Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
Ngoja nikaoshe vikongwe mimi 😂😂
Inahitaji moyo sio mchezo
Ngoja nikaoshe vikongwe mimi 😂😂
Muogesha visibility bya kizungu USA Ulipopelekwa kwa Dada yako unajitetea sio? 😂😂Usijipe umuhimu usionao, bila kuombwa, katika maisha ya watu usiowajua, kwenye mambo usiyoyafahamu.
Hawa watu choka mbaya kabla ya kuondoka walikuwa na sifa zipi?
Kweli mkuu waache wajidanganye kuishi bila kuwa na familia. Au kuwa na watoto ambao hawana muda nao, kwa umri huo watakosa hata wa kumuuguzau
Ukiwasikiliza hao waliorudishwa toka south Africa wengi wana 50 +..Kweli mkuu waache wajidanganye kuishi bila kuwa na familia. Au kuwa na watoto ambao hawana muda nao, kwa umri huo watakosa hata wa kumuuguza.
Brz Asnt sana kwa hili song umenikumbusha mbali sana . Na pia message delivered
Ukiwasikiliza hao waliorudishwa toka south Africa wengi wana 50 +..
Na wote wanazaidi ya miaka 30 au 20 wameondoka Tanzania.
Maana yake wameondoka wakiwa na umri kati ya 20-25..
.umri ambao hawasikii ushauri wa yeyote wala hawajali mambo ya kuwa na family..
Ila kwa sasa wana 50 + wanajuta muda waliopoteza south Africa...
Hivyo mkuu asiyetaka kusikia mwache yamkute..
Time will tell.
Majuto ya nini?Mkuu lazima uelewe kwamba majuto ya maisha ya mwanaume yanaanza ukiwa na miaka 55.
Kuna wanaume wengi tu wametelekezwa na wake na watoto wao na wana survive wenyewe uzeeni.Hapo ndy utaelewa nn namaanisha..
Kwa sasa huweziona umuhimu wa kuwa na family,,
Muda utaongea
Ile ni professionalism mzee wanguInahitaji moyo sio mchezo
Tatizo moja la wabongo wanataka kwamba njia aliyopita yeye, kila mtu apitie.Nashangaa kupata tuu kazi sasa baba jitahid uoe ndo nn sasa
Ile ni professionalism mzee wangu
Usipooa watasema mengi sana ila mambo yamebadilika sanaTatizo moja la wabongo wanataka kwamba njia aliyopita yeye, kila mtu apitie.
Mbongo anataka kama yeye alioa, basi kila mtu aoe.
Wanasahau kwamba kila mtu ana vipaumbele vyake kwenye haya maisha.
Na kuna watu hata kuoa na kupata watoto sio mpango wao wa maisha kabisa.
Hakka mkuuNa hiki kizazi cha Gen Z wengi ndio wana mrengo huo wa kukataa kuwa na familia hawajui finali uzeeni.
Unategemea ni ndugu gani au mtoto wa ndugu atakuja kukuhangaikia na miaka 60 kwenye kukuuguza na mambo kama hayo.
Wengi waliohojiwa ni kweli wana majuto na yatazidi kwa sababu ndugu watawa nyanyapaa sana bora angalau kama wengekuja na mali. Mali hakuna na familia hakuna ni useless.
Mkuu kuna muda utafika utagunduwa kwamba wanao ndy ndg zako wa kweli.Majuto ya nini?
Kuna wanaume wengi tu wametelekezwa na wake na watoto wao na wana survive wenyewe uzeeni.
Una uhakika huyo mkeo atafika uzeeni na wewe?
Una uhakika hao wanao watakuja kukutunza uzeeni?
Umepiga utosini vijana wa dar es salam wakifika nje baada wafanye kazi wanataka starehe za kishamba bange pombe na uzinzi wansahau umri si rafiki anakuja stuka umri ndio huo kurudi nyumbani aibu hata hao waliorudishwa ni kwa vile tu kuna shida hawakuwa tayali kabisa kurudi nyumbani kutokana na maisha yalivyowapigaSio sahihi, kuhama sio kufanikiwa, na kubaki sio kufanikiwa, yanayofanikiwa ni malengo dhabiti, nidhamu na mikakati!
Mimi nimekaa South Africa 5 years, na ndo mda niliweza nunua kiwanja na kujenga nyumba yangu ya kwanza.
Nisingeenda kamwe, nisingeweza kujenga Njiro miaka ya 2007, na pia nisingeweza kupanuka kifikra za Biashara.
Wewe unafikiri Kuna Mkurya au mtu wa Iringa waliolelewa mikoa hiyo anaweza aende nje arudi Kizembe? Ni Hawa waliolelewa Kinondoni na Magomeni unawapima!
Maisha ya majuto huanzia miaka 55..Tatizo moja la wabongo wanataka kwamba njia aliyopita yeye, kila mtu apitie.
Mbongo anataka kama yeye alioa, basi kila mtu aoe.
Wanasahau kwamba kila mtu ana vipaumbele vyake kwenye haya maisha.
Na kuna watu hata kuoa na kupata watoto sio mpango wao wa maisha kabisa.
Ni kweli kabisa halafu nimeona wengine ni mateja kabisa kwa hali hiyo hao walienda kutafuta au ?Sio sahihi, kuhama sio kufanikiwa, na kubaki sio kufanikiwa, yanayofanikiwa ni malengo dhabiti, nidhamu na mikakati!
Mimi nimekaa South Africa 5 years, na ndo mda niliweza nunua kiwanja na kujenga nyumba yangu ya kwanza.
Nisingeenda kamwe, nisingeweza kujenga Njiro miaka ya 2007, na pia nisingeweza kupanuka kifikra za Biashara.
Wewe unafikiri Kuna Mkurya au mtu wa Iringa waliolelewa mikoa hiyo anaweza aende nje arudi Kizembe? Ni Hawa waliolelewa Kinondoni na Magomeni unawapima!
Hivi mmefanya utafiti ukajua waliobaki Tanzania wako kwenye hali gani? Mbona wana kiwango hicho hicho cha umaskini na wengine zaidi? Na umefanya utafiti ukajua ni wangapi waliweza kupata mafanikio kwa kwenda huko? Na umejuaje kama hao waliorudishwa kama wangekuwa wamebaki Bongo huenda wangekuwa wamashafariki kwa magonjwa au kuuawa? BTW Tanzania kuna ushamba wa kudhani ukihamia nchi nyingine basi ni lazima mafanikio yatakuwepo.Haijalishi ila tuanategemea mtu ndani kipindi fulani mfano miaka kumi uwe na mafanikio kidogo uwe tofauti na mwanzo ila kwao ni tofauti.
Sasa mtu anaona miaka imepita hajapata kitu badala arudi anazidi kukaa tuu mpaka jana wake unaishia huko unarudishwa kwa kwa lazima.
Mna overrate sana maisha ya Tz. Sio kila ambae yuko Ulaya na hataki kurudi Tz ni kwasababu hawezi au anaona aibu kwasababu ya hali yake kiuchumi. Wapo wengi tu hawataki kurudi kwasababu hii ni nchi ya hovyo. Huduma za afya mbovu,elimu mbovu,siasa za kijima kuuana tu kisa mtu umeongea ukweli. Low quality of life kila kona. Mnasema ooih tafuta hela hata ukiwa na hela nchi hii bado ya hovyo tu. Late Mufuruki aliwahi kusema unaweza kuwa na cash 100m kwenyw gari ukapata ajali hapo pwani tu ukafa kwa kukosa huduma ya kwanza.Umepiga utosini vijana wa dar es salam wakifika nje baada wafanye kazi wanataka starehe za kishamba bange pombe na uzinzi wansahau umri si rafiki anakuja stuka umri ndio huo kurudi nyumbani aibu hata hao waliorudishwa ni kwa vile tu kuna shida hawakuwa tayali kabisa kurudi nyumbani kutokana na maisha yalivyowapiga
Hao ni mfano wa hqta ndugu zetu waliopo uko ukaya hawataki kurudi nyumbani maana wanajua wakija hawana cha kuonyesha wamechoka inabidi wabaki uko uko ulaya tu wafie uko uko