Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Siasa ina customary law, ndio maana watu awakutaka kumvaa Biden (japo it was obvious to many, he was mentally incapable). Hiyo inategemea na nchi pia, uingereza wangemvaa hatoshi.Huko kwenye fomu moja ukirefusha bega UNAFUKUZWA MARA MOJA kM Jasusi alivyo fukuzwa....
CCM HAIJAWAHI kuchagua Mwenyekiti wake TAIFA tangua ianzishwe mwaka 1977.Chadema akili hamna, sasa uchaguzi umefika kwann mtu asigombee, kila chama na taratibu zake mbona nyie mnaongozwa na mbowe miaka yote na samia akimaliza muda wake napo patakuwa na kumchagua mwngn kama ilivyo sasa huko chadema, sasa hapo kuna jipya gani?
Tutaona uimara wake!CCM HAIJAWAHI kuchagua Mwenyekiti wake TAIFA tangua ianzishwe mwaka 1977.
Ulitaka wakuchague wewe au?CCM HAIJAWAHI kuchagua Mwenyekiti wake TAIFA tangua ianzishwe mwaka 1977.
Acha kujipa moyo. CCM ina desturi zake. Utaona mwaka 2030 mtifuano wa kuutaka Urais utakavyokuwa. Kumbuka mwaka 2015 walijitokeza wanachama 38 wakiutaka urais wakati CHADEMA ilibidi waazime toka CCM.CHADEMA kutokana na uimara wake ndiyo maana inapitia hii misukosuko ya kiuchaguzi na itavuka salama.
Ila kwa kuwa CCM ni chama dhaifu kinachotegemea dola kujiendesha, hakiwezi Kamwe kupitia njia hii ya kidemokrasia inayopitia CHADEMA.
Unaweza kuwaza Majaliwa Kassim aseme hadharani kuwa na yeye anautaka uenyekiti wa CCM kwa kuwa Samia Suluhu Hassan haendeshi chama chao kuendeana na matarajio ya wana CCM wenzake?
Harakati hizi za kiuchaguzi ndani ya CHADEMA zimeonesha kweli CHADEMA Iko mbele Sana kidemokrasia kuliko CCM.
Hapa tunazungumzia uongozi wa CCM siyo Urais. Mambo madogo kama hili mnashindwa kuelewa hoja yake, ndiyo mtajua kuwa mkataba na DP tumeinguzwa Chaka?Acha kujipa moyo. CCM ina desturi zake. Utaona mwaka 2030 mtifuano wa kuutaka Urais utakavyokuwa. Kumbuka mwaka 2015 walijitokeza wanachama 38 wakiutaka urais wakati CHADEMA ilibidi waazime toka CCM.
Leo utacheza na Aidii zako zote... πUlitaka wakuchague wewe au?
Kwani kuna ubaya gani?πLeo utacheza na Aidii zako zote... π
Hakuna... Kama mnakwapua uchaguzi mzima itakuwa kuwa na matipo AidiiππKwani kuna ubaya gani?π
Kuna rushwa inatembea huko. Una habari?Hakuna... Kama mnakwapua uchaguzi mzima itakuwa kuwa na matipo Aidiiππ