The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
ENDELEENI ILA IPO SIKU YENUMTU AKITAKA KUCHEZA ACHEZE NA MIFUGO YAKE NYUMBANI SIO KUCHEZA NA SERIKALI..SERIKALI HAICHEZEWI JAMANI!!!! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
ENDELEENI ILA IPO SIKU YENUMTU AKITAKA KUCHEZA ACHEZE NA MIFUGO YAKE NYUMBANI SIO KUCHEZA NA SERIKALI..SERIKALI HAICHEZEWI JAMANI!!!! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Hii picha sio ya leo,leo watu wanakula cha mbwa koko hakuna aliyesogea
Tumuulize yule aliyekuwa anabweka na kuwaita ,kuna watu akili zao kwa kweliVp mabalozi wa kimataifa wameshafika? Naomba picha yao 😎
Sipo huko, ila nina ku assure hakuna siafu atakatiza dhidi ya katazo la Kamanda Muliro.
Hongereni sana wananchi wote mliojitokeza hapo mahakamani.
Taarifa ni kuwa lisu hatofikishwa mahakamani leo kitu ina fanyika kwa mahakama mtandao
Kila lenye mwanzo lina mwisho. Japo napenda mwisho usiwe mbayaMTU AKITAKA KUCHEZA ACHEZE NA MIFUGO YAKE NYUMBANI SIO KUCHEZA NA SERIKALI..SERIKALI HAICHEZEWI JAMANI!!!! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Picha ya mbinga hiyo siyo ya leoHongereni sana wananchi wote mliojitokeza hapo mahakamani.
Nenda barabarani acha kupiga mikwara mtandaoniEmbu tipishe bana😒😒, sisi ndio serikali, sio polisi, viongozi au Samia