Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #61
Wewe wa wapi. Hebu tukumbushe ilitokea lini?CCM huwa tunachagua mkt taifa wakati wa kuchagua mgombea urais!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wa wapi. Hebu tukumbushe ilitokea lini?CCM huwa tunachagua mkt taifa wakati wa kuchagua mgombea urais!
Nitabishaje kitu ambacho sijakielewa? Maana mara unasikia kwamba ccm inategemea polisi ina maana watu wameichoka ila tena unakuja kusikia inategemea ujinga wa wananchi kwamba wanapewa kanga.Ukweli ni kwamba huwezi kubisha.
Labda unajirusha tu ufahamu.Nitabishaje kitu ambacho sijakielewa? Maana mara unasikia kwamba ccm inategemea polisi ina maana watu wameichoka ila tena unakuja kusikia inategemea ujinga wa wananchi kwamba wanapewa kanga.