Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
- #41
AISEE wengi sana ni warahibu sijui wamepatwa na nn hukoHao ni mateja tuu. Kama wanavyoonekana
AISEE wengi sana ni warahibu sijui wamepatwa na nn hukoHao ni mateja tuu. Kama wanavyoonekana
This shows you are an imbecile.Unahitaji maombezi brz haupo sawa .. kama ni muislamu mtafute sheikh akupige kisomo asafishe hayo mawaruwaru kichwani kwako.
Futa kauli yko mkuu,ni bora kudhalilika inchi za watu kuliko kudhalilika nyumbani kwenu.Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
Hhhh unanifurahisha sana kwahiyo wewe hauna imani yeyote hapo ulipo hauamini katika kumuomba Mungu ?This show you are an imbecile.
Maombezi ni uthibitisho kwamba huyo Mungu unayemuomba hayupo.
Ila wewe ngumbaru huna akili ya kuelewa hilo.
Unakula mavi yako mwenyewe na kuridhika na kipindupindu.
Wabongo wengi kama mtoa mada wanaishi kijima bado.Futa kauli yko mkuu,ni bora kudhalilika inchi za watu kuliko kudhalilika nyumbani kwenu.
Inchi za nje maisha yapo sn ila kuna sehem za kuishi. Na kubadilisha maisha ila sio Africa kusini...
Ni kweli wapo watu wanafanikiwa sana ila point yangu wazamiaji wengi wanaoenda huko wanaenda bilakuwa na elimu (taaluma ) wala mitaji ya kufanyia biashara. Na wengi wametoka nyumbani wakiwa hoe hae . Ni rahisi kufanikiwa kwa mtu mwenye taaluma yake / mtaji anakuwa na kitu cha kumbeba , nimefuatilia makala nyingi sana za wazamiaji wengi wao ni masela mavi wanataka waishi kwa kz za mission townFuta kauli yko mkuu,ni bora kudhalilika inchi za watu kuliko kudhalilika nyumbani kwenu.
Inchi za nje maisha yapo sn ila kuna sehem za kuishi. Na kubadilisha maisha ila sio Africa kusini...
Vp ww kiranga unampango wa kuzamia nchi yeyote , nataka kusikia kutoka kwakoWabongo wengi kama mtoa mada wanaishi kijima bado.
Hawajui kuwa mtu ana uamuzi binafsi wa kuishi maisha yake anavyotaka, hata kama anataka kudhalilika nje, ni maisha yake, ni haki yake.
You petulant child.Vp ww kiranga unampango wa kuzamia nchi yeyote , nataka kusikia kutoka kwako
Ila kwa takwimu failures ni wengi sana. Tujiulize ni kwaniniYaani wamekuja wahuni waliojichokea kabisa ambao hawatakuwa na mchango wwte katika ujenzi wa taifa zaidi ya wizi na uhalifu tu...sema wengi hao ukiwauliza wanakwambia Mimi kwetu mbagala mtaa gani huko, kinondoni sehemu gani huko yaani background zile tunasema za Kiswahili...wako watz wengi Tu ambao wamefanikiwa wakiwa Sauzi.
Mbona kimekutoka mkuu?Usijipe umuhimu usionao, bila kuombwa, katika maisha ya watu usiowajua, kwenye mambo usiyoyafahamu.
We mwamba haki sio mzima nakuombea Mungu akurehemu. Halafu una hamaki kwa vitu vya kijingaYou petulant child.
Mnashangaa maghorofa tu huko , hata gharama za maisha zinkipanda hamsemi ; mmebaki kusifia tu.Usijipe umuhimu usionao, bila kuombwa, katika maisha ya watu usiowajua, kwenye mambo usiyoyafahamu.
Hakika unapitia kitu kigumu...Kujua Kiingereza si kuwa na elimu ila wewe umechagua kutumia Kiingereza bila sababu kwa "Status Anxiety" yako tu kujionesha msomi.
Wakati Kiingereza hata cha kuombea maji hujui.
Unaandika "I am well educated than you" sehemu uliyotakiwa kuandika "I am more educated than you".
Wewe ngumbaru tu, ndiyo maana hunielewi ninapoongelea individual freedom za watu.
Sitashangaa kama hujawahi kukutana na hiyo dhana maishani mwako ushazoea kuishi king'ombeng'ombe tu kijima mnapangianapangiana tu maisha bila hata kujuana.
Hao watu huwajui, unawapangiaje maisha?
South Africa sio salama kwa kutafuta maisha.Ni kweli wapo watu wanafanikiwa sana ila point yangu wazamiaji wengi wanaoenda huko wanaenda bilakuwa na elimu (taaluma ) wala mitaji ya kufanyia biashara. Na wengi wametoka nyumbani wakiwa hoe hae . Ni rahisi kufanikiwa kwa mtu mwenye taaluma yake / mtaji anakuwa na kitu cha kumbeba , nimefuatilia makala nyingi sana za wazamiaji wengi wao ni masela mavi wanataka waishi kwa kz za mission town
Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.We mwamba haki sio mzima nakuombea Mungu akurehemu. Halafu una hamaki kwa vitu vya kijinga
Nakupigia picha kupost Instagram .Mnashangaa maghorofa tu huko , hata gharama za maisha zinkipanda hamsemi ; mmebaki kusifia tu.
Utumwa mbaya sana .
Kiranga mbona Uzi umekugusa, kwani hauna mafanikio huko kwa Trump?Usijipe umuhimu usionao, bila kuombwa, katika maisha ya watu usiowajua, kwenye mambo usiyoyafahamu.