Kinachomkuta Harmonize kurudiana na Kajala si kipya katika ulimwengu wa mapenzi

Sisi tunaokula majimama tunaelewa sababu ya Konde kulialia.
 
Kiingereza cha agodai mabebe na Necta wapi na wapi!!😁😂
Anaimba kama wanaija àjamani mbona hatuwasemi na kingereza chao.

Mfano Tecno Miles usísoma lyrics zake unaweza muda mwingine usielewe anasema nini
 
Anaimba kama wanaija àjamani mbona hatuwasemi na kingereza chao. Mfano Tecno Miles usísoma lyrics zake unaweza muda mwingine usielewe anasema nini
Yeye ni mnaija?
 
Yeye ni mnaija?
Ni mwafrika na mwafrika hasa toka nchi kama Tanzania ambapo Kingereza sio lugha yetu ya kwanza wala ya pili asilimia kubwa ya watu huwezi kuzungumza kama native au fluent.

Hata ukikutana na mfaransa au mgermany anazungumza Kingereza, wengi sio fluent tena wanaunga umga sentence.

Tena ije kuwa hawa wasanii wetu waliojifunza kingereza ukubwani
 
Hata wanaija wanakosea na accent yao na ile sio standard English..

Kama anataka kuongea kiingereza basi ni vyema akaongea American standard English au British Standard English hizi mbili zinakubalika hata kama akiwa anakoseakosea lakini atakuwa yumo kwenye misingi ya kiingereza na sio kuunga tela la makosa ya wanaija kosa sio kuongea kiingereza kibaya kosa kuiba English ya wanaija ambayo humo humo imechanganya kihausa,Igbo n.k
 
ni ajabu sana kwamba leo hii kuna mwanaume anaweza kuwa anampenda kajala, yaani kajala yuleyule tunayemjua. ni upofu kabisa.
 
ni ajabu sana kwamba leo hii kuna mwanaume anaweza kuwa anampenda kajala, yaani kajala yuleyule tunayemjua. ni upofu kabisa.
Ni binadamu kama walivyo binadamu wengine kwa nini asiwepo mtu wa kumpenda?
 
Kama kiswahili tu tunakosea ije kuwa kingereza bwana.

Kwahiyo na Muaustralia naye akitaka kuzungunza kingereza azungumze cha wa amarica au british? Kingereza kina accent mbalimbali kama uliwahi kufanya translation bila shaka unajua kuwa kuna accent nyingi za kingereza zikiwemo za south afrika mpaka kenya hadi TZ tuna accent yetu.

Kwa mfano, ukikutana na international client anataka tengeneza tangazo la kingereza kwa ajili ya watz atamtafuta mtz ndiye awe voice artist.
 
tabia zake chief. ninamjua ujue.siongei from nowhere. namjua kiundani mno.
Mapenzi yana nguvu, hujawah ona wanaume wanaoa machangu si kwamba hajui anajua kabisa
 
Aise huyu manzi atakuwa ana K tamu sana...aliwavuruga sana Bashite na Abdul Nsembo kama siyo maombi ya maria na umafia wa shamim mwasha tungeongea mengine
 
Aise huyu manzi atakuwa ana K tamu sana...aliwavuruga sana Bashite na Abdul Nsembo kama siyo maombi ya maria na umafia wa shamim mwasha tungeongea mengine
Ndio ilikiwaje nae kwa bashite na ilikuwa kwa shamim mwasha embu eleza kilichotokea na msala ulimalizwaje.

By the way kajala huwa Ni ccm au vidole viwill juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…