Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

Endelea tu kumwaga vibroken english vyako na kuishi na madhara ya malezi ya hovyo ya Baba wa kambo.
Tatizo unachekesha kuongea kitu kisicho kuwepo, ili upate ahueni.. Huoni hicho ni kituko? Kwanza sijawahi kuchapa broken english na Sidhani kuna wa kunifikia humu. Pili my dad is a well rounded person, naona unapayuka utumbo maana nimekufanya kitu mbaya sana emotionally. Tuliza hilo komwe endelea kuokota box, ufe then familia yako nipate taarifa, nguruwe wewe.
 
Tatizo unachekesha kuongea kitu kisicho kuwepo,
Kitu kusichokuwepo wakati kuna uzi wako humu wa kumchukia Babako kisa alikupa malezi ya hovyo na manyanyaso?
ili upate ahueni.. Huoni hicho ni kituko? Kwanza sijawahi kuchapa broken english na Sidhani kuna wa kunifikia humu.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuiambia forums kua eti hakuna wa kukufikia humu,

watu tunakuangalia tu na hivyo vibroken english vyako,
Pili my dad is a well rounded person,
Baba wa kambo huyo,toka usingizini,babako asingekulea kwa yale maisha ya mateso,

Narudia tena kukwambia kua tafuta shughuli ya kufanya ili usipate muda wa kufuatilia maisha ya wanaume,

Hao waliorudishwa toka South,wewe inakuhusu nini? Wafanikiwe au wasifanikiwe,wewe inakuhusu nini? Mind your own f<g business.
 
Kitu kusichokuwepo wakati kuna uzi wako humu wa kumchukia Babako kisa alikupa malezi ya hovyo na manyanyaso?

Mtu mwenye akili timamu hawezi kuiambia forums kua eti hakuna wa kukufikia humu,

watu tunakuangalia tu na hivyo vibroken english vyako,

Baba wa kambo huyo,toka usingizini,babako asingekulea kwa yale maisha ya mateso,

Narudia tena kukwambia kua tafuta shughuli ya kufanya ili usipate muda wa kufuatilia maisha ya wanaume,

Hao waliorudishwa toka South,wewe inakuhusu nini? Wafanikiwe au wasifanikiwe,wewe inakuhusu nini? Mind your own f<g business.
Wewe ni lijinga tu huna akili. Hunijui sikujui ila wewe ndo unaonekana mjinga.
 
Naona watu wengi wanamshambulia mtoa mada bila shaka hawajasoma vizuri mistari yote wameangalia maelezo ya juu tu.
Kuna mstari katikati amesema wanaofanikiwa nje ni walewale ambao nyumbani walifanikiwa hii kwa kifupi ni hivi kama nyumbani ulikuwa mtu wa mipango ukienda nje ukaendeleza lifestyle hiyohiyo ya kuwa mtu wa mipango na mikakati pia utafanikiwa-kwa hii kauli yuko sahihi nje huwezi kufanikiwa kwa kupanda ndege tu na kwenda bila mipango mafanikio hayaji automatically bila kuwa na mipango na mikakati.
Ukiwa mtu wa kuchanganua mambo kiundani bila ushabiki utakubaliana na mtoa mada.
Mwingine anaweza kuuliza mbona mimi wakati niko nyumbani nilikuwa sina kazi/sina mshahara ila baada ya kwenda nje napokea laki 8 kwa mwezi ila hajiulizi kwamba hiyo laki 8 anafanyishwa kazi masaa 16,angekuwa anatumia nguvu hiyohiyo ya kuchapa kazi masaa 16 nyumbani angepata zaidi ya hiyo laki 8 hata kwa kuuza chapati/maandazi/genge sema tu hali ya kubweteka akiwa nyumbani ndio ilimfanyq aone kama haiwezekani kupata hela bila kwenda nje.
 
Hizo stress zako za kulelewa malezi ya hovyo na Baba wa kambo,usituletee humu JF,kamaa na mamako ndiye aliye kuletea huyo baba wa kambo,

Acha kufuatilia hustle za wanaume,utaolewa.
Nakwambiaje wewe familia yako uloiacha kijijini watapataga taarifa kuwa ulisha kufaga huna kitu kapuku wewe, badala urudi home ukalime mashamba ya ukoo, ukaishia kukimbilia nchi za watu?

Sasa aibu ya kushindwa kutoboa inakufanya utupe trantum kwa watu usio wajua?

Nakwambiaje boya wewe, rudi rudisha mpira kwa beki omba wakuchangie urudi kwenu,
 
Nakwambiaje wewe familia yako uloiacha kijijini watapataga taarifa kuwa ulisha kufaga huna kitu kapuku wewe, badala urudi home ukalime mashamba ya ukoo, ukaishia kukimbilia nchi za watu?
Endelea kujifariji na umasikini wako,ndio maana wewe na mleta mada mmefarijika kuona hao jamaa wamerudishwa toka South coz hiyo ndio faraja pekee mlioibakisha kwenye maisha yenu baada ya kufeli maisha na kupitia mateso kwenye malezi ya Baba wa kambo,
Sasa aibu ya kushindwa kutoboa inakufanya utupe trantum kwa watu usio wajua?
Mimi nina uwezo wa kuwalisha wewe na mumeo mpaka mnakufa,ndio maana nimekupa ushauri hapa kua badala ya kupoteza muda wako kufuatilia hustle za wanaume,tafuta shughuli ya kufanya,umri haumsubiri mtu,

Angalia tu usije ukawapa tabu wengine kuja kukulea uzeeni mwako,
Nakwambiaje boya wewe, rudi rudisha mpira kwa beki omba wakuchangie urudi kwenu,
Kumbe ndio maana umefurahi kuona hao jamaa wamerudishwa toka South,unatamani watu wote wateseke kama wewe ili ufarijike,

Wake up before it's too late,muda haumsubiri mtu,hivi vibroken english vyako na vinyuzi vya kuwafungulia wanawake hapa jf haviwezi kukupa maisha,

Utaishia kujifariji tu huku umri ukikutupa mkono.
 
