Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

Unaenda nchi za watu kwenda kuwa mmachinga wakati ungeweza kuwa hukohuko kwenu unakotoka, huo si ni ujuha? Nenda nchi za watu kwa shughuli maalumu tu sio kwenda kuzurura mitaani eti kutafuta
 
Twende taratibu ndugu, Schenghen Viza haiingii UK, UK wanajitegemea na UK Viza na sarafu yao Sterling pound.

Kuna watu kibao wapo Netherlands na German wanatamani kuingia UK lakini hawawezi.

Kwahiyo twende taratibu tusipelekane kama gari bovu.
Upo sawa kabisa
UK lazima ukiingia iwe airport, au kwa meli iwe Dover au Newcastle lazima wakuulize passport
Na tulikuwa na jamaa zangu wengi wakati niko Holland wamejaribu wakadakwa na kurudishwa Holland.
Kupita ni zari lako, mimi nilinunua ID card ya msomali na nikapanda ndege, wakati huo UK bado ilikuwa EU.
Kama zari tu nikatua Luton, na kupita fresh, jamaa yangu siku moja ila wote ndege tofauti kumbe walimdakia palepale Schipol, tulijaribu zari la ndge sababu Dover kulikuwa kumenuka, kila siku watu wanadakwa, na yeye tulinunua wote ID, nimefika baada siku kadhaa anipigia simu kuwa kadakwa.
Mkuu, safari ujitie ukauzu hasa, yaani sura ya mbuzi, bila hivyo hukatizi boda.
 
Mkuu rejea comment yang nilisema nilishauriwa na mzee wng niondoke Greece napoteza muda.,na unajuwa hao waliokimbia Greece kwenda huko German na kwengineko ulaya kulitokea nn hapo Greece hata wakapata nafasi ya kuondoka hapo?
Hivi unaijuwa geografia ya Greece?
Ni kweli shnghen country,,
Sawa lakini inaonekana ulikuwa huko nyuma ya 2010, bado kulikuwa shwari na hakuna sana border control miaka hiyo.
Mimi niliondoka bongo 2005, na kwenda Portugal, hapo akili yangu yote nikutambaa boda kwa boda mpaka nifike Belgium au Holland ndio niliambiwa ni nafuu kama unataka kwenda UK, kufika nikampata jamaa mmoja Mkenya anaishi hapo, akaniambia ni Holland bora zaidi kama unataka kwenda UK,

Kwa kuwa alikuwa na makaratasi, akanikatia tiketi ya treni kutoka Portugal mpaka Holland, yaani nimepita boda zote, ila boda ya France na Spain ndio ilikuwa kasheshe, na hapo ndio wanasema huwa kuna passport control sababu Spain wanawawinda wale magaidi wa ETA wengi walikuwa wanafanya tukio na kukimbilia France.

Uzuri tumepita pale usiku, Mkenya alinikatia tiketi ya usiku akisema, kidogo kunakuwa shwari siku zingine hakuna immigration wengi, nilikuwa ndani ya behewa na mwest africa sijui wa Mali au Senegal, kumbe mwenzagu na yeye ni kama mimi, ila yeye anasepa Spain, huku mimi nimetokea Portugal, usiku mara mlango unagongwa, mwezangu acha aanze kupiga aya za Quran, nikajisemea kumbe kobaz mwenzagu, basi dua itasaidia, kufungua kumbe mtu wa tiketi, tukatoa tiketi zetu , akangoga huyo akasepa, hapo kiroho shwaaaa.
Kumbe yeye alikuwa anaishia kati ya France au Belgium, ila ukifika France unabadilisha treni ndio tukapoteana.

Kumbe ukifika Paris , treni inasisima Paris Gare de Lyon halafu unatakiwa ushuke na utoke kwenye stesheni ukapande metro ili uende Paris Gare Du Nord, ilikuwa changamoto nimetoka nje ya stesheni nilipigwa na baridi sio mchezo uso uliganda, mara bahati mdada mweusi anapata mbele yangu, nikamsimamisha na kumuuliza, halafu english hata haipandi vizuri anajaribu kunieleza hata hatuelewani, kumbe dada ni Mkongo, mara akaniuliza unatokea nchi gani, nikasema Tanzania, naona akakenua meno, tukaanza kuongea kiswahili lakini chake cha kikongo, ndio akaniambi mimi naenda sehemu nyingine lakini metro ninayopanda inapita hapo Gare Du Nord, kwahiyo twende wote, mimi huyo nafumfuata huku tunabonga, mara ndani ya metro, ndani inanuka bangi kichizi, mara ikafika stesheni yangu akaniambia shuka hapa na kuniombea safari nje.

