Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
 
Sio sahihi, kuhama sio kufanikiwa, na kubaki sio kufanikiwa, yanayofanikiwa ni malengo dhabiti, nidhamu na mikakati!

Mimi nimekaa South Africa 5 years, na ndo mda niliweza nunua kiwanja na kujenga nyumba yangu ya kwanza.

Nisingeenda kamwe, nisingeweza kujenga Njiro miaka ya 2007, na pia nisingeweza kupanuka kifikra za Biashara.

Wewe unafikiri Kuna Mkurya au mtu wa Iringa waliolelewa mikoa hiyo anaweza aende nje arudi Kizembe? Ni Hawa waliolelewa Kinondoni na Magomeni unawapima!
 
Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
Usijipe umuhimu usionao, bila kuombwa, katika maisha ya watu usiowajua, kwenye mambo usiyoyafahamu.
 
Ulichoandika ni sawa ila kinahusiana vp na hiyo mada
Kama hujaona uhusiano basi una uwezo mdogo wa kuelewa.

Ni hivi, wewe umejipa umuhimu mkubwa sana, bila kuombwa, katika maisha ya watu usiowajua, kwenye mambo usiyoyafahamu.

Usijipe umuhimu huo.

Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Wewe huyajui.
 
Kama hujaona uhusiano basi una uwezo mdogo wa kuelewa.

Ni hivi, wewe umejipa umuhimu mkubwa sana, bila kuombwa, katika maisha ya watu usiowajua, kwenye mambo usiyoyafahamu.

Usijioe umuhinu huo.

Mambo ya Ngoswe, muavhie Ngoswe mwenyewe.

Wewe huyajui.
Umechemka sana , tunaongea mada kama hizi kuwaelimisha watu waliokuwa na mawazo kama ya hao ndg zetu yaliowakuta mpk serikali inawalipia nauli za kurudi Tanzania, ubaya huko wapi kwanini tusijadili !

Amka usingizini hatuishi hivyo
 
Kwa nini unafikiri wewe uko qualified kuongelea mada hii na ushauri wako ni muhimu?

Una qualifications gani zinazo ku distinguish wewe kuwa mtu wa kusikilizwa katika mada hii?
 
Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
Ukiacha umasikini karibia 90% ni MAKADINALI.
 
Back
Top Bottom