The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Nakusudia kuonyesha chadema ni woga hata kuliko wanafunzi wa kike
Same time unasifia police.
Nakusudia kuonyesha chadema ni woga hata kuliko wanafunzi wa kike
Pole sana mkuu🤣View attachment 3313846
Nimeipata kwa mateso sana. Hapa ni kisutu, njia zote zimezibwa na polisi wenye mabomu.
Huna mahali pa kuziweka, wewe umeumbwa bila uwezo wa kuwa na akiliNipe zako
Hawaelewi kuwa wanasaidia kueleza dunia kuwa madai ya Chadema kuwa CCM inatumia mabavu ya vyombo vya dola kukandamiza upinzani ni ya kweli kabisa. Asanteni sana Polisi kwa kampeni hii.
Ungejisikiaje Baba yako au Mama yako aitwe kilaza? Au wamefanya yepi ya maana hata kwenye ngazi ya Familia yenu?Huyo bibi kilaza hajiamini kbs, katiba yetu inapaswa kuainisha compitence ya mtu kuwa rahisi wa nchi...sio ilimradi mtu anavaa miwani basi anatosha kuwa rahisi!.
Mfumo umeanza kuharibiwa 2019 kuanzia hapo hakuna chaguzi tena wala hata mimi sijisumbui kupiga kura.kwasabsbu maeneo mengi CCM wamepita bila kupingwa wapinzani wote wameenguliwaKwahiyo CHADEMA tulikua tunapata wabunge kwa mfumo gani mkuu?
Sijajua kilo Moja ya nyama ya kitimoto ni Bei gani?Nipo hapa nafatilia kutoka RAU MADUKANI
Ahaaaa 😁😁😁Sijajua kilo Moja ya nyama ya kitimoto ni Bei gani?
Mwaka 2020?Kwahiyo CHADEMA tulikua tunapata wabunge kwa mfumo gani mkuu?
Una mume?MTU AKITAKA KUCHEZA ACHEZE NA MIFUGO YAKE NYUMBANI SIO KUCHEZA NA SERIKALI..SERIKALI HAICHEZEWI JAMANI!!!! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Kwani uchaguzi umeanza 2020?Mwaka 2020?
Kwahiyo 2025 wapinzani wataenguliwa?Mfumo umeanza kuharibiwa 2019 kuanzia hapo hakuna chaguzi tena wala hata mimi sijisumbui kupiga kura.kwasabsbu maeneo mengi CCM wamepita bila kupingwa wapinzani wote wameenguliwa
Waenguliwe mara ngapi?Kwahiyo 2025 wapinzani wataenguliwa?
Mi nimetoa ushauri tuKumbe nyie ndo mnaye mchokozaga bichwa et
Kwani wamechukua fomu za nomination wakaenguliwa au walisema awawezi kushiriki uchaguzi?Waenguliwe mara ngapi?
kwani "kilaza" maana yake nini?Ungejisikiaje Baba yako au Mama yako aitwe kilaza? Au wamefanya yepi ya maana hata kwenye ngazi ya Familia yenu?