Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Kwani akili zake haziko sawa?Akili zake zikae sawa
Kwani akili zake haziko sawa?Akili zake zikae sawa
Moja ya takwimu kuna route 3 za ndege kuwasaidia wabongo wasiojiweza kurudi nyumbani wamepewa usafiri wa bureTuwekee sasa hizo takwimu mkuu.
POV naona anahitaji msaada mkubwaKwani akili zake haziko sawa?
Ujinga mtupu hii kasumba mtu akienda kubeba boksi ndio anafanya kama ni ticket ya kujua kila kitu ni ushamba na ujinga. Wengi wao wanasumbuliwa na sonona ndio maana ukiwachunguza vizuri wamejaa makasiriko muda wote.Wanapoteza muda , kibaya wakiwa mbali na kwao wanajiachia na kufanya mambo ya hovyo ...
Awe mimi asiwe mimi.. Haitoi ukweli kuwa sindano imekuingia kikamilifu.Wewe unachomiliki ni hivyo vibroken english vyako tu unavyo vitapika hapa jf kila mara,
Acha kufustilia maisha ya wanaume wanao tafuta maisha,utaolewa,
Halafu bila shaka huyo mleta mada ni wewe,haiwezekani ushobokee kila mchangiaji hapa,punguza ukimbelembele wewe debe tupu.
Kabisa kk , halafu mada ya kawaida unakuta mtu anashindwa kujibu kwa hoja analeta jazba povu linamtokaMambo hayo yalikuwa zamani,
Siku hizi wazungu na wachina wanakuja kufanya investment huku huku, na dunia iko kama kijiii. Hawa jamaa wanaoringia kukaa nje ndo washamba haswaa
Hawa ukitulia hawana cha kukufanya wapuuzi tu. They use mind games na vingereza uchwara kukufanya uone wana kitu kumbe madebe matupu tu.Kabisa kk , halafu mada ya kawaida unakuta mtu anashindwa kujibu kwa hoja analeta jazba povu linamtoka
Sindano? Kufuatilia maisha ya wanaume ndio unaita sindano? Sidhani kama hapa JF kuna mtu mpumbavu zaidi yako,wewe ulisha geuka kua kituko hapa jf japo unajilazimisha tu,ila wewe ni debe tupu,Awe mimi asiwe mimi.. Haitoi ukweli kuwa sindano imekuingia kikamilifu.
MImi nitie huruma kwa kijitu cha hovyo kama wewe? Yani mimi nitie huruma kwa wewe debe tupu? Tafuta shughuli ya kufanya ili usipate muda wa kufuatilia maisha ya Wanaume.Broken English? Mbona unaisoma na kujibu wewe dumbass? Acha kutia huruma boya wewe.
Dawa ni moja ni kuwapokea kama wanavyokuja , anayepinga kwa hoja unamjibu kwa hoja kistaaarabu anayejibu shit una return the same energy, mimi sipingani kutofautiana mawazo ila tupeane hoja sio matusiHawa ukitulia hawana cha kukufanya wapuuzi tu. They use mind games na vingereza uchwara kukufanya uone wana kitu kumbe madebe matupu tu.
Haya endelea kulia lia na hakuna kinacho badilika mshamba wewe.Sindano? Kufuatilia maisha ya wanaume ndio unaita sindano? Sidhani kama hapa JF kuna mtu mpumbavu zaidi yako,wewe ulisha geuka kua kituko hapa jf japo unajilazimisha tu,ila wewe ni debe tupu,
MImi nitie huruma kwa kijitu cha hovyo kama wewe? Yani mimi nitie huruma kwa wewe debe tupu? Tafuta shughuli ya kufanya ili usipate muda wa kufuatilia maisha ya Wanaume.
