Kinachotokea CHADEMA Kamwe hakiwezi kutokea CCM

CHADEMA kutokana na uimara wake ndiyo maana inapitia hii misukosuko ya kiuchaguzi na itavuka salama.

Ila kwa kuwa CCM ni chama dhaifu kinachotegemea dola kujiendesha, hakiwezi Kamwe kupitia njia hii ya kidemokrasia inayopitia CHADEMA.

Unaweza kuwaza Majaliwa Kassim aseme hadharani kuwa na yeye anautaka uenyekiti wa CCM kwa kuwa Samia Suluhu Hassan haendeshi chama chao kuendeana na matarajio ya wana CCM wenzake?

Harakati hizi za kiuchaguzi ndani ya CHADEMA zimeonesha kweli CHADEMA Iko mbele Sana kidemokrasia kuliko CCM.

This is not the right analysis.

Kwa chadema hakuna ugali, mtu anaweza kufanya chochote maana one has nothing tangible/economic to loose!
Kwa CCM kuna mlo/fedha/favours eg wafanyabiashara etc tc. Mtu anapiga kimya kunusuru ulaji/cheo chake/favours anazozipata..........ndiyo maana kila kizimba kina bendera ya ccm na habugudhiwi na kodi kodi za hapa na pale
 
CHADEMA kutokana na uimara wake ndiyo maana inapitia hii misukosuko ya kiuchaguzi na itavuka salama.

Ila kwa kuwa CCM ni chama dhaifu kinachotegemea dola kujiendesha, hakiwezi Kamwe kupitia njia hii ya kidemokrasia inayopitia CHADEMA.

Unaweza kuwaza Majaliwa Kassim aseme hadharani kuwa na yeye anautaka uenyekiti wa CCM kwa kuwa Samia Suluhu Hassan haendeshi chama chao kuendeana na matarajio ya wana CCM wenzake?

Harakati hizi za kiuchaguzi ndani ya CHADEMA zimeonesha kweli CHADEMA Iko mbele Sana kidemokrasia kuliko CCM.

Kwa kweli kwa yanayoendelea Chadema, CCM lazima ijiulize mara mbili mbili jinsi gani kwa miaka zaidi ya 40 kwa nini bado wameshindwa kutembea kwa miguu yao!

Kwa nini, baada ya miaka karibu hamsini, bado CCM wanahitaji kupakatwa kama kichanga ambacho bila mbeleko hakiwezi kukaa, kusimama acha kutembea peke yake.

CCM kwa lugha halisi ni chama cha watu wasiojiweza wanaohitaji upendeleo maalum ili waendelee kubaki madarakani hata kama sifa, uwezo wala busara hawana.

CCM kama kiwete kinahitaji magongo ili kiweze kusimama na magongo hayo ndivyo hivyo vyombo vya ulinzi na usalama walivyovingángánia mithili ya mfa maji!

Hongereni Chadema kwa kuwazindua usingizini Watanzania na kuwafungua macho waweze kumjua adui wao aliyedumaa toka utotoni na kwa miaka yote hiyo hajakua hata chembe.

Asante Chadema kwa kufungua madirisha kuingiza hewa safi Watanzania waondokane na uvundo kufuru na kujionea kwa macho yao huko nje kunavyopendeza na kuleta tumaini!

CC: Nguruvi3, JokaKuu, Mshana Jr, Tindo
 
CCM imepoteza mvuto ndio maana inategemea mapolisi na vyombo vingine kubaki madarakani.
Mara inategemea polisi kubaki madarakani mara inatumia ujinga wa wananchi kubaki madarakani.
 
Ccm hii hii ambayo watu walikuwa wanaishindanisha na Chadema kwa nyomi ya watu kwenye kipindi cha kampeni?
Unaweza kushindanisha nyomi, lakini ukidadavua hizo nyomi zimepatikanaje, unagundua nyomi ya CCM ni ya kutengenezwa kwa kusomba watu kwa magari bila hiyari yao, wakati nyomi ya CHADEMA watu wamekuja wenyewe kwa hiyari wakiwa na hamu ya kusikia matumaini ya mabadiliko.
 
Yani umbebe mtu kwenye gari bila hiari yake na bado uende ukamsimamishe juani bila hiari? Ina maana sio kwamba hao watu hufuata kuona wasanii wa muziki kama mnavyosema bali wamelazimishwa kwenda?
 
Usiongee kama ni mgeni wa jinsi CCM inavyoendesha mikutano yake ya hadhara ya kisiasa kilazimishi (by force).

Kama hujui kuwa CCM huwa inasomba watu na kupeleka kwenye mikutano yake na kulazimisha watumishi wa umma kuhudhuria mikutano hiyo, basi wewe hujui chochote kuhusu siasa za CCM.
 
Sio kwamba mimi hayo siyajui ila je yanaingia akilini? Yani kwamba uniambie zile nyomi za kwenye mikutano ya ccm kwamba asilimia kubwa ni watumishi wale wa serikali au kwamba ni raia tu wa kawaida wasio watumishi wa serikali ila wamelazimishwa kuacha shughuli na mambo yao na kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya ccm.

Tatizo tunapenda kuzungumzia haya mambo kihisia kuliko uhalisia na ndio maana utasikia tena inasemwa kuwa ccm inatumia wasanii wa muziki kupata watu wengi kwenye mikutano yao tofauti na Chadema ambayo haitegemei wasanii.
 
Naunga mkono Hoja . Ccm na CDM ni vitu viwili tofauti kabisa . Haya yliyotokea CDM yakifanyika ccm ni vifo tu. Lakini kwa hili la ccm haya ni maono yaani vitu ambavyo Mungu alisema na Mimi .

Kwa kupitia haya Mapito chadema wanaenda kupata vitu hivi. Kama nilivyosema kuwa haya ni maono tu nami ni mtumishi ninayeliombea Sana taifa langu Kila siku .

1. Chadema inaenda Kujulikana zaidi
2. Ccm wataiga hii style itawagharimu Sana . Watapingana wazi wazi wakijinasibu mbona chadema walifanya.
4. Mbowe atashindwa note this ila Tundu lissu na heche watapita watafanya uamsho wa kisiasa na moto wake hautazima.
5. Kama kutakuwa na uchaguzi hurunna Haki CDM ni muda wao ila ccm this time ni kuwaombea kwa mpasuko utakaoteka.

Huu ni Mwaka wa kumjua Mungu na kuomba Sana kwa ajili ya Taifa na UONGOZI wote wa kitaifa .
 
CHADEMA kutokana na uimara wake ndiyo maana inapitia hii misukosuko ya kiuchaguzi na itavuka salama.

Ila kwa kuwa CCM ni chama dhaifu kinachotegemea dola kujiendesha, hakiwezi Kamwe kupitia njia hii ya kidemokrasia inayopitia CHADEMA.

Unaweza kuwaza Majaliwa Kassim aseme hadharani kuwa na yeye anautaka uenyekiti wa CCM kwa kuwa Samia Suluhu Hassan haendeshi chama chao kuendeana na matarajio ya wana CCM wenzake?

Harakati hizi za kiuchaguzi ndani ya CHADEMA zimeonesha kweli CHADEMA Iko mbele Sana kidemokrasia kuliko CCM.
Tangu lini ccm wakawa na demokrasia?
 
Back
Top Bottom