Sio kwa uoga huo hawatamleta lazima kisingizio kisafutwe tena kitakua kiaajabu hakina logic hawawezi kupambana na ummah.Wakuu,
Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025.
Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Viongozi mbalimbali walilaani kukamatwa kwake pamoja na kupewa kesi hiyo wakiitaka serikali imuachie mara moja huku polisi na viongozi wengine serikalini wakizua wananchi kwenda kusikiliza kesi pamoja na kuwaacha kujiingiza kwenye vitendo 'vinavyochochea uvunjifu wa amani'.
Leo tayari polisi wametanda huku huku, wanasubiri kudaka 'wavunjifu wa amani' lakini kwenye maandamano ya mama mambo huwa shwari kabisa[emoji1787][emoji1787]
Nini kitatokea.... updates zitakuja kadri zitakavyoingia
======
Updates
- Pre GE2025 - DSM - Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu
Asante mkuu tupe taarifa kitakachojiriWakuu,
Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025.
Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Viongozi mbalimbali walilaani kukamatwa kwake pamoja na kupewa kesi hiyo wakiitaka serikali imuachie mara moja huku polisi na viongozi wengine serikalini wakizua wananchi kwenda kusikiliza kesi pamoja na kuwaacha kujiingiza kwenye vitendo 'vinavyochochea uvunjifu wa amani'.
Leo tayari polisi wametanda huku huku, wanasubiri kudaka 'wavunjifu wa amani' lakini kwenye maandamano ya mama mambo huwa shwari kabisa🤣🤣
Nini kitatokea.... updates zitakuja kadri zitakavyoingia
======
Updates
- Pre GE2025 - DSM - Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu
Rahisi wa nchi yenu!Huyo bibi kilaza hajiamini kbs, katiba yetu inapaswa kuainisha compitence ya mtu kuwa rahisi wa nchi...sio ilimradi mtu anavaa miwani basi anatosha kuwa rahisi!.
Tangu lini kwenda Mahakamani kuhudhuria kesi ikawa ni uvunjifu wa amani?Wakuu,
Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025.
Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Viongozi mbalimbali walilaani kukamatwa kwake pamoja na kupewa kesi hiyo wakiitaka serikali imuachie mara moja huku polisi na viongozi wengine serikalini wakizua wananchi kwenda kusikiliza kesi pamoja na kuwaacha kujiingiza kwenye vitendo 'vinavyochochea uvunjifu wa amani'.
Leo tayari polisi wametanda huku huku, wanasubiri kudaka 'wavunjifu wa amani' lakini kwenye maandamano ya mama mambo huwa shwari kabisa🤣🤣
Nini kitatokea.... updates zitakuja kadri zitakavyoingia
======
Updates
- Pre GE2025 - DSM - Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu
Kwenye ccm zetu tunabofyaTupo live hapa.
No reform no election
Naunga mkono hojaWaambieni wamtie hatiani anyongwe hadharani ili wafirahi