Kumbe unanijua ya kuwa mimi ni mraibu wa wanawake? Sasa kwa vile wewe unajua huko unakosa pa kukojolea unanionea mimi donge?
Unaona jinsi ulivyo kapumbavu? Umemfungulia uzi Shes_rise akaishia kukudhalilisha tu,ukamfungulia uzi Seran,akakupa za uso,au kumbe akili yako hua inakuaminisha kua ukimshobokea mwanamke wa jf ukamfungulia uzi ndio unakua umesha mpata tayari sio? Hivi ulisoma mpaka darasa la ngapi? Maana sio kwa ujinga huu aisee.
 
Seran najua hata wewe ulirusha ndoano ukaambulia manyoya boya wewe.

Sasa unafikiri nikimfungulia uzi akanikataa mbele ya watu ndo kanikataa? Licha ya hivyo wewe inakuuma nini kama sio trauma tu zinakunyonya boya wewe
 
Mwaka 2010 niliwahi ishi Greece kwa miezi 6..
Kipindi hicho nipo under 30 ..
Athens nilikuta watanzania wengi sn,,wenye maisha mazuri na maisha ya kutubu.
Mimi nilikuwa miongoni mwa vijana ambao walikuwa na maisha magumu sn pale Athens.
Ndipo mzee wng mmoja mtanzania akaniweka chini akanishauri.
Mwandende"wewe bado mdogo sn,,
hapa Greece hapakufai,,utapoteza muda wako bure..
Mimi nina umri wa miaka 50 now,nipo hapa tangu 1998 , najuta kuwa hapa hadi sasa,,
Sina pesa na pia sina family zaidi ya ile niliyoacha Tanzania.
Tanzania nimeacha mke na mtoto mmoja tu,,,
sipendi na wewe yakukute.. natamani kurudi nyumbani Nashindwa.

Nakushauri tafuta maisha pia tafuta na family .
watu wengi wanaoishi ulaya hawana family .
Rudi nyumbani kajipange upya,
Tafuta maisha na tafuta family pia,
Ukikosa maisha unaweza ukapata maisha mazuri kupitia watoto wako hapo baadae...ukiwa hapa hutotengeneza family,.watu wengi hapa wanaishi kisela tu.

Nilimsikiliza yule mzee na kuamua kurudi Tanzania..

Nilichojifunza kwa watanzania wengi wanaoishi Africa kusini,na baadhi ya inchi za ulaya na America kusini zenye maisha magumu.
Wengi hawana maisha na family pia hawana..
Wamekosa vyote...
Mtu yupo south miaka 30 hana mke wala mtoto na ameshakuwa mtu mzima...
Mtu una over 55 umeishi nje zaidi ya miaka 30 hata ukirudshwa Tanzania now utafanya nn?...
Huna maisha na family pia huna.
 
Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
Siyo kweli, unaweza shindwa na nchini kwako ukafanikiwa uhamishoni
 
Mwaka 2010 niliwahi ishi Greece kwa miezi 6..
Kipindi hicho nipo under 30 ..
Athens nilikuta watanzania wengi sn,,wenye maisha mazuri na maisha ya kutubu.
Mimi nilikuwa miongoni mwa vijana ambao walikuwa na maisha magumu sn pale Athens.
Ndipo mzee wng mmoja mtanzania akaniweka chini akanishauri.
Mwandende"wewe bado mdogo sn,,
hapa Greece hapakufai,,utapoteza muda wako bure..
Mimi nina umri wa miaka 50 now,nipo hapa tangu 1998 , najuta kuwa hapa hadi sasa,,
Sina pesa na pia sina family zaidi ya ile niliyoacha Tanzania.
Tanzania nimeacha mke na mtoto mmoja tu,,,
sipendi na wewe yakukute.. natamani kurudi nyumbani Nashindwa.

Nakushauri tafuta maisha pia tafuta na family .
watu wengi wanaoishi ulaya hawana family .
Rudi nyumbani kajipange upya,
Tafuta maisha na tafuta family pia,
Ukikosa maisha unaweza ukapata maisha mazuri kupitia watoto wako hapo baadae...ukiwa hapa hutotengeneza family,.watu wengi hapa wanaishi kisela tu.

Nilimsikiliza yule mzee na kuamua kurudi Tanzania..

Nilichojifunza kwa watanzania wengi wanaoishi Africa kusini,na baadhi ya inchi za ulaya na America kusini zenye maisha magumu.
Wengi hawana maisha na family pia hawana..
Wamekosa vyote...
Mtu yupo south miaka 30 hana mke wala mtoto na ameshakuwa mtu mzima...
Mtu una over 55 umeishi nje zaidi ya miaka 30 hata ukirudshwa Tanzania now utafanya nn?...
Huna maisha na family pia huna.
Natamani wajinga wote wasome ulichokiandika hapa waelimike
 
Back
Top Bottom