Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
Mbona kuna watanzania zaidi ya milioni 40 ni masikini wa kutupwa na hawakuzamia nchi yoyote?
 
Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
Ni wapumbavu tuu,Ukitaka kuhama Tanzania labda uende uarabuni kwingineko ni njaa mara elfu hapa Tanzania
 
Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
issue sio kuhama
issue ni kubadili mazingira
mazingira yetu tunayozaliwa na kukulia yana ushawishi mkubwa katika kutufanya watu wa aina fulani ndiyo maana kuna misemo kama ndege wafananao huruka pamoja.
Fikiria umezaliwa katika kijiji ambacho mfanyakazi pekee wa Umma unayemuona ni mwalimu au nesi/muuguzi au mtendaji wa kijiji.
Mawazo kwamba kuna wahandisi, madaktari marubani n.k yatatoka wapi ?
Hata kama watoto wanajifunza mashuleni lakini exposure ya mazingira halisi ina nguvu zaidi kuliko ile ya kuishia kusoma makaratasi.
 
Point ni kwamba unapotaka kuhama nchi uwe na fani /taaluma au mtaji wa pesa wa kukuwezesha kupata ajira , au kufungua biashara huko uendako , sio unatoka ktk nchi yako ukiwa kopo unaenda kuishi maisha ya kuungaunga huko
 
Mbona na wewe unaumizwa na wengine kufatilia maisha ya wengine. Kwani ukweli usiseme kuwa wazamiaji huwa wanafikiria kutoboa ni nje tu? Na akienda kinawaramba?
Wewe nae hujawahi kumiliki akili ya uelewa,hata hujaelewa msingi wa comment yangu,kama huna akili ya uelewa usiwe una quote comment zangu,

Kuna sehemu yeyote nimesema kutoboa ni nje tu? Umeshindwa hata kuelewa niliposema "Hata huko Bongo wapo waliotoboa na wapo wasio toboa" Mwanaume ni kujaribu maisha popote,hata kama huta fanikiwa ila kuna jambo atakua kajifunza kuliko yule asiye jaribu na kujikatia tamaa.
 
Wewe nae hujawahi kumiliki akili ya uelewa,hata hujaelewa msingi wa comment yangu,kama huna akili ya uelewa usiwe una quote comment zangu,

Kuna sehemu yeyote nimesema kutoboa ni nje tu? Umeshindwa hata kuelewa niliposema "Hata huko Bongo wapo waliotoboa na wapo wasio toboa" Mwanaume ni kujaribu maisha popote,hata kama hata fanikiwa ila kuna jambo atakua kajifunza kuliko yule asiye jaribu na kujikatia tamaa.
Tuanze na wewe ? Umewahi kuvuka mipaka kwenda kutafuta life nje au unaongea kiushabiki tu
 
Wewe nae hujawahi kumiliki akili ya uelewa,hata hujaelewa msingi wa comment yangu,kama huna akili ya uelewa usiwe una quote comment zangu,

Kuna sehemu yeyote nimesema kutoboa ni nje tu? Umeshindwa hata kuelewa niliposema "Hata huko Bongo wapo waliotoboa na wapo wasio toboa" Mwanaume ni kujaribu maisha popote,hata kama hata fanikiwa ila kuna jambo atakua kajifunza kuliko yule asiye jaribu na kujikatia tamaa.
We jamaa huwa uko emotional sana. Hujui kujibu kwa kutulia.. Nimekuuliza kwa nini uumizwe na kufatilia maisha ya watu wanaofatilia maisha ya wengine? Na kwanini ukimbilie kwenye defence mechanism ya kuongea kitu ambacho hakipo? Chill mzee control them emotions, utakufa vibaya
 
Back
Top Bottom