Kinachomkuta Harmonize kurudiana na Kajala si kipya katika ulimwengu wa mapenzi

Kinachomkuta Harmonize kurudiana na Kajala si kipya katika ulimwengu wa mapenzi

Sisi tunaokula majimama tunaelewa sababu ya Konde kulialia.
 
Kiingereza cha agodai mabebe na Necta wapi na wapi!!😁😂
Anaimba kama wanaija àjamani mbona hatuwasemi na kingereza chao.

Mfano Tecno Miles usísoma lyrics zake unaweza muda mwingine usielewe anasema nini
 
Anaimba kama wanaija àjamani mbona hatuwasemi na kingereza chao. Mfano Tecno Miles usísoma lyrics zake unaweza muda mwingine usielewe anasema nini
Yeye ni mnaija?
 
Yeye ni mnaija?
Ni mwafrika na mwafrika hasa toka nchi kama Tanzania ambapo Kingereza sio lugha yetu ya kwanza wala ya pili asilimia kubwa ya watu huwezi kuzungumza kama native au fluent.

Hata ukikutana na mfaransa au mgermany anazungumza Kingereza, wengi sio fluent tena wanaunga umga sentence.

Tena ije kuwa hawa wasanii wetu waliojifunza kingereza ukubwani
 
Ni mwafrika na mwafrika hasa toka nchi kama Tanzania ambapo Kingereza sio lugha yetu ya kwanza wala ya pili asilimia kubwa ya watu huwezi kuzungumza kama native au fluent. Hata ukikutana na mfaransa au mgermany anazungumza Kingereza, wengi sio fluent tena wanaunga umga sentence.
Tena ije kuwa hawa wasanii wetu waliojifunza kingereza ukubwani
Hata wanaija wanakosea na accent yao na ile sio standard English..

Kama anataka kuongea kiingereza basi ni vyema akaongea American standard English au British Standard English hizi mbili zinakubalika hata kama akiwa anakoseakosea lakini atakuwa yumo kwenye misingi ya kiingereza na sio kuunga tela la makosa ya wanaija kosa sio kuongea kiingereza kibaya kosa kuiba English ya wanaija ambayo humo humo imechanganya kihausa,Igbo n.k
 
ni ajabu sana kwamba leo hii kuna mwanaume anaweza kuwa anampenda kajala, yaani kajala yuleyule tunayemjua. ni upofu kabisa.
 
ni ajabu sana kwamba leo hii kuna mwanaume anaweza kuwa anampenda kajala, yaani kajala yuleyule tunayemjua. ni upofu kabisa.
Ni binadamu kama walivyo binadamu wengine kwa nini asiwepo mtu wa kumpenda?
 
Hata wanaija wanakosea na accent yao na ile sio standard English..Kama anataka kuongea kiingereza basi ni vyema akaongea American standard English au British Standard English hizi mbili zinakubalika hata kama akiwa anakoseakosea lakini atakuwa yumo kwenye misingi ya kiingereza na sio kuunga tela la makosa ya wanaija kosa sio kuongea kiingereza kibaya kosa kuiba English ya wanaija ambayo humo humo imechanganya kihausa,Igbo n.k
Kama kiswahili tu tunakosea ije kuwa kingereza bwana.

Kwahiyo na Muaustralia naye akitaka kuzungunza kingereza azungumze cha wa amarica au british? Kingereza kina accent mbalimbali kama uliwahi kufanya translation bila shaka unajua kuwa kuna accent nyingi za kingereza zikiwemo za south afrika mpaka kenya hadi TZ tuna accent yetu.

Kwa mfano, ukikutana na international client anataka tengeneza tangazo la kingereza kwa ajili ya watz atamtafuta mtz ndiye awe voice artist.
 
Huyo manzi alimsumbua sana Majani miaka ile.

Walipoachana produzer alipoteza hata focus ya kupiga midundo pale BR na akatoa songi la kuomba sorry akiwa na Dully nadhani ilikuwa inaitwa Please forgive me.

Yani majani na ubabe wake wote alikuwa mnyonge sana na kuomba sana misamaha akaenda chora na matatoo mikononi ili kujifariji lakini manzi alikaza mbaya.

Nahisi huyu Konde asipotuliza akili anaweza akaharibu kazi kama manzi hatarudisha moyo nyuma.
Aise huyu manzi atakuwa ana K tamu sana...aliwavuruga sana Bashite na Abdul Nsembo kama siyo maombi ya maria na umafia wa shamim mwasha tungeongea mengine
 
Aise huyu manzi atakuwa ana K tamu sana...aliwavuruga sana Bashite na Abdul Nsembo kama siyo maombi ya maria na umafia wa shamim mwasha tungeongea mengine
Ndio ilikiwaje nae kwa bashite na ilikuwa kwa shamim mwasha embu eleza kilichotokea na msala ulimalizwaje.

By the way kajala huwa Ni ccm au vidole viwill juu
 
Back
Top Bottom