Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

Hahaha utatukana na kutrigger bipolar mpaka useme mpuuzi na kapuku mkubwa wewe.
Naona umeishia kubebishana na mleta mada tu,

Tafuteni shughuli za kufanya ili msipate muda wa kufuatilia maisha ya utafutaji ya wanaume,

Wewe una madhara ya malezi mabovu uliyo lelewa na Baba yako,uzuri uzi upo humu na ulilielezea wewe mwenyewe,pambana na madhara ya malezi uliyo yapitia badala ya kupoteza muda kufuatilia hustle za wanaume.
 
Issue ni kuwa hizi mento na narcistic traits za kishamba watu kama sisi tulishazivuka.

Ni ujinga tu unafanya mshamba wewe, unafikiri kuwa kila time mtu ata buy ujinga wako kapuku mmoja wewe? Live your dumbass manipulation chooni maana unakuwa kama kichaa anaye tukana ovyo.

Wewe una ego na tukunyoosha mpaka useme.
 
Hawa uliwataja hapa hawapaswi kusafiri kutafuta maisha?, Ila wanaotokea uzunguni, wazazi wao wafanyakazi na wanaofanya biashara kubwa kubwa ndiyo wanaopaswa kusafiri?...Hebu toka huko ndani kwa box na upanue ufahamu wako.... VIJANA TUSAFIRI TUPIGE MISWAKI YA MACHO AISEE...
Mkuu usipoteze muda wako,huyo mleta mada inaonekana maisha yamempiga,so kwa kuangalia hao walio rudishwa toka South,imempa faraja sana,hawa ni ile aina ya watu badala ya kuimprove maisha yao,hua wana angalia ni nani masikini zaidi yao ili wajifariji,

Hao waliorudishwa toka South ni asilimia ngapi ya wabongo wote waliopo abroad? Angeweza kujibu hapa kwa takwimu angalau angekua na hoja,

Yani kajamaa kamekua kabunifu kwa kutafuta faraja kwa failure zake.
 
Issue ni kuwa hizi mento na narcistic traits za kishamba watu kama sisi tulishazivuka.

Ni ujinga tu unafanya mshamba wewe, unafikiri kuwa kila time mtu ata buy ujinga wako kapuku mmoja wewe? Live your dumbass manipulation chooni maana unakuwa kama kichaa anaye tukana ovyo.
Endelea kubebishana na bebi wako mleta mada,na kumwaga vibroken english vyako hapa,ila nimeanza kuyaona madhara au matokeo ya maisha ya hovyo uliyo lelewa na Baba yako,hebu muulize vizuri mamako,huenda huyo sio babako coz wamama wa uswahilini hua wana mambo mengi sana,
Wewe una ego na tukunyoosha mpaka useme.
"Tutakunyoosha" utaninyoosha wewe na nani? Kuna mtu amekupa mamlaka ya kumuwakilisha hapa?

Wewe debe tupu uliyelelewa malezi ya hovyo na babako ndio uninyooshe mimi? Hebu pambana kwanza na akili yako coz unaonekana kabisa kua wewe ni hamnazo.
 
Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .

UNAWEZA KUWA NA HOJA ILA UNGESEMA WALE WANAOKWENDA UGENINI BILA CHOCHOTE NDIO HAWAFANIKIWI
(NAMAANISHA BILA MTAJI WA FEDHA NA BILA MTAJI WA ELIMU) HAWA NDIO POST YAKO INAWAHUSU

ILA WANAO KWENDA UGENINI WAKIWA NA MTAJI MOJAWAPO, HAO WANAUWEZEKANO MKUBWA WA KUPATA MAFANIKIO TENA MAKUBWA.
ANGALIA WAKENYA WALIVYO JAA HUKO UGHAIBUNI TENA KWA MAFANIKIO; KINACHOWABEBA NI MTAJI WA ELIMU.....
 
Endelea kubebishana na bebi wako mleta mada,na kumwaga vibroken englisha vyako hapa,ila nimeanza kuyaona madhara au matokeo ya maisha ya hovyo uliyo lelewa na Baba yako,hebu muulize vizuri mamako,huenda huyo sio babako coz wamama wa uswahilini hua wana mambo mengi sana,

"Tutakunyoosha" utaninyoosha wewe na nani? Kuna mtu amekupa mamlaka ya kumuwakilisha hapa?

