenda marekani bali ni kwamba watu watakuwa wana kaguliwa sana ili kuingia marekani wala hakuna uhusiano wowote na mambo ya demokrasia sijui kabendera hakuna kitu kama hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…