MyheadzMyboss
Member
- Apr 2, 2016
- 86
- 130
Basi itakua una sura mbaya ila una tako!! This is a statistically speaking.... Just kidding
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah hapa kweli tutatimiza lengo la kuwa na uchumi wa viwanda coz kuna raia zinatembea na viwanda vyao vya kuwapatia pesa, dinner, vijizawadi etc.. katikati ya miguu yao na kwenye sura zao.Yaani hakuna kitu kinachonikera Mimi binafsi sijui wanawake wengine ni kutongozwa asubuhi
Tena mbaya zaidi unakutana na mwanaume asubuhi unatoka dukani anaanza kukutongoza huwa nachukia balaa
Au unaamka tu wakati unaswaki unaletewa taarifa kuna mtu anakuita getini ,kwenda unasikia anaanza stories za kukutongoza,dah huwa najisikia vibaya mpaka basi bora wa kunitongoza kwa njia ya sim au SMS maana najijua stajibu
Huwa nakuwa makini kusikiliza mitongozo yake pale utakapo nitoa out hasa jioni kuanzia SAA 12 hadi SAA mbili,na ukanipa dinner inayoeleweka ,wakati nakula unaniambia hizo stories,hapo huwa nipo makini kukusikiliza na sio kwamba ndo nimekukubalia ,kukubalia ni suala lingine
Na ili uonekane upo serious,vizawadi vikiwa vingi hapo utakuwa umeanza kuingia moyoni
Mambo mengine hayahitaji uingie darasani bwana!!!
Acheni mambo ya kututongoza asubuhi,tunachukia sana
😂😂😂😂😂😂😂Haha haa .... acc hii itakuwa ipo hacked
Ngoja mimi nije PM mchana huuYaani hakuna kitu kinachonikera Mimi binafsi sijui wanawake wengine ni kutongozwa asubuhi
Tena mbaya zaidi unakutana na mwanaume asubuhi unatoka dukani anaanza kukutongoza huwa nachukia balaa
Au unaamka tu wakati unaswaki unaletewa taarifa kuna mtu anakuita getini ,kwenda unasikia anaanza stories za kukutongoza,dah huwa najisikia vibaya mpaka basi bora wa kunitongoza kwa njia ya sim au SMS maana najijua stajibu
Huwa nakuwa makini kusikiliza mitongozo yake pale utakapo nitoa out hasa jioni kuanzia SAA 12 hadi SAA mbili,na ukanipa dinner inayoeleweka ,wakati nakula unaniambia hizo stories,hapo huwa nipo makini kukusikiliza na sio kwamba ndo nimekukubalia ,kukubalia ni suala lingine
Na ili uonekane upo serious,vizawadi vikiwa vingi hapo utakuwa umeanza kuingia moyoni
Mambo mengine hayahitaji uingie darasani bwana!!!
Acheni mambo ya kututongoza asubuhi,tunachukia sana
Nipe formula basi nikachezee huo msambwandaNdo maana wengi mnakosa,mngekuwa mnafuata fomula mngekuwa mnapata vingi
wakubwa tu ndo tunaelewa hii biashara
Sema ukweli unataka utolewe Dina ukapigwa na ukuniYaani hakuna kitu kinachonikera Mimi binafsi sijui wanawake wengine ni kutongozwa asubuhi
Tena mbaya zaidi unakutana na mwanaume asubuhi unatoka dukani anaanza kukutongoza huwa nachukia balaa
Au unaamka tu wakati unaswaki unaletewa taarifa kuna mtu anakuita getini ,kwenda unasikia anaanza stories za kukutongoza,dah huwa najisikia vibaya mpaka basi bora wa kunitongoza kwa njia ya sim au SMS maana najijua stajibu
Huwa nakuwa makini kusikiliza mitongozo yake pale utakapo nitoa out hasa jioni kuanzia SAA 12 hadi SAA mbili,na ukanipa dinner inayoeleweka ,wakati nakula unaniambia hizo stories,hapo huwa nipo makini kukusikiliza na sio kwamba ndo nimekukubalia ,kukubalia ni suala lingine
Na ili uonekane upo serious,vizawadi vikiwa vingi hapo utakuwa umeanza kuingia moyoni
Mambo mengine hayahitaji uingie darasani bwana!!!
Acheni mambo ya kututongoza asubuhi,tunachukia sana
PoleYaani hakuna kitu kinachonikera Mimi binafsi sijui wanawake wengine ni kutongozwa asubuhi