Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

Watu wanaishi nje wanapitia magumu sana, sema inaonekana tu wametoboa.. But there people are so lonely, depressed and alienated. Mafanikio huanzia myumbani. Nje unaenda ukiwa tayari umesha jipata in some kinda way nyumbani. Wengi huenda kule ila wanaotoboa ni wachache sana.

Ndo maana wengi hawa rudi, sio kwamba hawataki, bali ni hawana hiyo accommodation ya kuja, na pia hofu ya kuonekana hawajatoboa
 
Kweli kabisa wengi wanaogopa kurudi maana wanaogopa kuchekwa unakuta walewaliowaacha nyumbani tayari wamejipata halafu wao warudi waanze kujitafuta upya , alikuwepo Lemutuz William malecela alikuwa anatoa sana mafundisho kwa mabaharia akijitolea mfano yeye maisha aliyopitia
 
Hivi unaelewa hata accommodation ni nini?
 
Kiranga mbona Uzi umekugusa, kwani hauna mafanikio huko kwa Trump?
Changamoto ya zile picha wamepiga watu wengi wamechoka
Watanzania wengi kama wewe hawana uwezo wa kufanya fikra dhahania (abstract thinking).

Wakikuona unapinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, moja kwa moja wanaona wewe ni mtu mweusi uliyeguswa na ubaguzi wa rangi.

Hawaelewi kuwa kuna mpaka wazungu wanaopinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi kifalsafa tu.

Hii habari ya kushindwa kufanya fikra dhahania, kushindwa kuelewa kuwa mtu anaweza kujenga hoja kifalsafa tu bila habari kumgusa yeye binafsi, ni dalili ya mtu kuwa na akili ndogo.

Wewe una dalili ya mtu mwenye akili ndogo.

Mimi nina own real estate in leafy suburbs in a developed nation.
 
Kama Nuru basi jua kuna giza , kama kuna uchawi ambao ni mambo ya kiroho basijua nguvu za Mungu pia zipo ambazo ni mambo ya kiroho , nina swali kwako umewahi kurogwa au kusikia mtu karogwa ?
Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.

Kama unabisha, thibitisha.

Kurogwa ni ujinga wenu wala mavi ngumbaru, mkiumwa kwa kula mavi, mnasema mmerogwa.
 
Watanzania wengi kama wewe hawana uwezo wa kufanya fikra dhahania (abstract thinking).

Wakikuona unapinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, moja kwa moja wanaona wewe ni mtu mweusi uliyeguswa na ubaguzi wa rangi.

Hawaelewi kuwa kuna mpaka wazungu wanaopinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi kifalsafa tu.

Hii habari ya kushindwa kufanya fikra dhahania, kushindwa kuelewa kuwa mtu anaweza kujenga hoja kifalsafa tu bila habari kumgusa yeye binafsi, ni dalili ya mtu kuwa na akili ndogo.

Wewe una dalili ya mtu mwenye akili ndogo.

Mimi nina own real estate in leafy suburbs in a developed nation.
Kiranga huna lolote unatupanga we unadhani mimi sishindwi kujitapa humu nikaandika ninamiliki Yacht Dubai . Wewe upo hapa hapa bongo unapigwa jua la utosi kama wengine
 
Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.

Kama unabisha, thibitisha.

Kurogwa ni ujinga wenu wala mavi ngumbaru, mkiumwa kwa kula mavi, mnasema mmerogwa.
Kama nguvu za giza zipo tambua kwamba nguvu za Mungu zipo. We endelea na ukorofi wako utakuja tu kurogwa
 
Kweli kabisa wengi wanaogopa kurudi maana wanaogopa kuchekwa unakuta walewaliowaacha nyumbani tayari wamejipata halafu wao warudi waanze kujitafuta upya , alikuwepo Lemutuz William malecela alikuwa anatoa sana mafundisho kwa mabaharia akijitolea mfano yeye maisha aliyopitia
Sikio la kufa hilisikii dawa. Wanadanganywa na magari na picha za mitandao
 
Mwanaume kuanza kufuatilia maisha ya wanaume wenzako ni umama,halafu ukija kuposwa sijui ndio utakataa kuolewa?

Mind your own fckg business,
Kama maisha yamekupiga huko Bongo,acha kujipa faraja kwa kuangalia hao mateja waliorudishwa toka South.
Mbona na wewe unaumizwa na wengine kufatilia maisha ya wengine. Kwani ukweli usiseme kuwa wazamiaji huwa wanafikiria kutoboa ni nje tu? Na wakienda kinawaramba?
 
Back
Top Bottom