Kinachoiponza Tanzania ni mashitaka dhidi ya mwana habari Erick Kabendera, ni kama marehemu Jamal Khashoggi (Mwanahabari)

Kwahiyo kumbe kesi ya uhujumu uchumi ni ya kubumbabumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhhh huwo uwongo jamani Tena mkubwa kabendera alikuwa anatumiwa na baadhi ya watu katika serikali walikuwa wakimlipa nakumpa Siri ili azitoe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi si imesemwa shida ni wale wanaoomba vibali wengi wao kupitisha muda wakiwa huko. Hayo ya waandishi wa habari ndiyo chanzo umeyatoa wapi?
 
Hapa nimekuelewa maana Mkuu wa operation hii alikamatwa na kushitakuwa, lakini wahusika pia wameshughulikiwa kikamilifu
Wao walipambambana kusolve ishu na walijitoa kuwa hawahusiki kwa kuwachukulia hatua wahusika. Nyie endeleeni kushupaza shingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wanafiki sana. Kama unayoyasema ni kweli mbona mnamshtaki kwa kutakatisha fedha?
 
Je, foreign agents wanaoiingiza nchi kwenye mikataba ya kichifu Mangungo wafanywaje?
 
Urongo mtupu. Tatizo ni wajitoa mhanga au ugaidi tu
Mnapenda kudanganya kwa faida ya nani?
 
Ongezea nyama kwenye uzi wako. State departiment wamesema sababu ni kupungua kwa demokrasia na kuviolate human rights since 2015.
 
Mbali ya hayo yote, serikali yetu inafanya mambo ya kigaidi

Kuteka watu

Kupiga risasi watu

Kubambikia kesi

Viongozi wa upinzani wote wanna kesi
Viongozi wa upinzani wote wamehikufungwa
Kununua wapinzani
Kuzuia uhuru wa habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mtanzania1989 unafeli wapi mkuu, kama ingekua kesi ni halali kuwa ni spy mbona amegeuziwa mashitaka na kuwa ya uhujumu uchumi??? hapa kuna haki yoyote kweli??? kwanini serikai kama ni ya kiungwana isiseme hadharani kuwa kabendera alitumika na accasia???? haki iko wapi... ni sawa na mimi nimeiba pikipiki then nikaambiwa nimeiba basi...thats shit,,,THE TIME WILL TELL
 
Ishu hapa ni vita ya kiuchumi
Makinikia imewaumiza sana Acacia,wana watu wao wenye hisa wapo Washington wanajaribu kulipa kisasi,
Wataishiwa pumzi tu,sie wenyewe tulishajipiga travel ban tokea 2015
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sasa mbona hawi eliminated???

Unamihemuko aisee mme mshitaki anahujumu uchumi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Eliminated [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…