Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

Tuanze na wewe ? Umewahi kuvuka mipaka kwenda kutafuta life nje au unaongea kiushabiki tu
Mimi nipo nje pengine hata kabla wewe hujazaliwa,

Huu uzi wako unathibitisha kua wewe ni mtu uliyepigwa na maisha,mbele moto nyuma moto,ndio maana unahanagaika kutaka kujua maisha ya watu ambao hata huwafahamu,

Unakaa kuwadhihaki wanaume walioenda South kujaribu maisha! Wanaume hua hatupo hivyo,maisha ni vita,kuna kushindwa na kushinda,na hata ukushindwa,mapambano bado yana endelea,

wewe angalia maisha yako,acha kufuatilia maisha ya Wanaume.
 
We jamaa huwa uko emotional sana. Hujui kujibu kwa kutulia.. Nimekuuliza kwa nini uumizwe na kufatilia maisha ya watu wanaofatilia maisha ya wengine? Na kwanini ukimbilie kwenye defence mechanism ya kuongea kitu ambacho hakipo? Chill mzee control them emotions, utakufa vibaya
Wewe kuchezewa tope kumekufanya kua na upungufu wa uelewa,nimekwambia acha kuquote comment zangu,huna akili ya uelewa,acha kujitongozesha kwangu.
 
Huu uzi wako unathibitisha kua wewe ni mtu uliyepigwa na maisha,mbele moto nyuma moto,ndio maana unahanagaika kutaka kujua maisha ya watu ambao hata huwafahamu,
Skia wewe mbeba mabox, acha ujuha na kutapika nyongo wakati una tambua kuwa mafanikio yanaanzia nyumbani.
Unakaa kuwadhihaki wanaume walioenda South kujaribu maisha! Wanaume hua hatupo hivyo,maisha ni vita,kuna kushindwa na kushinda,na hata ukushindwa,mapambano bado yana endelea,
Hatujakataa kuwa mwanaume mapambano lakini kukimbia shida za nyumbani sio suluhisho
 
Wewe kuchezewa tope kumekufanya kua na upungufu wa uelewa,nimekwambia acha kuquote comment zangu,huna akili ya uelewa,acha kujitongozesha kwangu.
Wewe ngoja tukunyooshe Active Moderator Payge mshugulikieni huyu member asiye na staha za kushinda hisia.

Sisi tuko hapa kujadili, wewe unaleta matusi. Inaonesha how immature you are. Na unapita shida ya kisaikolojia
 
Mimi nipo nje pengine hata kabla wewe hujazaliwa,

Huu uzi wako unathibitisha kua wewe ni mtu uliyepigwa na maisha,mbele moto nyuma moto,ndio maana unahanagaika kutaka kujua maisha ya watu ambao hata huwafahamu,

Unakaa kuwadhihaki wanaume walioenda South kujaribu maisha! Wanaume hua hatupo hivyo,maisha ni vita,kuna kushindwa na kushinda,na hata ukushindwa,mapambano bado yana endelea,

wewe angalia maisha yako,acha kufuatilia maisha ya Wanaume.
Kwanza wewe sio mpambanaji ndioomaana hata jina lako linaeleza hilo wewe unajiita ice breaker unawaza kuvunja barafu wakati wanaume wa shoka tunavunja miamba anyway ngoja nikupe darasa pengine upo unabeba ma box huko ulaya kama kweli upo nje maana nahisi unanipanga .

Ishu sio kupamba unapambania nini katika mazingira gani , zingatia code hiyo

Unaweza ukawa unapambana ktk kitu kisichokuwa na manufaa , lengo la uzi huu kwa wenye akili tunapeana maarifa na tunajifunza ni wapi ambapo wengine walikosea
 
Skia wewe mbeba mabox, acha ujuha na kutapika nyongo wakati una tambua kuwa mafanikio yanaanzia nyumbani.
Unaona jinsi ulivyo mpumbavu? Wewe endelea kukaa hapo kwa Bimkubwa usubiri tu ugali wa bure,maisha ya Wanaume huyawezi,
Hatujakataa kuwa mwanaume mapambano lakini kukimbia shida za nyumbani sio suluhisho
Unasema "Hatujakataa" hujakataa wewe na nani? Acha kutumia wingi,hakuna mtu amekuomba hapa umuwakilishe,

Acha wanaume watafute maisha popote pale,wewe baki na uoga wako kisa unalishwa bure hapo home kwa bimkubwa,

Hivi wewe ndio mleta mada? Mbona unashoboka sana na mimi? Unaeashwa tundu la kutolea taka sio?
 