Nimecheka nao sana hawa ukiwapa the upper hand tu, unaloose. Hawanisumbui tena ni wa lala hoi tu huko.Dawa ni moja ni kuwapokea kama wanavyokuja , anayepinga kwa hoja unamjibu kwa hoja kistaaarabu anayejibu shit una return the same energy, mimi sipingani kutofautiana mawazo ila tupeane hoja sio matusi
Kwani mimi nilikwambia kua kuna kitu nataka kibadilike? Wewe mbona ni kapumbavu sana?Haya endelea kulia lia na hakuna kinacho badilika mshamba wewe.
Ego ya kitu gani? Hivi wewe hua una akili timamu kweli?Ulifikiri tutichekea hiyo ego yenye insecurity?
Wewe Pimbi ndio unipe mimi za uso? Wewe hata uje na mumeo hamna cha maana.Humu unakula za uso tu. Wapumzikie ndugu zako kilijini
Naomba takwimu za watanzania wanaoshi maisha duni nchi za nje ambao umesema ndo wengi wao. Hao ambao unataka kutuaminisha hali zao za kimaisha ni duni kuliko za Watanzania wenzangu wengi wanaoishi kwenye nyumba za tope/nyasi/miti (mbavu za mbwa) na vyoo vya shimo vilivyojengwa na TASAF kwa ufadhili wa nchi za nje mkuu wangu. Natanguliza shukrani zangu nyingi.Moja ya takwimu kuna route 3 za ndege kuwasaidia wabongo wasiojiweza kurudi nyumbani wamepewa usafiri wa bure
Hahaha utatukana na kutrigger bipolar mpaka useme mpuuzi na kapuku mkubwa wewe.Kwani mimi nilikwambia kua kuna kitu nataka kibadilike? Wewe mbona ni kapumbavu sana?
Ego ya kitu gani? Hivi wewe hua una akili timamu kweli?
Wewe Pimbi ndio unipe mimi za uso? Wewe hata uje na mumeo hamna cha maana.
Siwezi nikazungumzia nchi zote mimi nasemea wanaoishi south Africa , walalahoi wengi wanakimbilia SA kwasababu ni rahisi kuzamia hata na bus tofauti na nchi za ulayaNaomba takwimu za watanzania wanaoshi maisha duni nchi za nje ambao umesema ndo wengi wao. Hao ambao unataka kutuaminisha hali zao za kimaisha ni duni kuliko za Watanzania wenzangu wengi wanaoishi kwenye nyumba za tope/nyasi/miti (mbavu za mbwa) na vyoo vya shimo vilivyojengwa na TASAF kwa ufadhili wa nchi za nje mkuu wangu. Natanguliza shukrani zangu nyingi.
Wengi wao ni Darasa la saba na wanatokea Uswahilini kwenye Jamii Masikini Wazazi wao ni Mama wa Nyumbani au Wafanyabiashara ndogo ndogo kama kupika Vitumbua, Kukaanga Samaki.Majority ya wazamiaji ni bunch of un educated na wasela mavi
Kabisa hilo ndo tatizo wanaenda huko kuishi maisha ya kihuniWengi wao ni Darasa la saba na wanatokea Uswahilini kwenye Jamii Masikini Wazazi wao ni Mama wa Nyumbani au Wafanyabiashara ndogo ndogo kama kupika Vitumbua, Kukaanga Samaki.
Hawa uliwataja hapa hawapaswi kusafiri kutafuta maisha?, Ila wanaotokea uzunguni, wazazi wao wafanyakazi na wanaofanya biashara kubwa kubwa ndiyo wanaopaswa kusafiri?...Hebu toka huko ndani kwa box na upanue ufahamu wako.... VIJANA TUSAFIRI TUPIGE MISWAKI YA MACHO AISEE...Wengi wao ni Darasa la saba na wanatokea Uswahilini kwenye Jamii Masikini Wazazi wao ni Mama wa Nyumbani au Wafanyabiashara ndogo ndogo kama kupika Vitumbua, Kukaanga Samaki.