Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Hauoni wengi wanaovuka boda wanarudi choka mbayaSio sahihi
Usijipe umuhimu usionao, bila kuombwa, katika maisha ya watu usiowajua, kwenye mambo usiyoyafahamu.Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
Bado Sijakusoma rekebisha maandishiUsinipe umuhinu usionao, bila kuombwa, katika maisha ya watu usiowajua kwenye mambo usiyoyafahamu.
Usijipe umuhimu usionao, bila kuombwa, katika maisha ya watu usiowajua, kwenye mambo usiyoyafahamu.Bado Sijakusoma rekebisha maandishi
Kbs sio kuhama nchiMafanikio yako akili mwa mtu,
Hauoni wengi wanaovuka boda wanarudi choka mbaya
Ulichoandika ni sawa ila kinahusiana vp na hiyo madaUsijipe umuhimu usionao, bila kuombwa, katika maisha ya watu usiowajua, kwenye mambo usiyoyafahamu.
Tatizo wanazamia hukonkubahatisha maisha hawana mitaji wala fani yeyoteWaliolelewa Kinondoni na Magomeni
Kama hujaona uhusiano basi una uwezo mdogo wa kuelewa.Ulichoandika ni sawa ila kinahusiana vp na hiyo mada
Umechemka sana , tunaongea mada kama hizi kuwaelimisha watu waliokuwa na mawazo kama ya hao ndg zetu yaliowakuta mpk serikali inawalipia nauli za kurudi Tanzania, ubaya huko wapi kwanini tusijadili !Kama hujaona uhusiano basi una uwezo mdogo wa kuelewa.
Ni hivi, wewe umejipa umuhimu mkubwa sana, bila kuombwa, katika maisha ya watu usiowajua, kwenye mambo usiyoyafahamu.
Usijioe umuhinu huo.
Mambo ya Ngoswe, muavhie Ngoswe mwenyewe.
Wewe huyajui.
Kwa nini unafikiri wewe uko qualified kuongelea mada hii na ushauri wako ni muhimu?Umechemka sana , tunaongea mada kama hizi kuwaelimisha watu waliokuwa na mawazo kama ya hao ndg zetu yaliowakuta mpk serikali inawalipia nauli za kurudi Tanzania, ubaya huko wapi kwanini tusijadili !
Amka usingizini hatuishi hivyo
Mjinga ni wewe uliyeacha kutumia jina la ukoo wenu unatumia la koffi Annan, haupo sawaKama hao walioletwa na ndege ndio wamefanya utoe conclusion ya mada yako basi wewe ni mjinga kama wajinga wengine kwenye hii nchi
Am well educated than you .Kwa nini unafikiri wewe uko qualified kuongelea mada hii na ushauri wako ni muhimu?
Una qualifications gani zinazo ku distinguish wewe kuwa mtu wa kusikilizwa katika mada hii?
Ukiacha umasikini karibia 90% ni MAKADINALI.Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
Dooh hilo ni tatzoUkiacha umasikini halafu wote ni MAKADINALI.