France kidogo nikamatwe, sema zari polisi hakuniuliza passport wala kitambulisho, nilifanya makosa na kwenda kusubiria treni ya kwenda Holland kwenye sehemu ya treni za kwenda UK, kumbe pale wanapafatilia sana, nimekaa zangu kwenye benchi mara polisi wawili hao, wakaniuliza tiketi, kuwapa wakanimbia hii treni ya kwenda Holland, wakanichukua mpaka sehemu sahihi, hapo kiroho kinadunda, nashangaa wananiambia subiri treni ya Holland,
Hapo nikasepa mpaka Amsterdam, hapo nilikuta na wabongo wengi wanaishi makambi ya ukimbizi wamejilipua kama Warundi wanasubiri makaratasi., ndio wengine walikuwa na mchakato wa kuingia UK, nikafanikiwa kuingia UK, ni mbongo mmoja ndio nilikuja kupata mawasiliaono nae kumbe na yeye alifanikiwa tukakutana UK mara kadhaa lakini baadae tukapotezana maana kila mtu anaishi mji tofauti.

Ungejaribu zari na wewe kutoka Greece na kuingia Italy halafu ukatambaa boda kwa boda mpaka Holland au Germany, wabongo niliowaacha Holland wengine walipewa makaratasi pale na wengine walijitafutia mabibi wa kizungu na kuolewa nao pia wana makaratisi sasa, maisha yanaendelea vizuri tu.

Hiko kipindi chako ndio ilikuwa Arab spring na wewe ungechinganya na waarabu wengi walitambaa mpaka Sweden huko, Angela Merkel aliwaruhusu watu waingie Germany nakumbuka
 
Mkuu mimi nilipotoka turkey niliingia Greece kwa njia panya kupitia Izmir Turkey karibu na Bulgaria..

Nimeingia Ethlonic Greece,nikawekwa kizuizini na police kama week 2.
Nikaachiwa na kwenda Athens.
Shida ya Greece wakati ule hapatokeki kwenda popote, migrants walikuwa ni wengi sn,
Geography ya Greece ilivyo hakuna barabara kufika ulaya ingine zaidi ya bahari au ndege,,
Na kote ulinzi mkali sn..nilijaribu one-day kununuwa passport ya Holland nitumie kusafiri nikaishia gerezani miezi 3.
Nikaona hakuna njia ingine zaidi ya kuanza upya nyumbani africa..
 
Hapo kuna Ferry kati ya Greece na Italy
Ungejaribu hilo zari, maana ferry sio noma sana kama ndege

Wabongo niliowakuta Holland, wapo wametoka Greece na kuingia Italy, ndio wakapanda juu mpaka Holland
Huko kwenye ferry ndy waliweka ulinzi tight sn,
Ikawa watu hawatoki hapo ,,
Ila hao uliowakuta Holland ni UN walitoa kibali maamulu border zote ziwe open kwa week moja..
Migrants wote waende wanapotaka baada ya week moja boder zifungwe tena..
Ndy migrants wengi walibahatika kutoka pale na kwenda inchi kama Italy, German, Holland nk..
Kabla ya hapo hakuna aliyekuwa anatoka hapo,,
 
Nilikuwa Greece mwaka 2010 nikiwa na mtoto 1 nimeacha Tanzania,
Now nashukuru alhamdulilah nimejaaliwa watoto 6.

Nilikwwnda tena ulaya mwaka 2015 nilikuwa Italy na spain,
Nilikutana na baadhi ya jamaa zng niliowaacha Greece 2011,
Bado wapo vile vile, wengine wapo jela na wote bado hawana family na maisha ya uhakika hawana pia.,wengi bado wanaishi kisela na sasa wapo over 50+

Mkuu mimi nakuambia kitu ambacho nime experience....
Mfano hao waliorudishwa toka south Africa wote ni 50+ na hawana maisha na family pia hawana.
Sijakuuliza ulikwenda wapi.

Nakuuliza hivi, Kuwa na familia ndio kipimo cha mafanikio?
 
Unadhani wewe pekee humu ndio umefika hiyo miaka 55?

Kwamba wewe ndio unayajua maishq kuliko wengine?

Nakuuliza hivi, kuwa na familia ni kipimo cha mafanikio?
Mimi hata 55 sijafika mkuu,,
Ila najiandaa nikifika huko nisiwe na majuto.
Ndy maana nimeamua kubadilika.
Na kuhusu family mimi nashauri tu,,una hiyari kutengeneza family au uishi kama gendaheka porini..
 
Kwenye hii Dunia si kila mtu ana mpango wa kuwa na familia.

Na wala haimaanishi kwamba usipokuwa na familia, utateseka ukifika hiyo miaka 55.

Kuna wazee wenye miaka 55+ wana familia na bado wanateseka.

Kuteseka hakuna uhusiano wowote na kuwa na familia au kutokuwa na familia.
 
Mkuu hayo maneno unayoongea kwa sasa hayana faida kwko,
Ila muda wako ukifika utayakumbuka maneno hayo..ndugu yko wa kwl ni mwanao.
Endelea kula maisha.
 
Muda ukifika wapi wewe!

Unadhani wewe ndio unayajua maisha kuliko wengine?

Nakwambia hivi, Kuteseka hakuna uhusiano wowote na kutokuwa na familia au kuwa na familia.

Wapo wenye familia na wanateseka.

Wapo wasio na familia na wanateseka.

Kuteseka kuna tokana na mipango mibovu ya mtu.

Si kwa sababu ya issue za familia.
 
Kwa makasirko uliyonayo nadhani wakati wa majuto ushakufikia..
 
Back
Top Bottom