Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
CHADEMA kutokana na uimara wake ndiyo maana inapitia hii misukosuko ya kiuchaguzi na itavuka salama.
Ila kwa kuwa CCM ni chama dhaifu kinachotegemea dola kujiendesha, hakiwezi Kamwe kupitia njia hii ya kidemokrasia inayopitia CHADEMA.
Unaweza kuwaza Majaliwa Kassim aseme hadharani kuwa na yeye anautaka uenyekiti wa CCM kwa kuwa Samia Suluhu Hassan haendeshi chama chao kuendeana na matarajio ya wana CCM wenzake?
Harakati hizi za kiuchaguzi ndani ya CHADEMA zimeonesha kweli CHADEMA Iko mbele Sana kidemokrasia kuliko CCM.