Wewe debe tupu uliyelelewa malezi ya hovyo na babako ndio uninyooshe mimi? Hebu pambana kwanza na akili yako coz unaonekana kabisa kua ni hamnazo.
Sasa umekimbia point unaanza kutafta PA kuegemea sio? Nakwambiaje, wewe na maamuzi yako ya kukimbia umaskini wa kwenu, hauja kumsaidia mbeba mabox mpuuzi wewe. Ndo nyie ukute mnageuzwa na wazungu ndezi kabisa.

Wewe kubali umeamua kukimbilia nje, ndugu zako umewakacha wanajua umejipata kumbe huna mbele wala nyuma
 
Naona imekuchoma kama pasi,lazima niangalie source ya ukichaa wako,kua ni malezi ya hovyo ya Baba wa kambo hebu komaa na mamako kwanza japo umjue babako kabla hujafa,

Endelea kujifariji na umasikini wako,ndio maana mmefarijika wewe na mleta mada kuona hao jamaa waliorudishwa toka South,yani faraja yenu pekee mliyoibakiza ni kuona mtu kapigika kama nyinyi,

Nilisha kwambia kua Get a life ili akili ikukae sawa.
 
Tatizo we ninlijinga kama wajinga wengine tu. Unaongea vitu nje ya mada, hunijui na bado una lia lia kama zoba tu.

Baki na ukweli uliopo mezani Usiikimbile bipolar triggers haisaidii hapa utaumia tu huku wengine tukitabasamu nyuma ya keyboard
 
Hawa uliwataja hapa hawapaswi kusafiri kutafuta maisha?, Ila wanaotokea uzunguni, wazazi wao wafanyakazi na wanaofanya biashara kubwa kubwa ndiyo wanaopaswa kusafiri?...Hebu toka huko ndani kwa box na upanue ufahamu wako.... VIJANA TUSAFIRI TUPIGE MISWAKI YA MACHO AISEE...
Vijana Wa Uswahilini wangekua wakifika Southi Wanafikia Moja kwa moja kufanya kazi Viwandani na Mashambani ingesaidia Vijana wakienda South kubaki salama, Sasa kijana mmoja wa mtaani huko Uswahili alifika South anapokelewa
Na Vijana wenzake ambao kazi yao ni kuuza Unga na Kuvunja Nyumba za wenyeji, yani wanakua kwe mnyororo huo kila kijana akienda anapokelewa na Vibaka anajiunga nao jioni wanampeleka kwenye Kufanya uharifu
 
Tatizo we ninlijinga kama wajinga wengine tu. Unaongea vitu nje ya mada, hunijui na bado una lia lia kama zoba tu.
Ulianza kutoka nje ya mada wewe debe tupu na kuanza personal attack,hukujua kua hizo ndio angle zangu sasa,
Wewe zaidi ya kuweke vibroken english vyako hapa jf na kufungua vinyuzi vya kushobokea Wanawake wa jf,huna zaidi cha kuoffer,
Baki na ukweli uliopo mezani
Ukweli gani huo uliopo mezani? Nani amethibitisha kua huo ni ukweli? Na huo ukweli umethibitisha kwa kuangalia criteria zipi?
Usiikimbile bipolar triggers haisaidii hapa utaumia tu huku wengine tukitabasamu nyuma ya keyboard
Fuata ushauri niliokupa wa kutafuta tiba ya kisaikolojia kutokana na athari za malezi ya hovyo uliyo lelewa na Baba wa kambo.
 
Ulianza kutoka nje ya mada wewe debe tupu na kuanza personal attack,hukujua kua hizo ndio angle zangu sasa,
Wewe zaidi ya kuweke vibroken english vyako hapa jf na kufungua vinyuzi vya kushobokea Wanawake wa jf,huna zaidi cha kuoffer,

Ukweli gani huo uliopo mezani? Nani amethibitisha kua huo ni ukweli? Na huo ukweli umethibitisha kwa kuangalia criteria zipi?

Fuata ushauri niliokupa wa kutafuta tiba ya kisaikolojia kutokana na athari za malezi ya hovyo uliyo lelewa na Baba wa kambo.
You're just another freaking loser, utaandika magazeti mengi ila dawa imeshapenya hiyoo. I don't care unaugulia maumivu gani
 
Back
Top Bottom