GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wivu tu1. Dharau
2. Uonevu
3. Ubabe
4. Uwizi / Ufisadi
5. Dhuluma
6. Rushwa
7. Uwongo / Kudanganya
Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za Kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani / Serikalini angekuwa katika Taifa linalojitambua na kufuata Misingi ya Sheria huenda hivi sasa ( Makonda ) angekuwa ama Kifungoni Jela / Gerezani au Udongoni / Mavumbini nikimaanisha ameshanyongwa Kitambo sana na sasa kawa Historia tu.
Watu na mama yao! Mama wa ajabu, bora yake yaende!1. Dharau
2. Uonevu
3. Ubabe
4. Uwizi...
Acha kabisaS I A S A
Acha kabisa
Ni shetani anyejifanya malaika wa mwanga1. Dharau
2. Uonevu
3. Ubabe
4. Uwizi/ Ufisadi
5. Dhuluma
6. Rushwa
7. Uwongo/ Kudanganya
Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za Kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa katika Taifa linalojitambua na kufuata Misingi ya Sheria huenda hivi sasa (Makonda) angekuwa ama Kifungoni Jela / Gerezani au Udongoni/ Mavumbini nikimaanisha ameshanyongwa Kitambo sana na sasa kawa Historia tu.
Unasema?!!! Usitake kuwapa soko magumegumeNdio faida ya kula mzigo
mrangi una akaunti/id mbili?Kukumbushana haya mambo ni muhimu, lakini pia inaruhusiwa kujisahihisha na kuyakataa yale uliyafanya vibaya.
Ova
Nachelea kusema tulikuwa darasa moja, maana na mimi ilitokea hivyo hivyo enzi hizo! Na mpaka leo ninaamini hivyo!Acha kabisa
Wakati naanza form 1, mwalimu wa siasa akauliza, Siasa ni nini?
Bingwa mmoja akasimama kwa kujiamini kabisa na kusema:
SIASA ni uongo uliokomaa.....
Alikula bakora sitasahau...
This is True Story....bila chenga
Yaani namkumbuka yule bingwa mpaka leo.....
Ukiona Muafrika bado hajafungiwa wala kuwekewa vikwazo na Mabeberu ujue huyo hayupo upande wetu ukiona Muafrika anasifiwa na Wazungu jua ameshatusaliti hii hasa kwa Wanasiasa.1. Dharau