Kinachonipa hofu mechi ya Yanga, ni wachezaji kutokuwa pamoja kambini hivi karibuni wakitumikia timu zao za Taifa kufukuza Fainali za Kombe la Dunia

Kinachonipa hofu mechi ya Yanga, ni wachezaji kutokuwa pamoja kambini hivi karibuni wakitumikia timu zao za Taifa kufukuza Fainali za Kombe la Dunia

Hicho ndo unachotamani lakini YANGA haitotuangusha wananchi
Unafikiri kati ya Tanzania na Morrocco nani angeandaa mabango ya magoli ikiwa timu mojawapo angeifunga mwenzake?
Kama mliifunga Simba 5 na huko mtafunga 5 na mtaandaa mabango msiwe na hofu
 
Mmeanza sababu, yaani mkae wote miaka 3, lakin wiki tu inaanza kuwaogopesha.

Basi pangeni wale waliobaki [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom