Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
Hivi mmefanya utafiti ukajua waliobaki Tanzania wako kwenye hali gani? Mbona wana kiwango hicho hicho cha umaskini na wengine zaidi? Na umefanya utafiti ukajua ni wangapi waliweza kupata mafanikio kwa kwenda huko? Na umejuaje kama hao waliorudishwa kama wangekuwa wamebaki Bongo huenda wangekuwa wamashafariki kwa magonjwa au kuuawa? BTW Tanzania kuna ushamba wa kudhani ukihamia nchi nyingine basi ni lazima mafanikio yatakuwepo.
Ni kweli mkuu angeweza akabaki hapa na asifanikiwe. Kinatotushtua ni kundi kubwa la hao watu walirudi toka huko South wana hali mbaya kwa hiyo ni tahadhari kwa vijana wengine wasiende huko kama hawajajipanga.