Unaona jinsi ulivyo mpumbavu? Wewe endelea kukaa hapo kwa Bimkubwa usubiri tu ugali wa bure,maisha ya Wanaume huyawezi,

Unasema "Hatujakataa" hujakataa wewe na nani? Acha kutumia wingi,hakuna mtu amekuomba hapa umuwakilishe,

Acha wanaume watafute maisha popote pale,wewe baki na uoga wako kisa unalishwa bure hapo home kwa bimkubwa,

Hivi wewe ndio mleta mada? Mbona unashoboka sana na mimi? Unaeashwa tundu la kutolea taka sio?
We jamaa utakufa bure na presha,

Kama umepoyonga huko nje na unashindia, makapi ya wazungu ni wewe na maisha yako.

Sisi hatuna shida maana uliamua wewe, we don't give a shit about your worse choices
 
Kujua Kiingereza si kuwa na elimu ila wewe umechagua kutumia Kiingereza bila sababu kwa "Status Anxiety" yako tu kujionesha msomi.

Wakati Kiingereza hata cha kuombea maji hujui.

Unaandika "I am well educated than you" sehemu uliyotakiwa kuandika "I am more educated than you".

Wewe ngumbaru tu, ndiyo maana hunielewi ninapoongelea individual freedom za watu.

Sitashangaa kama hujawahi kukutana na hiyo dhana maishani mwako ushazoea kuishi king'ombeng'ombe tu kijima mnapangianapangiana tu maisha bila hata kujuana.

Hao watu huwajui, unawapangiaje maisha?
Kiranga kwanini kila wakati ni malumbano na vijana wadogo? Utu uzima ni kuwadharau na maisha yakasonga mbele.
 
Kwanza wewe sio mpambanaji ndioomaana hata jina lako linaeleza hilo wewe unajiita ice breaker unawaza kuvunja barafu wakati wanaume wa shoka tunavunja miamba
Unaona jinsi ulivyo mpumbavu? Umerukia kwenye user name za wanaume? Tafuta uzi humu unaulizia sababu za watu kutumia hizo user name zao, utajua kwanini nilijiita hiyo user name,
anyway ngoja nikupe darasa pengine upo unabeba ma box huko ulaya kama kweli upo nje maana nahisi unanipanga
Yani wewe kichwa maji unayeacha issue zako na kufuatilia maisha ya wanaume ndio unipe darasa?
.

Ishu sio kupamba unapambania nini katika mazingira gani , zingatia code hiyo
Wewe mapambano ya wanaume yanakuhusu nini? Kwanini uteseke kwa maisha ya wengine? Unatafuta mume?
Unaweza ukawa unapambana ktk kitu kisichokuwa na manufaa ,
Mtu kutokufanikiwa kwenye jambo fulani,haimaanishi kua alikua anafanya jambo lisilokua na manufaa,ndio maana nakwambia kua hujui maisha,hata wafanya biashara hua wanapata hasara,hata makampuni makubwa hupata hasara,hilo ni jambo la kawaida kwenye mapambano ya kimaisha.
lengo la uzi huu kwa wenye akili tunapeana maarifa na tunajifunza ni wapi ambapo wengine walikosea
 
Point ni kwamba unapotaka kuhama nchi uwe na fani /taaluma au mtaji wa pesa wa kukuwezesha kupata ajira , au kufungua biashara huko uendako , sio unatoka ktk nchi yako ukiwa kopo unaenda kuishi maisha ya kuungaunga huko
hiyo ni common sense
sio tu kwa mtu anayetaka kutoka nchi moja kwenye nchi nyingine
hata kwa anayehama mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine.
 
Hawa wapuuzi hawana lolote ni wanakuja na ile dhana kisa yuko nje basi ana hadhi fulani kumbe ni washamba tena wa kutupwa
Kama huyo jamaa yani anaongea Vapour tu anafikiri atatutisha kusema yeye yupo mamtoni, Dunia sikuhizi imefunguka sana tupo Bongo tunaishi kama tupo mbele hakuna kitu kinachoendelea huko mtu usikijue labda tu uamue we can get any information with little effort
 
We jamaa utakufa bure na presha,

Kama umepoyonga huko nje na unashindia, makapi ya wazungu ni wewe na maisha yako.

Sisi hatuna shida maana uliamua wewe, we don't give a shit about your worse choices
Wewe unachomiliki ni hivyo vibroken english vyako tu unavyo vitapika hapa jf kila mara,
Acha kufuatilia maisha ya wanaume wanao tafuta maisha,utaolewa,

Halafu bila shaka huyo mleta mada ni wewe,haiwezekani ushobokee kila mchangiaji hapa,punguza ukimbelembele wewe debe tupu.
 
Kama huyo jamaa yani anaongea Vapour tu anafikiri atatutisha kusema yeye yupo mamtoni, Dunia sikuhizi imefunguka sana tupo Bongo tunaishi kama tupo mbele hakuna kitu kinachoendelea huko mtu usikijue labda tu uamue we can get any information with little effort
Mambo hayo yalikuwa zamani,
Siku hizi wazungu na wachina wanakuja kufanya investment huku huku, na dunia iko kama kijiii. Hawa jamaa wanaoringia kukaa nje ndo washamba haswaa
 
Back
Top Bottom