Kinachotokea CHADEMA Kamwe hakiwezi kutokea CCM

Kwanza katiba ya CDM na CCM aifanani; kwenye kumpata mwenyekiti wa chama na taratibu mgombea uraisi.

Sasa kwa minajili gani internal political wars zitafanana.

Tofauti ya binadamu na wanyama wengine (ni reasonability). Ana uwezo wa kusoma mazingira yake kwa factors zake na kufanya maamuzi based on that understanding.

Siasa za CDM na CCM ni tofauti kwa namna nyingi sana.

Siasa za maendeleo Tanzania bado kuwa na choice, shida ni kwamba hatuna watu wa kuendesha.
Tupe vifungu vya Katiba ya CCM ktk muktadha huu....Mimi Huwa naona , watu wakitishwa kuwa tuna mgombea mmoja tu!
 
Chadema akili hamna, sasa uchaguzi umefika kwann mtu asigombee, kila chama na taratibu zake mbona nyie mnaongozwa na mbowe miaka yote na samia akimaliza muda wake napo patakuwa na kumchagua mwngn kama ilivyo sasa huko chadema, sasa hapo kuna jipya gani?
Kuna jipya Mkuu huoni.....kule CCM incumbent president/ Mwenyekiti Huwa hapingwi !
 
Subiri uchaguzi uishe halafu urudi hapa!
 
Tupe vifungu vya Katiba ya CCM ktk muktadha huu....Mimi Huwa naona , watu wakitishwa kuwa tuna mgombea mmoja tu!
Hiyo siyo katiba ya CCM ni customary law. Over time inaheshimika.

Hata kwenye mikataba ya biashara customary law inatumika.

Same kwa matakwa ya kiongozi kuwa diplomatic kwenye kuongea, kufikiria taasisi kwanza kabla ya ambitions zako and so forth (Lissu sio kiongozi).

Shida ni kwamba over 90% ya wachangiaji wa jukwaa la siasa; siasa zenyewe hamzijui.

Good night nina stress leo nimerudi kijijini kwetu, kufungua mlango tu nimekutana na barua za madeni luluki baada ya karibu miezi miwili.

👋
 
CHADEMA kutokana na uimara wake ndiyo maana inapitia hii misukosuko ya kiuchaguzi na itavuka salama.

Ila kwa kuwa CCM ni chama dhaifu kinachotegemea dola kujiendesha, hakiwezi Kamwe kupitia njia hii ya kidemokrasia inayopitia CHADEMA.

Unaweza kuwaza Majaliwa Kassim aseme hadharani kuwa na yeye anautaka uenyekiti wa CCM kwa kuwa Samia Suluhu Hassan haendeshi chama chao kuendeana na matarajio ya wana CCM wenzake?

Harakati hizi za kiuchaguzi ndani ya CHADEMA zimeonesha kweli CHADEMA Iko mbele Sana kidemokrasia kuliko CCM.
Hayo maigizo au?
 
Ni kweli hii kitu HAIWEZI kutokea CCM kwasababu CCM ni chama kikubwa na kina utaratibu wake wa kumpata Mwenyekiti wake. Ushawahi kusikia kampeni za uwenyekiti wa Republicans au Democrats za Marekani? Ahahahahaha!!!
 
CHADEMA kutokana na uimara wake ndiyo maana inapitia hii misukosuko ya kiuchaguzi na itavuka salama.

Ila kwa kuwa CCM ni chama dhaifu kinachotegemea dola kujiendesha, hakiwezi Kamwe kupitia njia hii ya kidemokrasia inayopitia CHADEMA.

Unaweza kuwaza Majaliwa Kassim aseme hadharani kuwa na yeye anautaka uenyekiti wa CCM kwa kuwa Samia Suluhu Hassan haendeshi chama chao kuendeana na matarajio ya wana CCM wenzake?

Harakati hizi za kiuchaguzi ndani ya CHADEMA zimeonesha kweli CHADEMA Iko mbele Sana kidemokrasia kuliko CCM.
Haswa
 
CCM ni chama Kikubwa 🌹

Hapo Chadema ni kwamba Tundu Lisu analipa Kisasi cha Mbowe kuvunja makubaliano na kumletea Wenje 😂😂😂

Ulale unono🐼
CCM ni Chama dola ukishindana na mwenyekiti ujue unashindana na dola matokeo yake unapotezwa kwenye uso wa dunia.
 
Hiyo siyo katiba ya CCM ni customary law. Over time inaheshimika.

Hata kwenye mikataba ya biashara customary law inatumika.

Same kwa matakwa ya kiongozi kuwa diplomatic kwenye kuongea, kufikiria taasisi kwanza kabla ya ambitions zako and so forth (Lissu sio kiongozi).

Shida ni kwamba over 90% ya wachangiaji wa jukwaa la siasa; siasa zenyewe hamzijui.

Good night nina stress leo nimerudi kijijini kwetu, kufungua mlango tu nimekutana na barua za madeni luluki baada ya karibu miezi miwili.

👋
Customary Law ...halafu watu hutishiwa kuchukua fomu ? Basi sawa mjuzi wa siasa za CCM !
.....kama vipi,weka no Yass byMix tukuchsngie!
 
Aijawahi kutokea watu kutishiwa kuchukua form CCM kwa taratibu zao za (customary), zaidi ya fisadi Membe kutishia tu 2020 na akwenda.

Uchaguzi wa 2025 sio customary, sema bi-tozo ambae alikuwa raisi wa mpito anatumia nguvu sana ionekane na yeye anastahili kupewa respect ya CCM tardion kuongoza mihula miwili.

Bi-Tozo akuandaliwa na CCM kuja kuwa raisi ni Kudra za mwenyezi mungu tu. Na raisi mamlaka yake ni sheria kote upande wa katiba ya nchi na ya CCM kama mwenyekiti. Ambayo akicheza karata sahihi anazotumia kuwa raisi mpaka 2030.

Lakini Samia akupikwa kwa hiyo nafasi.
 
Back
Top Bottom